Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Hivi huyu Musa wa power breakfast clouds Fm ni yupi yule alokuwa Eatv?? Naomba kueleweshwa tafadhali Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
1 Reactions
2 Replies
2K Views
I hear they are mad for each other, but the reports of a wedding in February is completely false.
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna wimbo mmoja uliimbwa na kwaya ya Bulyankulu Barabara ya 13 uitwao "Samson". Sehemu ya wimbo huo nikikumbuka inasema: "Tafadhali niambie asili ya nguvu zako, tafadhali niambie waweza kufungwa...
0 Reactions
174 Replies
25K Views
MSANII wa filamu na tamthilia bongo Rayuu, inadaiwa kuwa amenusurika kupelekwa polisi na mwanamke mmoja kwa madai kuwa alikuwa akitembea na mume wake, huku pesa nyingi za matumizi zilikuwa...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
  • Closed
December 9, 2012 in SportAmerica — Former undisputed heavyweight boxing champion of the world Mike Tyson is said to be “feeling fine” after undergoing successful gender reassignment surgery at...
0 Reactions
60 Replies
16K Views
Mwanamama Beyonce anatarajia kuweka kibindoni million 50 za kimarekani kutokana na matangazo kwa mwaka ujao. Beyonce atafanya tangazo la pepsi kuanzia mwakani. Kuna watu walibeza alipotoa euro...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wakuu, kwa yeyote mwenye personal contacts za huyu duu em zitupie hapa tafadhali ...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
NDOA ya mwanadada anayeendesha maisha yake kwa kucheza filamu, Salma Salim ‘Sandra' inadaiwa kusambaratika.Sandra aliyeolewa na mwanaume aliyefahamika kwa jina la Haisam na kufanikiwa...
0 Reactions
21 Replies
10K Views
The rapper started his own baby rumors after posting a photo of himself looking at a pregnancy test on Instagram. Since he's engaged to Cassie, its safe to assume she's with child...or maybe it's...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
TAKRIBAN miaka 10 sasa tangu mwaka 2002 hadi mwaka huu 2012, Tanzania imekuwa ikishuhudia nyota wake katika tasnia mbalimbali wakipoteza maisha wakati nyota zao bado ziking'ara.Vifo vya nyota hao...
2 Reactions
10 Replies
9K Views
Mimi personal nipo tayari kumchangia Ray c .Agent wake ni nani?.mtu anaeaminika afungue account tumchangia.She needs help .mimi personal nipo tayari
3 Reactions
116 Replies
15K Views
Hii nimeikuta ktk post yake kwenye pitapita zangu fb
0 Reactions
1 Replies
2K Views
  • Closed
Hbari zenu ndugu zangu, kuna habar kuwa Juma Nature anatoka kimapenzi na msichana Baby Madaha, hivi punde wamekuwa na ukaribu wa hali ya juu, kumbe kuna mambo yalikuwa wanadili nayo chini kwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wema Sepetu Msanii nyota wa filamu nchini na aliyekuwa MissTanzania 2006/07 Wema Isack Sepetu katikati ya wiki iliyopita alilitia aibu kundi la bongo muvi kwa kufanya kitu cha kipekee kwenye...
5 Reactions
68 Replies
11K Views
From The National Enquirer Halle Berry’s former beau Gabriel Aubry is so desperate to win her back that friends fear he’ll kill himself if he’s frozen out of her life forever – and leave a...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimemkumbuka huyu jamaa alikuwa akiimba kama anabana pua hivi..,nadhani ndo swaga zake. Nakumbuka kitu PENZI NI KIKOHOZI.,Malaika. Mwenye taarifa na huyu jamaa,atujuze
0 Reactions
2 Replies
3K Views
hey people recently i had watch Twilight saga's 4th last series Breaking Down part 2...its really awesome movie and when i am heard that Robert and Kristen had break up again .....oh really its...
0 Reactions
0 Replies
865 Views
Diamond akiojiwa na mboni katika kipind cha mboni show kinachorushwa na EATV amesema kwamba anamshukuru sana wema sepetu kwa kushiriki kuandika mashairi ya nyimbo yake mpya nataka kulewa. ametolea...
0 Reactions
21 Replies
8K Views
  • Closed
Taswira wa kwanza inamuonyesha Platinumz akila breakfast / brush huko US ikijumusha BACON kwenye menyu. Bacon (ˈbākən) inatengenezwa kwa Kiti Moto. Inatambulika kama ("Cured meat...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
http://www.youtube.com/watch?v=iaE1qqo1DNU
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Back
Top Bottom