Ndugu zangu kwa muda sasa toka niusikie ule wimbo wa diamond nimpende nani nimekuwa na
hakika kuwa ameiba mapingo ya nyimbo ile kutoka kwa mpiga tarumbeta yami sax. Naomba
muusikilize huu muziki...
Wakati wadau wa filamu na kazi za wasanii wakimtolea macho Aunty Ezekiel baada ya picha zake za nusu uchi kusambaa huku zikidaiwa kuvunja maadili ya kitanzania msanii mwenzake Salma Jabu'NISHA'...
Rama Dee kwa uhakika hana mpinzani katika tasnia ya muziki wa kuimba,
hapigi kelele kama masharobaro, na wala wala habani pua
Kawashirikisha Kulwa na Dotto wa Mapacha, kisha niambie Mapacha...
Jana nilisikia habari zilizonisikitisha sana kuhusu mwimbaji anayenivutia sana katika kazi zake Mwalimu wa Walimu Banza
Stone kwamba alikiri katika radio hiyo amekata tamaa ya maisha na sasa...
Hizi ni tweets za diva wa clouds.
Members mmefanya nini mpaka kaandika hivi
"@Divaakamimi: Jamii Forums z Some stupid mother****ers!. U shuld go and **** your ass, Go **** yourself!."...
MENEJA WA 50 CENT NA MARIAH CAREY AJIUA
Meneja wa muda mrefu wa 50 Cent, Diddy, Ja Rule, na Mariah Carey, Chris Lighty amepatikana akiwa amekufa jana asubuhi jijini New York...
Kwa wale wanofuatilia Vipindi vya Clouds TV, kile kipande cha Vichekesho "Nimekubamba" cha The Vuvuzela Comedy Show ya Evans Bukuku ni mambo ya "Copy n Paste" na save changes .
Kazi za sanaa...
Katika Pita pita zangu Mitandaoni nikakutana na Tangazo hilI La Obama atakuwa na anAfAnyiwA Fund Rising sijuI nDio Harambee leo Usiku (saa za Huku)Katika Club ya 40/40,NY
Club hii inamilikiwa...
Ana miaka 11 tu lakini ameshaanza kuwashangaza watu wengi kutokana na jinsi anavyohubiri neno la Mungu. Ezekiel Stoddard mtoto anayedai kuwa alipata wito wa kumtumikia Mungu miaka miwili...
sisi watanzania tumekuwa tukilia lia kuwa wakenya wanatudhulumu vitu vingi sana kama vile mlima kilimanjaro, madini ya tanzanite na kadhalika, lakini leo nimeshangaa baada ya kumuona AY amevaa...
Jamani hivi yule mtu anayelia kwenye tangazo linalojulikana kama "wamekata" huwa anazungumza kitu gani maana najitahidi ili nielewe kuhusu hilo tangazo hasa kwenye hicho kipengele lakini siambulii...
M'kiti wa freemasonry akihojiwa na Gerald Hando wa clouds TV asema kuwa freemason hamna ubaya na hamna mahela km wengi wanavyodhani bali it's all about networking na kusaidia jamii.Kaipamba...
Mpendwa,
Wema Sepetu,
Ukweli utokao moyoni ni kwamba nakupenda saaaaana, wewe mwenyewe,kazi zako n.k.
Lakini lengo hasa la kuandika barua hii na vile navyohisi juu yako yani...
Mchekeshaji Steve Mangere(steve nyerere) amefiwa na mwanaye, mtoto huyo aliyefariki ni huyu wa kiume wa sasa, ambaye pia ni watatu kwake yeye na mkewe Zawadi, wa kwanza alifariki, wa pili yupo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.