Jacqueline Ntuyabaliwe
Kwa wapenzi wafuatiliaji wa Miss Tanzania 2000, habari kutoka kwa Sports Lady, Dina Ismail zinasema -- MISS Tanzania 2000 Jacquiline Ntuyabaliwe amefanikiwa kujifungua...
Wema sepetu akiwa ndani ya mjengo wake wa nguvu maeneo ya K'nyama. Anadai ni yake amenunua, mapambo tu yanagharimu zaidi ya milioni 50 za kitanzania. usikose kusikiliza kipindi cha take one clouds...
Jana mtu mzima AY katokelezea kwenye segment ya copy and paste kwenye kipind cha orijino commedy -TBC 1,shukrani zimwendee joti kwa kuwafichua vilaza wote wanaojiita wanamziki,
Hivi huyu Rita poulsen ameolewa? au kaposwa? kwa sbb ana ukosha sn moyo wng yupo bomba mbaya najpanga kufanya mipango lkn kabla cjafanya mipango ya kumfata naomba mwenye kujua details zake anipe...
Nilikua na hamu kweli ya kuangalia mahojiano ya Mrisho Mpoto 'Mjomba' na Salama kwenye kipindi cha Mkasi nikitegemea kukutana na Kiswahili kilichonyooka na misemo mitamumitamu ya Kiswahili...
Clouds haiwathamini wasanii wa bongo,wamerusha hewani show ya wasanii wa bongo halafu hawakuonyesha ya Rick Ross,wangeonyesha show zote au wasionyeshe zote.
STAA wa filamu Bongo, Lulu Mathias ‘Aunty Lulu' ametoa la moyoni kuwa, anaumizwa na kitendo cha baadhi ya wanaume kumtumia kimwili kisha kumtosa.
Akizungumza kwa masikitiko hivi karibuni...
Nimehudhuria show nyingi za pamoja kama Fiesta zinazowakutanisha wasanii wa muziki wa aina tofauti.Nimegundua wasanii wa Bongofleva a.k.a wabana pua huwa wanapotezwa vibaya na wasanii wa...
Aisee fiesta fell out of expectation, watu ni wachache, na wengi wao waliopo ni watoto wa secondary, ukiviona vidogo ,vinakunywa bia na fegi. Wale vijana wanaofeli fom 4 ndo wateja wa fiesta...
Mnao dai wema sepetu ni masonic hakuna kitu kama hicho,baadhi ya mastaa hapa bongo
hupenda kujifanya ni freemasons kwamba ni fashion.. A WOMAN CAN NEVER BE A FREEMASON...NEVER
Kama unamjua...
MSANII ndani ya tasnia ya filamu na tamthilia za kibongo Rayuu, azidi kujichora tattoo kwenye mwili wake ambapo sasa aamua kuchora kiunoni na sehemu nyingine nyeti.
Heshima mbele wakuu.
Duh, yani naangalia show ya fiesta live kutoka clouds tv. Nadiriki kusema Joh Makini amefunika mbaya. Nahisi kama yeye ndo kadumu stejini muda mrefu zaidi ya wasanii wote na...
Heshima kwenu wadau..
Rita Paulsen anamiliki Benchmark productions ambayo ni kampuni ya kutengeneza music videos, matangazo na engineyo..
Kuonyesha kwamba productions zake ni magumashi na hata...
Msanii wa bongo fleva aliye kuwa anajiita q chief, sasa hivi anajiita CHICHI. Hii a.k.a yake mpya ya chichi imeleta gumzo kitaa baada ya kuonekana hilo jina la chichi linatumika kuwatambulisha...
Nimesoma mahali kwamba siku chache zilizopita huyu mdada ametimiza miaka 22, yet mwaka 2006 alishiriki shindano la kumtafuta Miss Tanzania, na akatwaa hilo taji hivyo akawakilisha jina la Tanzania...
Aliyekuwa Mtangazaji wa kipindi cha Jahazi kupitia Redio Clouds Fm Gadna hivi karibuni anatarajiwa kusikika tena kupitia Redio zetu hapa Tanzania.
Inasemekana kuwa Gadna atarudi kivingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.