Scandal inayohusiana na wimbo mpya wa Diamond Nataka Kulewa imeendelea kuchukua sura mpya baada ya H.Baba leo kuuambia mtandao huu kuwa Diamond Platnumz ameanza kutuma watu wake ili waiibe flash...
Bibie Abti Ezekiel akiwa na wapambe wake na nguo maalum za kukatia mauno kwenye Ngoma ya Kibao kata
Mauno yakizungushwa kabla ya kuchanganya
Mauno yalipomkolea akalala chini na kuzungusha...
Haaaahaaaaaaaaaa
mungu mkubwa kweli anaposema wawili wataunganika na kuwa kitu kimoja aijalishi we ni kituko kiasi gan mbele ya jamiii bado neno la mungu litasimama pale pale na hatimae aunt...
MAMA mzazi wa staa wa Bongo Fleva mwenye skendo ya kubwia madawa ya kulevya, Rehema Chalamila Ray C, Magret Mtweve ametoa tamko kali dhidi ya aliyekuwa mpenzi wa mwanae, Isaac Makuto Lord...
WAKATI ikidaiwa kuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya Matonya, alifungiwa ndani kimapenzi na mmoja ya wasanii wa bongo movie na kulizwa shilingi za kitanzania milioni 6, sasa ameamua kuweka wazi...
Hashim Thabit:
Enzi hizo tukiwa naye dodoma 90's yeye na mama yake walikuwa wakijikimu kimaisha kwa kuuza kahawa na kashata,hashim ndio aliyekuwa muuzaji,kweli maisha yana badirika,kwahyo vijana...
Wanajamii
Hivi karibuni kumeibuka wizi wa vifaa vya magari maeneo mbalimbali,especially jiji la Dar.Wizi huu umekuwa ukifanyika kwenya maeneo ya maegesho na hata majumbani nyakati tofauti tofauti...
Mimi napata taabu sana kulielewa hili kwa maStar wa bongo, especially wanawake.... Hivi hamuoni kuwa mnajidhalilisha kwa kuonyesha nyeti zenu mbele ya kadamnasi, au msipofanya hivyo mtapunguza...
abari kubwa weekend hii kwenye website, blogs za burudani na mitandao ya kijamii nchini ni kuhusiana na tukio la rapper wa kundi la Nako 2 Nako, Lord Eyez kudaiwa kuhusika kwenye wizi wa baadhi...
Msanii wa filamu na muziki wa kizazi kipya bongo Baby Madaha, yupo katika huzuni kubwa baada ya kumpoteza mama yake mazazi jana usiku baada ya kuumwa kwa muda.
Mwili wa marehemu...
Irene Uwoya apata msiba wa baba yake mdogo ambaye ni padre, huyu padre ndo alisafiri toka moshi kuja dar kufungisha ndoa ya Irene na ndikumana, mungu amrehemu padre uwoya, kafariki jana katika...
Jana kuna vijana kama wanne walikuwa na tiketi za VIP B,lakini wao wakataka kuingia VIP A,polisi wakawakatalia,jamaa wakaanza vurugu za hapa na pale,lakini wakatolewa kwene lile eneo la VIP...
MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Ney wa Mitego, yupo kwenye hatihati ya kufungiwa na Baraza la Sanaa Tanzania (Basata) baada ya kuachia remix ya wimbo wake wa Nasema Nao iliyojaa matusi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.