Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Sijawahi kuamini haya magazeti lakini ebu soma hapa: http://www.globalpublishers.info/profiles/blog/list?tag=ijumaawikienda11 ukimya wa lulu... - Global Publishers
0 Reactions
8 Replies
2K Views
|Wana jamvi kwa wale walio na taarifa za mazishi ya kijana mwenzetu naomba atujuze hapa jamvini ili watu tujipange plz nawasilisha
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Na nukuu " WAKATI MSANII MWENZETU KAJALA YUKO JELA ETI TAFF NA BONGO MOVIES HAWAMTAMBUI KAJALA WALA HAWAWEZI KUSAIDIA LOLOTE,HII ROHO MBAYA INATOKA WAPI?" Alisema kanumba!
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Msanii anayechipukia katika tasnia ya kuigiza Isabela a.k.a "vai wa ukweli" alijikuta akiuza utu baada ya kufakamia pombe za buree toka kwa maswaiba wake wa karibu jijini Dar,nashuhuda wa tukio...
0 Reactions
53 Replies
22K Views
Salaam. Naomba tupange na tutekeleze mikakati ya kuwakinga wasanii wetu maarufu kama Lady Jay Dee, Mwasiti, Wema, Diamond na Professor Jay na hizi zahama zinazopelekea kukumbana na mauti ilhali...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Kwa wale walio jirani na tv hivi sasa angalia Eatv muda huu mahojiano kati ya Salama na Lulu. Mtoto mdogo mambo mazito.
0 Reactions
6 Replies
9K Views
Toka Morogoro mastar wawili wa muziki wa Bongo Flava wanatengeneza news siku yale, hawa ni Selemani Msindi, ‘Afande Sele’ na Abbas Kinzasa ‘20%’, ambapo juzi walizua tafrani kubwa mjini Morogoro...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Leo nilikuwa nasikiliza kipindi East Africa Radio ambacho kinaendeshwa na Misago,alikuwa anafanya mahojiano na Msanii maaarufu kanda za kaskazini JCB,kuwa anaionaje hali ya Arusha na maswala...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Players, fans and others shows their suport for Bolton miedfielder, Fabrice Muamba who is still in critical condition at Chest Hospital due to cardiac arrest happened to him in this weekend's FA...
3 Reactions
37 Replies
4K Views
Nampenda kwa jinsi anavyoandaa vipindi vya michezo vya kwenye luninga.. Huyu bwana anaipenda kazi yake kweli! Kamarada wala hamfikii..
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Afande Sele na msani mwenzake 20p% wamekamatwa jana na polisi mkoani morogoro jana na kufikishwa mahakamani leo kwa kosa la kufanya fujo na kuharibu mali.
1 Reactions
31 Replies
4K Views
msanii wa kizazi kipya CHID BENZZ
0 Reactions
25 Replies
8K Views
Wanapo kwenda ni pabaya sababu kama ni mfatiliaji wa taarifa za habari,jana niliamua kuchungulia tbc1 na kukutana na habari inayohusu wao kuandaliwa mpambano j.pili. Sikuwa na tatizo na hilo bali...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Huyu si nanihii yule au namfananisha tu? Kabambwa anafanya shopping mahali
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Askari wa jeshi la polisi nchini wamempa kibano staa wa bongo freva, Abdul Sykes'Dully Sykes'. Dully, alivuka mataa wakati askari wa usalama barabarani walikuwa wamezuia magari kupita ili kupisha...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Jamaa mshamba kweli. Anaulizwa na Diva kama ana girlfriend anajibu ooh maswala ya siasa yasichanganywe na siasa. Clouds wakaamua kumkatia simu. Yaani huyu jamaa anafikiri kila sehemu ni kuuza...
0 Reactions
213 Replies
18K Views
Kwa upande wake mgombea ubunge, Bw. Joshua Nassari, naye alimvaa Bw. Wassira kwa kauli yake ya kutaka wananchi wasimchague kwa kuwa hajaoa. "Kwa kuwa wameniambia sijaoa, nitamuoa Halima Mdee...
0 Reactions
151 Replies
19K Views
The Legend Flora Mbasha and her husband Mr Emmanuel Mbasha as they visited VOA studio in Washington DC in USA Boston, USA, Wednesday, April 4, 2012. INTRODUCTION It is now approaching a...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Yule NGULI wa Maskendo bongo anafanya Mahojiano na Jamaa wa XXL muda huu...
0 Reactions
193 Replies
30K Views
...................... BuntyBubly: Biggest portal for wallpaper desktop
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom