Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Nachukua nafasi hii kumpongeza AY kwa kutwaa tuzo kwani ni wasanii wengi walishiriki lakini hawajafanikiwa na pia wakali zaidi yake. Nafikiri pia ni wapongeze watanzania kwa kumpigia kura za...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Monday, November 12, 2012 Juzi Diamond akiwa na gari lake alipata ajali (ya kawaida) ambayo ilisababisha sehemu ya mbele kuharibika. Kwa mujibu wa meneja wake, Raqey Mohamed wa I-View Media...
0 Reactions
12 Replies
20K Views
Wana Jamvi habari za asubuhi. Leo katika jamvi letu hili nimeonelea tuongelee na kuchambua kwa undani maudhui yaliyoonekana katika kipindi kipya cha Lady Jaydee Diary hapo jana katika kituo cha...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Jamani leo nimejaribu kuchungulia nione kizota kuna ni pale nikamkuta msanii dokii akitoa burudani.yaani nilifadhaika sana na mfadhaiko huo uliniacha na maswali mengi pia..huyu dada alikuwa...
0 Reactions
42 Replies
7K Views
Aliyekuwa mwakilishi wa Kenya kwenye shindano la Big Brother Africa Stargame Alex Mgash jana amepata ajali mbaya ya gari. Kwa mujibu wa pacha wake, Malonza, Alex alikuwa akisafiri kwenye gari...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Katika kufukunyua fukunyua nikakutana na hii. MSANII wa filamu na tamthilia bongo Rayuu, inadaiwa kuwa amepewa mchongo mkubwa wa pesa ndefu endapo atakubali kushiriki kwenye picha ya ngono huko...
0 Reactions
6 Replies
18K Views
Hivi jamani Amini na Linah wamerudiana, mbona mimi nashindwa kuwaelewa hawa wasanii wa bongo flavour? Wanaleta usanii mpaka kwenye mapenzi?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Psy - PSY - GANGNAM STYLE ( Obama Style - Obama Style (Psy Gangnam Style Parody) Feat. Smooth-E and Alphacat Mitt Romney Style - Mitt Romney Style (Gangnam Style Parody) - YouTube Obama &...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MSANII wa filamu bongo Jackline Pantzel maarufu ‘Jack wa Chuzi’, amefunguka na kueleza kuwa ndani ya tasnia yao hakuna mwanamke changudoa au muhuni na kama yupo basi huyo alikuwa na tabia hiyo...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
The tennis champ didn't have her ex boyfriend's number to call or send him a text, so instead she came at him on Twitter for the whole world to see! :-). Common didn't reply. See more tweets after...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Baada ya kuwapa michapo ya ukumbi wa disco raining money courtesy of Hasheem Thabeet, sasa nawapa vimbwanga vya masupa staa wengine wa Bongo. Hawa ni muimbaji Lady JayDee au "Jide" na mume wake...
0 Reactions
51 Replies
15K Views
JAMANI EEEE UKWELI NI KWAMBA HARUSI YA AUNTY EZEKIEL ILIKUWA MAIGIZO TU ILA YASEMEKANA NDOA BADO IPO NA ITAFANYIKA DUBAI HIVI KARIBUNI...!!! Hahaha acha nijichekee mie lol maana...
0 Reactions
10 Replies
11K Views
Janet Jackson Asilimu, Kufunga Ndoa na Bilionea wa Qatar Janet Jackson na mpenzi wake bilionea wa Qatar, Wissam Al Mana Tuesday, November 13, 2012 3:00 PM Nyota wa muziki wa Marekani na dada...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Aisee Diamond mbona sasa unaanza kubong'oa! Staili zingine za shoo huwaga zinatisha.
3 Reactions
120 Replies
18K Views
MSANII mkongwe kwenye wa filamu na utunzi wa hadithi Aunty Fifi, ameuambia mtandao wa DarTalk kuwa baada ya kuokoa na kumjua mungu vilivyo, sasa ameamua kuanza kutoa huduma ya kuwaombe watu...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Msanii Lord Eyez Rapper wa kundi la Nako 2 Nako Soldiers na Weusi, Lord Eyez, kesho anatarajia kuzungumza na waandishi wa habari kuelezea shutuma dhidi yake za kudaiwa kushiriki kuiba vifaa...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
MATENDO anayofanya mwanamitindo Jackline Patrick wakati mumewe Abdullatif Fundikira akiteseka gerezani, yametajwa kuwa ni usaliti wa asilimia miamoja na kwamba kama hatajirekebisha, mwisho wake...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
I go with Freddie mercury
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Back
Top Bottom