Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Mimi binafsi nisikiapo sauti ya kiongozi wa nchi Redioni au kwenye luninga roho hunidunda najua kuna kitu muhimu nakuja kusikia Sasa hawa wa jamaa clouds naona kama wanaitumia vibaya sauti ya Mkuu...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Yani na kelele zao zote hapa mjini ni asilimia 20 tu ndo wana miliki magari yenye thamani zaidi ya milioni kumi na tano. Wengine wote ni chini ya hapo. Alafu makelele kila kukicha..kwenye...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Sikatai kila mtu ana haki ya kuamua kitu lakini nimekuwa nikijiuliza kaka yetu sunzu ataacha lini kujichubua na hili linamfanya hata alipoumia kwa kweli upande wa kushoto ukiangalia namkumbuka...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
huyu padri alikua ni mwalimu wangu pale Visiga enzi izo.....hongera padri kwa katoto! h Skendo ya ngono inaitikisa Kanisa la Katoliki, Parokia ya Mburahati lililopo wilayani Kinondoni jijini...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Yani na kelele zao zote hapa mjini ni asilimia 20 tu ndo wana miliki magari yenye thamani zaidi ya milioni kumi na tano. Wengine wote ni chini ya hapo. Alafu makelele kila kukicha..kwenye...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
eti mbna orinjino komedi atuwasiki cku hz?nan ana habar zao?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Omotola and husand celebrate 16 years of marriage The star actress wed her pilot husband Mathew Ekeinde exactly today (March 23 1996) 16 years ago at the Ikeja registry. Their white wedding held...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Leo katika kipindi cha SUPER MIX EAST AFRICA RADIO,alikuwepo seleman msindi AFANDE SELE amezungumza mambo mengi tena kwa uchungu kwa mfano amesema kuwa harakati za kupinga virus wa huu mziki...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Upo poa sana ndio nasikiliza interview yake na Michael Baruti na Zembwela. Nawasilisha.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Mkali wa bongo movie ambaye pia ni muimbaji wa bongo flava Hemedy Suleiman PHD leo usiku kuanzia mishale ya saa 4 na nusu usiku atakuwa katika kipindi cha weekend chat show ndani ya clouds...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
FAMILIA ya hayati Whitney Houston imemwomba mwanamuziki, Ray J, asitoe mkanda wa video unaomwonyesha akiwa faragha na Whitney baada ya habari za kutaka kutolewa mkanda huo kuzagaa...
0 Reactions
7 Replies
11K Views
Tunaomba listi au majina ya vijana angalau 20 tu, na taaluma zao ambao wanaweza kuleta mabadiliko makubwa katika nchi yetu kutokana na uwezo walionao. Hii listi tutaipeleka kwa waziri mkuu pamoja...
0 Reactions
37 Replies
6K Views
BAADA ya kufanya vizuri kwenye muziki, festledi wa lebo ya Young Money, Nick Minaj sasa ameanza kupanua wigo wa kibiashara baada ya kulamba dili ya kutangaza kinywaji cha Pepsi. Inasemekana dili...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani wacha niseme wana kwa hili kwani huyu jaammaaa ni bonge l amtangazaji hata salama jabir akirudi pale pb hamuwezi na angepewa na hnl tuachane na yle tozi anashobokea wasichana na hata swaga...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari wadau, Nimehakikishiwa na m1 wa mafundi wa riz1 aliyejenga pale darlive,kwamba ni ya kwake kabisa na pili ashanunua kile kiwanja cha pembeni cha CRDB na wanajenga parking,CRDB...
0 Reactions
27 Replies
10K Views
Tajiri na bilionea wa kwanza duniani – Carlos Slim Helu wa Mexico Anamiliki utajiri wa:$74 bilioni Taarifa zilipatikana March 2011 Chanzo cha utajiri: Telecom Umri: 71 Uraia: Mexico Tajiri na...
1 Reactions
14 Replies
78K Views
Lets talk about NAPE NNAUYE as a celebrity in politics industry,is he just a famous person due to his position and responsibilities or he is a potential polititian deserving more tha what he...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Sameera Reddy The Hot And Sensational South Actress Sameera Reddy Spicy Hot Stills. Check Out Her Spicy Picture Gallery In HD Quality. She Has Worked In Bollywood Movies Too.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa nini wasanii wengi wa Tz wanapenda kuimba nyimbo za kulalamika? Malalamiko mengi ni kuachwa au kukataliwa kisa pesa...kilio kimekuwa ni pesa pesa..umasikini......ebu tujikumbushe hawa...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Back
Top Bottom