Jana tulisikia alitaka kuitisha kikao aoe shombe shombe, leo tena kuna mtangazaji kajitokeza ana mimba ya miez 4, sijui wengine tena watajitokeza kama marehemu Kanumba?
RIP Sharo Millionea...
Mwimbaji mashuhuri hapa Tanzania, Ray C, ametangaza kupona na matatizo ya yaliyokuwa yakimsumbua. Ametangaza hayo akiwa Ikulu baada ya kupata msaada mkubwa kutoka kwa Mh. Rais Kikwete.
RAY C...
Most kids would be thrilled by a trip to Disney World. But for Suri Cruise a trip to the Magic Kingdom isn't complete without a night in the invitation-only suite at Cinderella's Castle.
And...
Sugu amekuwa akiwachezea na kuwatema kina dada zetu wa kitanzania.....je hii ni sawa kama kiongozi wetu kufanya ivyo..??vijana ambao ni washabiki wake wanaiga nini kutoka kwake??
mifano hai...
Jana jarida la Forbes limetoa orodha ya wasanii 25 duniani wanaolipwa fedha nyingi zaidi duniani. Hawa ndio walioingia kwenye orodha hiyo.
1. Dr Dre ($110million)
2. Roger Waters ($88 million)...
Jamie has two kids with two different women, how can he be gay? Well, stranger things have happened. There were people who actually believed the world would end today...lol
Gay rumors have...
Mwigizaji wa filamu nchini, Sajuki alidondoka jukwaani juzi wakati akijaribu kuwasalimia mashabiki wake waliofurika kumtazama kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abedi, Arusha. Sajuki ambaye jina lake...
Gwiji wa vichekesho wa Uingereza Rowan Atinkson or Mr Bean hivi karibuni ataachana na uchekeshaji ili kuanza kuishi kama mtu wa umri wake. Kinachosikitisha ni kwamba kuigiza mambo ya kitoto na...
Kusema ukweli mimi huwa navutiwa sana na salim kikeke pamoja na charles hilali wakitangaza BBCSWAHILI Tv kupitia Startv hawa jamaa hasa salim ana rafudhi fulani ya mvuto inayotengeneza attention...
Tanzanite, msanii aliyeibuka na kusikika zaidi katika masikio ya fans wengi wa bongo fleva baada ya kutoa wimbo wa Uchawi na Wanga ambao ulifanana melody na mbagala wimbo uliomtoa Diamond...
nilipata kusikia kati ya wa2 masharo baro wa magomeni na kinondoni huyu jamaa alikuwapo miaka hiyo ya 90's ila kwa kweli mi sijui huyu jamaa sifa yake ilikuwa ni nini hasa,kwa wanaomjua tunaomba...
Earlier this year she purchased a brand new five bedroom home in Barbados, and gave it to her mother Monica Braithwaite.
Now, Rihanna has added to her property portfolio by buying a $12million...
The massive 12-12-12 concert held on Wednesday night in Madison Square Garden was filled with musical royalty, from Mick Jagger and Bruce Springsteen to Billy Joel and Paul McCartney. But the...
Two days ago on her show, Wendy made a comment about Beyonce that some of the singer's fans aren't happy about. Wendy said Beyonce sounds like she has a fifth grade education...
Wendy was...
Inafurahisha kinoma kuona taifa ninaloishi mimi limejaa vipaji kiasi ambacho hadi wasanii wengine wanaambiwa wawe washabiki. ila ajabu iliopo sasa kila wimbo utakaotoka lazima uwe umeiga wimbo...
Wadau habari za jpili, jana viwanja vya leaders kulikuwa na shoo ya mkali Koffi je alipiga fresh au ilikuwa magumashi tujuzeni sie watu wa mikoani ambapo wahandaaji hawataki kuleta wasanii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.