Za muda mrefu bwana mambo yanasemaje?Maisha yanasonga mbele vipi JB anaweza akakusumbua kwenye soko.Au utakomaa naye tehe tehe.Oh pole sana kwa msiba bwana nasikia mmefiwa.Ni hayo tu kaka wape...
Kutokana na ambayo nimekua nikiyasoma humu kuna wakati nilianza kuhisi labda JK Si kipenzi cha watanzania wengi tena,hii ni kutokana na watu walio wengi humu kumuongelea vibaya,leo nimejiridhisha...
Sorry guys mnaofatilia video za kibongo kile kitito ambacho kipo kwenye video ya Dullayo ya Twende na mimi na mama bishanga ndio isabela mvuaji au ni kingine na kinaitwa nani?
Na Mwandishi Wetu
STAA anayemiliki mkwanja mrefu katika tasnia ya filamu za Kibongo, Vincent Kigosi ‘Ray', amemvaa ngwiji mwenzake Steven Charles Kanumba na kumchana kwa kitendo cha...
Baada ya kifo cha Kanumba..wasanii wa bongo movies wakiongozwa na Ray,cloud na steve nyerere,wameanza kupita kwenye vyombo vya habari kuchangisha fedha bila kusema zitatumikaje izo fedha...
Baada ya Miss Tanzania 2006 ambae pia ni bongo movie star Wema Sepetu kuzungumza kwenye XXL ya CLOUDS FM jana kwamba alichokifanya Diamond kukataa kuchukua pesa yake ni uswahili, Diamond nae...
Hebu tufikirie kwa undani kuhusu sababu zinazoelezwa na madaktari kuhusu kilichosababisha kifo cha Kanumba,"Brain concusion", nijuavyo mimi Concusion ina madhara ambayo ni minor kama kupoteza...
MSANII ‘sidanganyiki' wa filamu nchini, Elizabert Michael ‘Lulu' ameamua kukiri maovu yake yote ambayo amekuwa akiyatenda huku akijua kwamba yeye ni kioo cha jamii.
Akiongea na Amani...
Si vibaya tukaweka wazi.
Ndugu zangu mnaokuja kwenye msiba wetu wa kijana wetu mpendwa, lazima mjue na muwe makini sana sana hali ni mbaya dunia imebadilka, ndugu zanguni naomba niweke wazi...
Tupeane pole kwa msiba huu wa mpendwa mwenzetu aliyetutoka,wakati huo sisi kama vijana tukiwa na maswali vichwani mwetu ambayo yanapaswa kujibiwa na sisi wenyewe mojawapo likiwa je mwenendo huu...
Whitney Houston's body 'burnt by scalding hot bath and riddled with scars and bruises Sad end: Whitney Houston's body was riddled with bruises and cuts according to her autopsy report
The...
Rais JakayaKikwete aliahirisha safari ya ughaibuni si kwa kuogopa kuwaongezea mzigowatanzania kutokana na tabia yake ya kupenda kusafiri bali kumlilia Kanumba,nilishangaa na kuanza kujiuliza huyu...
Habari za msiba wa mpendwa wetu Kanumba zimeenea sana Afrika Magharibi, kuna wachache wanaoamini kuwa marehemu kagongwa na gari. Kanumba alikuwepo nchini Ghana mwanzoni mwa mwezi Machi. Fuatilia...
Betty amewambia akina mama wa kijiji cha Tinai Tarafa ya Mundemu Bahi kuwa wanatakiwa kuwanyima unyumba waume zao kama njia moja wapo ya uzazi wa mpango .
Hata hivyo njia hiyo inapingwa...
maranyingi huwa najiuliza sipati jibu hivi mtu kuwa celebrity haswa akina dada ni lazima awe anavaa nguo zinazomuacha uchi? nguo fupi za kuiga mambo ya west hebu tuwaangalie hawa dada zetu waliopo...
HII NILIISOMA KULE GLOBAL NA HUWA KILA MARA NILIKUWA NIKIMWONA KANUMBA NAKUMBUKA HII NA MWISHO NILIPOSIKIA HABARI YA KIFO CHAKE NA CHANZO CHAKE STORY HII ILI- CLIK KWENYE KICHWA CHANGU
kanumba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.