Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Popote pale Ulipo Jitokeze GK..... Ma fan wako wa ukweli tupo..... Na we really Miss You.
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Wadau hili suala limekuwa linanipa headache naombeni suggestion zanu kwamba ni nani aliyemwanzishia mwenzie na kwanini
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Wadau wa JF, Naangalia kipindi cha ongea na janet clouds TV,kama unataka kuongea nae mtumie email:: ongea@janet.co.tz Host: Janet Sosthenes Mwenda Tallawa
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ni muda sasa umepita toka 2pate taarifa kutoka vyanzo tofauiti vya habari isipokua nyie kua mwenzenu ni mgonjwa(JOSEPH SHAMBA). Kupitia picha zilizowekwa hapa kweli mwenze2 uyo alioneonekana kua...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Saleh J (real name: Saleh Jaber) from Tanzania was the first rapper in East Africa to release an album with raps in Swahili. Although he wasn't the first to pick up the mic in Tanzania, his tape...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Sio shabiki saana wa huu ushenzi wa big brother ila kwa hizi tetesi ninazosikia kuwa hemed atakuwa muwakilishi wenu Big brother........mmekwisha.....
0 Reactions
46 Replies
8K Views
Mi nko zangu pande za external london pub nackia kuna msanii anataka kujitambulisha anaitwa zola D kwel bongo ha2na celebrit
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Ok guys nadhani tunawajua rick ross na jeezy hawa watu naamini ndio wanasemekana wana pesa sana maana wana miliki vituo vingi vinavyo supply cocaine na bangi nchini marekani jeezy akishikilia...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Napenda kumjua huyo bwana,msaada please
0 Reactions
4 Replies
5K Views
TABASAMU: BOBBI KRISTINA KURITHI MALI ZOTE ZA WHITNEY HOUSTON
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Dah hlo jimbuz alilopata linamwaga hela source sintah blog
0 Reactions
44 Replies
7K Views
Hemed, kamuita jaji kuwa ni mbeya tena mshamba, teana akaajiriwe mashambani na kuwa mkulima. Akaendelea kuponda kuwa Ian hana single wala movie. Huyu dogo must be mad.
5 Reactions
134 Replies
17K Views
A portrait of late singer Whitney Houston made up entirely of pills has been created by mosaic artist Jason Mecier. In the past, Mecier has made similar portraits of Amy Winehouse, Michael Jackson...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
:embarassed2: Helow....................................Wasanii Tanzania mnatakiwa kushindana kwa maendeleo na si mavazi,simu,starehee na mengine mengi yanayopoteza mda msije...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
kama ilivyo ada ya jukwaa hili la maceleb ni kuwaanika hapa na kujua michango yao mbalimbali so far ya kiuchumi;kijamii na kisiasa ikibidi........ naomba kupat ainfo za huyu mdada...namzimikia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani nimemkumbuka sana First Lady wetu Salma Kikwete........sijamuona siku nyingi sana na si kawaida yae kutong'aa habarini kwa muda wote huu........ama badu kuna tetesi za hapa na pale mjini...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
mimi sina uhakika sana abda wewe unayesoma ss hivi.............
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kny link ifuatayo hapa chini ni wanamuziki mamilionea bongo mwaka 2008 kutoka katika blogu ya kaka Michuzi Anaongoza Lady Jay dee Mil. 500 na wa kumi ni Mwana FA Mil. 50 duuu MICHUZI...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mnaweza kuniandikia nyimbo zote za album ya mkuki moyoni ya Afande Sele. Asanteni sana.
0 Reactions
1 Replies
9K Views
Back
Top Bottom