Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Wana jf mimi ni moja wa wapenzi wa muziki wa Mbaraka Mwaruka enzi hizo hadi sasa. Wapi naweza kupata vcd/dvd ya mwanamziki huyu.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Gerald Hando ameingia kwenye mgogoro na uongozi wa Clouds Radio baada ya kuonekana kwenye shoo iliyoandaliwa na Mbunge wa Mbeya mjini maarufu Sugu. Mtangazaji huyo wa kipindi cha asubuhi cha Power...
1 Reactions
25 Replies
8K Views
Mara baada tu ya kumaliza tamasha lao pale k/nyama 26/11 vinega hawa j3 yake wakatangaza kuwa 'Mbeya your next' sasa mara baada tu ya clouds+airtel kutangaza kuwa tour ya Bongo50 itakwenda mbeya...
0 Reactions
40 Replies
6K Views
Jide ni Celeb wa bongo............ilo halina ubishi! nimekua nikufuatilia blogu yake na source zingine zinazohusiana na izo.......kwa kipindi fulani hasa cha November last year kulivuka uvumi hasa...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
agnes wa masogange ndie video queen kwa bongo sasa hivi kama unavyomuona ni mrembo na umbo la kuvutia huyu ndio yule wa kwenye wimbo wa masogange mapenzi yautesa moyoooo mapenzi yaumiza moyooooo
0 Reactions
32 Replies
14K Views
Kipanya ndie muasisi wa Maisha Plus, naomba nijue imeishia wapi hii Maisha Plus, manake imekuwa kimya sijajua tena itaendelea au ndo kwish nei. Wanajamvi wekeni wazi hapa
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Haya mashindano ya kili awards sijawahi kuyaelewa., miaka yote 99.9% ni wasanii wa dar ndio wanakuwa nominated tena wengi wao hawastahili ni kwa kubebana tu., ni kweli mikoani hamna wasanii..? Au...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Mwenye mawasiliano na huyu mrembo aliyeimba NAFSI INAUMA, na INATOSHA anipe.Nataka niwe nae milele amina
0 Reactions
2 Replies
2K Views
SEXY lady mwenye umbo tata, anayeuza nyago kwenye video za wanamuziki wa Kizazi Kipya na filamu za Kibongo, Agnes Gerald ‘Masogange’, amesema anatafuta dawa ya kupunguza makalio yake kufuatia kuwa...
0 Reactions
27 Replies
8K Views
Angelina Jolie receives threats over In the Land of Blood and Honey Jolie and several Serb members of the cast have received online threats after the film premiered before 5,000 people in...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kumbe raisi Amani Abeid karume sio mtoto wa mzee Abeid Karume raisi wa kwanza wa zanzibar. Inasemekana aliekuwa raisi wa zanzibar Amani karume sio mtoto wa marehemu abeid karume raisi wa kwanza...
0 Reactions
29 Replies
16K Views
Wadau nilikuwa nikiangalia kipindi cha mkasi cha salama j. kiukweli nimevutiwa sana na wema maana the girl is so confident and very open kuhusu life lake, nimeangalia hadi nikamfananisha na kim...
0 Reactions
78 Replies
10K Views
Original comedy wapo Kagera kukusanya mchango wa ujenzi wa kanisa. Watu hawakujulishwa hili na hakuna uhusiano hapa. Jambo hili mnalichukuliaje wana jamii.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
  • Closed
NICK MINAJI WA YOUNG MONEY JANA ALIINGIA KNY TUZO ZA GRAMMY AKIWA AMEVAA KAMA SISTA HUKU YUKO NA KIBABU FULANI KIMEVAA KAMA PAPA KABISA... ANGALIA PICHA KNY ATTACHMENT.. HUU NI UHUNI NA...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kutokana na Msiba mkubwa ulioikumba Dunia juzi usiku wa mwanamuziki maarufu na mtunzi wa nyimbo Whitney Houston Je ni Yupi kati ya hawa unahisi ana hamu ya kwenda kwenye mazishi kuiwakilisha...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Eti kuna ukweli wa hili jambo kuwa kila huyu star wa Club ya Arsenal Ramsey anapofunga tu,lazima utasikia mtu maarufu anakufa. Kuna ukweli wa hili jambo?.
0 Reactions
51 Replies
6K Views
MSANII wa filamu, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ametoa kali ya mwaka na kueleza kuwa, kwa aibu aliyonayo awapo faragha na mwanume ni lazima awe amekunywa pombe la sivyo mambo hayawezi kwenda sawa...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Basata wako wapi? Ni matusi tupu: "Nakupenda boy,usiongeze tayari nishaloa"--mwimbaji wa kike "Usiwe mbishi kama ndimu,hautoi maji mpaka ukamuliwe?"-Dudubaya Nawasilisha
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Aisee hawa wasanii wawili wametoa megamix ya nyimbo zao karibu zote zilizowahi kusumbua kama niaje, wanoknok, dingi,n ikupe nini na nyinginezo, hii megamix ni kali balaa. Nshaiona kny local tv...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Back
Top Bottom