Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

SIKU chache baada ya baba mzazi wa kachala wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Juma ‘Diamond Platnum’, mzee Abdul Juma kufunguka kuwa mwanaye huyo hamthamini toka amepata mafanikio, watu waliodai wao...
0 Reactions
42 Replies
10K Views
USIOMBE yakukute! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya kusikia kisa cha aliyewahi kuwa mpenzi wa mwanamuziki wa TAKEU, Nice Lucas Mkenda ‘Mr. Nice’, Lulu John (mwenye blauzi nyekundu) anayedai...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ni nani, wa nchi gani, je ameshatoa single yoyote??? I REAL LIKE HER VOICE ..
0 Reactions
65 Replies
17K Views
Na George Kayala na Haruni SanchawaBABA mzazi wa nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Juma ‘Diamond’, (pichani) Abdul Juma ameibuka ambapo mbali na tukio hilo pia amenena mambo mazito kuhusu mwanaye...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
:sleepy::israel::A S cry::flypig:
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MSANII Rehema Chalamila ‘Ray C’ au unaweza kumuita ‘kiuno bila mfupa’ utakuwa haujakosea, amefunguka na kudai kuwa mikakati yake ya ndoa na bwana ake wa Kenya bado inaendelea lakini...
0 Reactions
15 Replies
8K Views
  • Closed
I wonder what happened to keeping it real. Madada zetu siku hizi wanasikitisha sana. Nilikuwa nampenda sana Wema hasa kutokana na uzuri na mvuto wake. Wema alikuwa ana rangi nzuri sana kipindi...
0 Reactions
77 Replies
28K Views
Hongera Dogo, Picha juu ni Taswira mbalimbali za mwanamuziki machachari nchini Diamond Platinumz akiwa mbele ya gari yake mpya aina ya Land Cruiser Prado VX. source: hakingowi blog
0 Reactions
52 Replies
21K Views
BABA mzazi wa nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Juma ‘Diamond', (pichani) Abdul Juma ameibuka ambapo mbali na tukio hilo pia amenena mambo mazito kuhusu mwanaye huyo huku akimsukumia tuhuma...
0 Reactions
43 Replies
12K Views
Mi ni mpenzi sana wa kusikiliza miziki hii ya kina bob, dube etc. Kuna msani wa south nilimfahamu kwa jina la senzo ambaye alikuwa mpiga drum wa luky dube. Nakumbuka vibao vyake vya rasta wakeup...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Msanii huyu Fatuma wa jijini Mwanza anaomba ufadhili kwa ajili ya kurekodi albam yake ya Audio na Video. Kwa yeyote mwenye nia njema na Muziki wa Bongo flavor anaombwa kutoa mchango wake kupitia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimewa miss sana hawa watangazaji, je unawakumbuka? Picha kwa hisani ya RM for the photo!
0 Reactions
28 Replies
9K Views
DEVELOPING STORY: The Okoyes, one of Africas most prominent pop music families, have lost their mainframe with the passing yesterday, of their mother Mrs Josephine Okoye. No word yet from Peter...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
wadau wenzangu wa JF hivi shindano la Bibi Bomba linaloendeshwa na clouds media mnalielewaje? Me naona kama linawadhalilisha bibi zetu hawa na ni kama kujitafutia laana tu kwa kufanya hvyo....
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Nawasalimu wadau Jamani nimecheki event ya wema ni noma sijui pesa anapata wapi ila ni noma. Wolper na muuza unga wake hana lolote, kakalia hicho kigari, jpkate kuvaa miguo myeusi, na sintah...
0 Reactions
59 Replies
8K Views
kuna mtindo umeanzishwa na wasanii wa kibongo kupiga picha na mavazi yenye alama za freemason na wengine kuzionesha ishara hizo hadharani ili tuamini mali walizonazo ni za chama hicho.mfano wa...
2 Reactions
31 Replies
22K Views
MHUSIKA katika kiwanda cha filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu' (pichani), ameangusha bonge la ‘pati ya bethdei' ya kutimiza miaka 18 inayodaiwa kugharimu takribani shilingi...
2 Reactions
73 Replies
29K Views
Japo baadhi ya wasanii wanalalamika kuwa "ma promoter" wanawanyanyasa wasanii, kuna dalili zote kuwa baddhi ya wasanii pia wanataka kutumia fursa za wasanii wenzao kurekebisha maisha. Kiwingu...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
The couple who had initiated themselves to a cult........in fact Tom was there even before they tied the knot and he later nudged his wife to join him there. These so-called Scientologists seem...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Msanii Chid benz, amemuita prof jay mpuuzi baada ya prof.jay kumuongelea chid kwenye kipind cha mkasi kwamba alimuombea ruhusa chid kwa mama yake ili aimbe,pia zaid ya kumtukana alitaka kumpiga...
0 Reactions
33 Replies
9K Views
Back
Top Bottom