Wakuu, nimekutana na hii kitu kwa wazee wa gizmodo, kilichonivutia siyo headphone ya huyu dogo, bali ni comment za wadau kuhusu muelekeo wa RAP na HIPHOP. Binafsi naamini kabisa kuwa rap ya sasa...
taarifa:kwanza poleni na samahanini kwa hali ya sintofahamu iliyotokea leo kutokana na taarifa za ghafla za usuluhishi kati yetu na ruge/clouds fm,ni kutokana na unyeti wa issue yenyewe ilibidi...
I hear her voice in the morning hours she calls me.The radio remind me of my home far away,and drivin' down the road I get the feeling.That I should have been yesterday.Country road,take me home...
Hivi Braza Maradona mzima kiakili au anaigiza kuwa bado kadata kimtindo?! Anasema Morinho anaweza kugeuza coin kuwa rose lakini yeye bado hampendi kama kocha...!
Kwa jinsi inavyoonekana ni kua MAGENGE YA VINEGA(mapacha,adili mkwela,peen lawyer,chief rumanyika mkoloni na wengine wengi) pamoja na SUGU walikua kwenye movement 1 lakin kila mtu alikua na madai...
Ni maajabu kusikia nabii anabaka,bado siamini mbona hajashitakiwa?au ndio mambo ya mwenye kesi ya kuiba kuku kuhukumiwa mwaka mmoja jela,fisadi wa epa anaombwa arudishe mabilioni aliyoiba.
Kweli hakuna cha MWANADAMU kisicho na BEI!!!! (Naamini vya MUNGU havina BEI, Mfano KIFO, UHAI nk)
TAMKO LANGU KWA UMMA HILI HAPA :::PEEN LAWYER:::
February 22, 2012 in Uncategorized
::::SINA...
SIJAKUBALIANA NA MAPATANO YA SUGU NA RUGE/NA KAMA KWELI HIZI NI HARAKATI BASI KINEGA BADO NTAZIENDELEZA.
Unajua nini..!iam swahili original,,,na ntaendelea kuwa mimi kama awali…!kazi za...
msanii anayetamba na kibao maarufu kwa jina la "NAONGEA NA RIDHI ONE" Kutoka jijini mbeya amekashifu harakati za mh. Sugu alipoulizwa kwanini ameshndwa kuonesha support kwa kushiriki show za...
Wasalaam
Wakuu leo tumeshudia kumalizika kwa bifu lililodumu kwa muda mrefu baina ya Sugu na Ruge, kwa mujibu wa wa Sugu na Ruge wao kama wao wamemaliza bifu lao,lakini je vipi kuhusu Vinega wao...
Akiongea na DJ Nico Track(sharp shooter) wa Capital radio, Ney wa Mitego amesema hapendi kuona wanawake wakipigwa na wanaume. Katika wimbo wake mpya unaoitwa Mwanamke Hapigwi, jamaa amesema...
After the African Cup of Nations finals in Gabon, Chipolopolo the Zambian National Football team have become the newest celebrities on the continent, they have made us proud especially since we...
Ibada inaoneshwa CCN live, right now Rev T D Jakes anaongea. Inaumiza na kusikitisha sana, she was too young, shared by the world!
Its harder for her daughter too I can't imagine!. She was an...
Wana Jf naomba mwenye taharifa za wapi alipo na shuguli anazofanya huyo waziri wa zamani wa mambo ya ndani na mwanasheria mahiri na mwanzilishi wa IMMMA Advocate. Kumekuwa na uvumi mwingi juu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.