Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Kuna habari za kusikitisha kwamba MARIAM KHAMIS amefariki dunia wakati wa kujifungua katika hospitali ya Muhimbili na mtoto amebaki mzima. Marehemu alikuwa star wa muziki wa taarabu kama "paka...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
kwa wale ambao tumekuwa tukifuatilia taarifa ya habari itv bila shaka tumeshuhudia utu aliokuwa nao mtangazaji huyu.taarifa ya habari ya leo iliyomuonesha mzee aliyetelekezwa na mkewe huko mabibo...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kala Jeremiah ametoka kivingine... Ona mpaka nasahau menginE, Baba Ajira zipo chache hawapati wenginE, Dada zetu wanajiuza wenginE, Pengine labda ndo Sodoma na Gomora nyinginE, Wanaume...
1 Reactions
24 Replies
6K Views
Kwa kwelisijui unasubiri nini wewe?? Muigizaji wa siku nyingi dotnata amemamua kuokoka na kuachana na pombe na sasa ameweka maombi yake mungu amsaiidie kuondokana na marafiki zake wote walevi...
2 Reactions
52 Replies
7K Views
miaka michache kuna huyu mtu anaitwa fikiri madinda alikuwa akitajwa sana na karibu bendi zote za dansi nchini. siku hizi simsikii akitajwa tena, yuko wapi? kafariki? kafulia?
0 Reactions
18 Replies
7K Views
mimi sio mdau wa haya mambo but huyu dogo kanivutia kwa kweki ana kipaji natural, ni mkali jamani sema ndo hivo wabongo hatupo fair ,yule wababa wanamfagilia sijui ana nini,sijui ana tunguri...
7 Reactions
58 Replies
6K Views
Baraka shelukindo,saidi janguo,mariam janguo,mnomba,chris fabi,neema helela,Franco mtui,kibacha,hija shaha,Alex shaba,Omar mandari, ntagazwa quizella,kelvin twisa,chacha,msiagi,Elizabeth mkanga...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
, Katika Kipindi cha Mboni Show Siku ya leo Topic ilikuwa ni kuhusu Wanaume Kujichumbua kwa kutumia Mkorogo, katika kipindi hicho Nyoshi El Sadaat Alikuwa ni mgeni mmoja wapo na Alipoulizwa...
0 Reactions
33 Replies
9K Views
Nasikiliza tbc taifa hapa. Wanamuhoji mshindi wa miss utalii. Yaani hajui chochote kuhusu tanzania. Anasema ataenda kushiriki miss utalii dunia n ataimba nyimbo za utamaduni. Mtangazaji anampa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
KIMWANA ambaye hivi sasa yupo kwenye mahusiano na jamaa ambaye anayeishi nchini Marekani, Linah Sanga, amedai kuwa huwa anapoenda nyumbani kwa wazazi wake huwa navaa nguo ndefu tena za kilokole...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Imeshaanza. tayari Washiriki ni hawa hapa 1. Walter 2. Nsami 3. Salma 4. Nshoma 5. Wababa Mshindi katika shindano hili atajinyakulia kitita cha Tshs 50,000,000/= Update Time: 22:35...
0 Reactions
57 Replies
8K Views
tuupdate habari za macelebrities wa JF kupitia uzi huu..... Tukianza na Kijembeee kijana anaekuja kwa kasi anawakaribisha muendelee kubofya na kujuzana,respect kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Walter chilambo ameibuka mshindi na kujinyakulia miliöni 50. Kweli kijana anastaili kua mshind kwa uimbaj wake na sauti. Big up.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
heshima mbele wana jf Hebu tulitazame hili la bongo star search na uwezo wa washiriki ndani ya shindano. Kwa kweli nashindwa kuelewa ni nini hasa kinachotokea ktk kuangalia uwezo wa mtu na...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Na Joseph Shaluwa FAINALI za kumsaka supastaa wa Bongo katika Shindano la EBSS zinafanyika leo Ijumaa, Novemba 9, mwaka huu katika Ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar huku mshindi akiwa siyo siri...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nani anafaa kushinda Epiq Bongo Star Search 2012?
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wana jamvi ninasoma kitabu tajwa hapo juu:Baada ya muda nitaomba jukwaa la kujadili mapitio ya vitabu.Mpaka sasa nina mambo ambayo ningependa kuyajadili lakini ni vizuri tukapata jukwaa.Mnaonaje...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari Wanajamvi, nilikuwa napitia habari kwenye mitandao nikakutana na habari ya kuombewa msaada kwa dada yetu Ray C, Ndugu John Kitime ameandikka na kuweka namba ya tigo pesa kwa wenye nia ya...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Masoud Sura mbaya, mkazi wa Ilala Sharif shamba
0 Reactions
12 Replies
9K Views
Back
Top Bottom