Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

MSANII wa muziki wa kizazi kipya Ramadhani Kalesela ‘Pingu’ yupo kwenye huzuni kubwa baada ya kufiwa na mke wake pamoja mtoto aliyekuwa tumboni leo majira ya asubuhi kwenye hospitai ya taifa...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Inadaiwa amemuibia vifaa vya gari la ommy dimpoz Source:Ommy dimpoz tweets n' Millard Ayo Vitu wamevificha Tandale
0 Reactions
4 Replies
2K Views
mainda asema utoaji wa mimba kwa bongo movie ni jambo la kawaida UTOAJI wa mimba kwa wasanii wa bongo movie sasa ni kama mtindo fasheni kwani usipofanya hivyo unaweza kuonekana...
0 Reactions
3 Replies
13K Views
Gari aliyokuwa akisafiri nayo yapata ajali, yabingirika mara tatu. Anamshukuru Mungu kwa kumtoa salama. Source: ukurasa wake wa facebook
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Toni Braxton had a little wardrobe malfunction | SHINBOW.COM
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Lucky Philip Dube (3 Agosti, 1964 - 18 Oktoba, 2007) alikuwa mwanamuziki wa reggae kutoka Afrika Kusini. Alirekodi albamu 22 katika lugha ya Kizulu, Kiingereza na Kiafrikaans katika kipindi cha...
0 Reactions
3 Replies
9K Views
Hivi hawa ma_representer wetu hapa bongo inamaana wamekosa kuvumbua STAIL nyingine ya utangazaji au..? Maana karibia 70% wanatumia stail moja.,mfano ukiwasikiliza kwa makini <B_12,adam...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuna anayefahamu ikiwa mmoja ya wanamuziki nguli wa Reggae The late Hubert Mctosh (Peter Tosh) aliacha mtoto/watoto? Nimekumbuka one of his greatest hit Equal Rights....."Everyone is crying about...
0 Reactions
34 Replies
12K Views
Siku chache baada ya kuenea taarifa kuwa Baby Madaha kuwa ameondokewa na mama mzazi, staa huyo amefunguka na kuweka mambo sawa kuwa aliyekufa sio mama yake mzazi kama walivyockia bali ni mama...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwenye facebook page ya Abdallah Hamis Ambua a.k.a mjukuu wa Ambua wa EA radio/tv inasomeka hivi; dah...!! nasikia nimesemwa vibaya leo kwenye radio.. wamenisema vibaya kuhusu mavazi yangu...
0 Reactions
42 Replies
20K Views
Bongo Flava is a genre of hip hop from Tanzania. The lyrics are in English or Swahili. Two of the biggest stars of this genre are Diamond Platnumz and Lady Jaydee. Diamond Platnumz - The King...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Hebu kuweni fair, yaani Vincent anarudishwa nyumbani na Salma (mpiga-gita)anabaki hata bila kuingizwa danger zone huku mama Rita anasema hakuna kama huyo na master J anakenua meno tu wakati...
1 Reactions
38 Replies
8K Views
Hebu niambieni yuko wapi dada huyu baada ya kuwa ametumika na akina Chipungahelo ktk mambo ya Miss Utalii na miss world Bikini. It seems few are benefiting from all these parading and cat walking...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mwanamziki mwenye asili ya kongo aliyetamba kipindi cha nyuma na wimbo wake wa nuhu tufungulie safina kossovo kichaa amerudi tena kivingine. Baada ya kuwa amafukuzwa nchini alipokamatwa arusha...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mtoto wa Whitney houston Bobbi Kristina aliye na mahusiano na kaka yake wa hiari sasa amechumbiwa,uhusiano wao umezua gumzo na baadhi ya familia yake hawakubaliani na uhusiano huo,wanahisi kaka...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
DMX amesema hajui kutumia computer kabisa, eti inamuogopesha hata kuiangalia! DMX Rapper mwenye sauti ya kipekee hasa kwenye miondoko ya Hip Hop DMX, ameweka wazi kuwa ameshindwa kabisa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tazama picha ya perfomance yake ya fiesta then toa comment yako,binafsi alinisuprise kwa hili.duhu!
0 Reactions
39 Replies
7K Views
Jana usiku akiwa ktk kipindi cha mikasi alikanusha madai ya Watz waishio ughaibuni kuwa ameisaliti Tz Na mlima kilimanjaro na lugha maridhawa Kiswahili. alidai kwa kua kiswahli na ml Kilimanjaro...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Kelvin Jackson Twissa'sio kwa ubaya ila heshima kwake huyu mkuu he is genius na anajua anachokifanya na vijana wengi waliopo makazini wanataka kufika nafasi au level kama yake japokuwa sio kubwa...
0 Reactions
19 Replies
7K Views
Back
Top Bottom