Sir Andy Chande, kiongozi wa free mason anasema sifa za kujiunga ni lazima mwanachama atoe mchango wa dola 6000. Awe amepata ridhaa ya ndugu. Pia anasema hakuna kafara.
Mbali na sifa hizo...
Kuna wimbo wa kijana anaitwa NAY WA mitego una mistari inayosema 'makahaba wenye viwango wapo bongo muvi',kuna baadhi ya wasanii wa bongo muvi kama HEMED,SHAMSA FORD,SINTA N.K walimtukana sana NAY...
Hee he. H baba leo amefunguka ktk stesheni moja ya redio, na kusema wakati yeye na irene uwoya walivokuwa wapenzi, alikuwa anamgonga uwoya mpaka kupelekea kupata mimba. H.BABA alifunguka na kusema...
Mtoto wa mwanasiasa mkongwe wa nchini John Malechela, William ameamua kuonesha upande wake wa pili kama muigizaji wa filamu.
William Malechela ambaye pia ni mwanasiasa, ameshiriki kuigiza kwenye...
Hivi hawa the comedy wa EATV wanaosema amevurugwa baba ako,au amevurugwa shangazi yako,amevurugwa babu yako kuna chochote wanachotufundisha hapo kweli?
MREMBO ambaye pia ni msanii wa filamu Bongo, Mary John Maua amepiga picha za utupu, kitendo ambacho ni kinyume na maadili ya Kitanzania.
Baadhi ya picha hizo ambazo Ijumaa linazo, zinamuonesha...
inanshangaza sana kuona bongo muvi wakishriki kwenye tamasha la fiesta kila mikoa,alaf wakipanda pale jukwaan hawafanyi lolote zaid ya kujidhalilisha kwa kukata viuona jukwaan,je wanalipwa.?na...
MSANII wa tasnia ya filamu bongo, Wema Sepetu, amefunguka kuwa hawezi kuolewa Tanzania kwani hata akiamua kuchukua maamuzi hayo bado kuna watu wanaweza kumuharibia ndoa yake kwa sababu zao...
kwanza nampongeza kwa kuanzisha icho kipindi cha talk show.....
kilianza kwa mbwembwe nyingi ikiwa ni pamoja na kuwatafuta maceleb hot wa bongo afanye nao interview.........
kwa muda mchache...
Bi.Kidude ni gwiji wa muziki katika Bara la Afrika. Jina lake halisi ni Fatuma binti Baraka. Bi Kidude ni msanii mkongwe na mahiri sana katika fani ya muziki wa mwambao ambao hujulikana kwa jina...
Kumekuwa na kushutumiana kunakoshika kasi kwa wasanii wa Bongofleva kuhusu ishu za ushirikina,ambapo wasanii mbalimbali wanatoa shutuma kwa wasanii wenzao kwamba wanawaloga na kuwaibia bahati zao...
Jamani naomba ushauri napenda sana kuwa superstar sema shida ni kwamba sina kipaji chochote afu pia siasa sipendi.naomba ushauri kama kuna njia nyingine za kuwa star ukiachana na hizo
Mwanasiasa, mwanamuziki, mwandishi na mwanaharakati SUGU ametangaza rasmi kuwa asilimia 33 ya mapato yote ya tamasha litakalofanywa jijini Mbeya na VINEGA zitatumika kuwasaidia waathirika wa...
mara nying nlikua nazckilza nymbo za SUGU za kwenye album yake ya mwisho itwayo VETO juujuu,nldhan amefulia kmashair kama prof.jay lakin leo nimeicklza vzur sana kumbe jamaa bdo kchwa kwa...
huyu ndiye Twite mchezaji wa Yanga aliyetua leo Uwanja wa ndege, mchezaji huyu Mcongo aliyekuwa akiichezea APR ya Rwanda pia alikuwa akiwaniwa na Simba.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.