Nyimbo bora hiphop:
NISHIKE MKONO-DARASA
RnB:
MANENO-BEN POL
Msanii bora wa RnB:
RAMA D
MSANII BORA WA HIPHOP:
Fid Q
Msanii bora wa kiume:
Fid Q
Mwandishi bora:
Roma...
Nawaomba sana Watanzania, Tumsaidieni ndugu yetu msanii wa filamu SAJUKI anaumwa sana na anahitaji kwenda kutibiwa INDIA mapema iwezekanavyo!!
Waweza kumchangia kupitia AKIBA BANK Account number...
Heri ya mwaka mpya ndugu zangu. Kama heading inavyosema tafadhalini naombeni mwenye contacts za huyu dada nina shida naye sana, either namba ya simu au BBM pin please. Natanguliza shukrani
waungwana tumuombee sana bakulutu anaumwa sana tena sana kwa habari nilizopata kwa ndugu yake wa karibu anasema amelazwa tumbi kibaha kwa yeyote anayetaka kumuona aende pale tumbi au awasiliane...
Ndugu zangu watanzania, naomba tubadilike. Kunamtu anaitwa Shigongo, yeye na magazeti yake wanacho fanya ni kucheza na akili za watu huku akitengeneza hela nyingi sana, kwa watu hao ambao...
Kwanza niwape pole sana watanzania wezangu wepenzi wa tasnia ya filamu nchini kumpoteza msanii wa nguli wa filamu Juma Kilowoko almaarufu kama SAJUKI!japokuwa kifo ni kazi ya mungu lkn hata...
Ugandas music star Joseph Mayanja a.k.a Jose Chameleone has denied any involvement in the circumstances that led to the death of the intruder who entered the singers house last week and...
Chagua Nani Ni Msanii Bora Wa Mwaka 2012 Orodha Ya Wasaniikundi A:hip Hip1.ROMA2.STAMINA3.KALA JEREMIA4 FIDQ5.SHETTA6.GODZILLAkundi B:rnb1.BEN POL2.DIAMOND3.OMY DIMPOZ4.BARNABA5.LINEX...
Kutoka kwenye status ya fb ya John Kitime;
Mpiga solo Luigi B52 wa FM Academia amefariki dunia. Msiba uko Mwananyamala kwenye kambi ya bendi. Jirani na kituo cha Mwananyamala A. Mungu amlaze pema...
Jamani kuna fununu zimetoka hivi punde juu ya Mbilikimo Aunt Ezekiel kufumaniwa hapo majuzi. Najuwa kwa sasa hapa Bongo limekuwa ni jambo la kawaida kwa walio wengi kutoka nje ya ndoa kwani...
Habari wana jamii wenzangu!nimatumaini yangu kuwa wengi wenu mmekuwa mkikitazama kipindi maarufu sana cha MKASI kinachorushwa na na kituo cha runinga cha East Africa TV(chanel5) kikiongozwa na...
Huyu mshikaji nilikuwa namfagilia sana kutokana na wimbo wake wa Riziki. Mashauri yake yametulia sana. Ni wimbo ambao hautachuja kwani unagusa maisha yetu ya kila siku.
RICK ROSE HULIPWA KIASI CHA DOLA $100,000 KWA SHOW MOJA lakini AKIWA NA Mac Miller HULIPWA HADI DOLA $155,000 KWA SHOW AMBAZO
NI SAWA NA TSH.250,000 (MILIONI MIA MBILI HAMSINI ZA...
huyu msanii darasa anatisha vibaya sana namkubali mno.na tena ngoma yake hii mpya ya nishike mkono ndo ananikosha kabisaaa.na we msanii yupi unamkubali
ndiye msanii kipenzi cha wana africa masharik kwa sasa,kwa ubunifu,juhud na kujituma,amekua ndiye mwanamuzic ghari zaid tz(ni ten millions kwa show na mapromota deile wanampapatikia,kwa wiki cyo...
Habari zenu
Mi namfagilia sana huyu mwanamuziki aisee anatisha babaake! Nyimbo kama Starry starry night, The last time na Bella bella zinanikuna sana. Kwa mashabiki wake nadhani mtakubaliana nami.
The happy couple enjoyed a romantic stroll along the beach together as they soaked up the sun together in St Barts on Monday.
Happy holidays! Ellen DeGeneres and Portia de Rossi walk hand in...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.