Verse I
Baada ya kumaliza primary la saba mamu mjini dar
Akapata mchumba mtu wa mwanza mamu akampenda
kwa kua mamu alimpenda sana hivyo akaona vyema nyumbani kusema
Akamwambia mama kwamba mama...
WanaJF nakumbuka nikiwa shule ya msingi watangazaji hawa walikuwa mojawapo kati ya watangazaji maarufu kwenye radio Tanzania.
Ezekieli malongo alikuwa akisoma habari za michezo saa mbili kasoro...
Wakuu nyota yetu ya kikapu inahitaji maombezi.......tangu ajiunge na houston rockets kacheza mechi 4 tu kwa dakika 38 tu......statistics yake kiukweli hairidhishi.....anahitaji akaze buti kisawa...
Katika hali ya kushangaza
mh duly sykes ametangazwa anasumbuliwa sana sana na anajuta kwa nini amezaliwa handsome
kwa kuwa ajaamini kinachoendelea...duly sykes amesema amekuwa akisumbuliwa sana...
Msanii na producer al-maarufu kama benja wa mambo jambo kuna tetesi amepata ajali
Sos:EA Radio lakin bado haijathibitishwa
NB:kama amepata ajali leo,hii itakua ya pili ndani ya wiki hii,mara...
amefunguka leo ndani ya supermix ya e.africa radio
amedai ameoteshwa na mungu na ameambiwa ataanza kutenda muujiza mpya soon, tena utakua wenye nguvu kuliko kile kikombe maarufu kama kikombe cha...
Nimekuwa nikijiuliza hili swali mara nyingi bila kupata majibu. Hivi unaposema fulani ni star au super star ktk eneo fulani kama ni film industry au ktk soccer...what does this means? Katika...
Januari 29, 2012, Sugu atawaongoza wanaharakati kibao katika shoo babkubwa itakayofanyika kwenye Klabu ya New Maisha, Oysterbay, Dar es Salaam.
Sugu ameandika kwenye ukurasa wake wa Facebook...
Huyu mtangazaji wa muda mrefu tena mwenye haiba kubwa katika fani hii.
Jana nilimwona kwa mechi ya Twiga Starz, akiwa amenyoa KIDUKU a.k.a 'bwenzi'
Huyu bwana, kulingana na uzoefu wake na umri...
nakumbuka huko nyuma mch. rwakatale wa mikocheni B assemblies of God aliwahi kutumia mtindo wa kununua vitambaa (leso) vyeupe na kuviombea kisha anawapa watu ati wakivitumia kama kuviwekwa kwenye...
Nimesoma maandishi ya Mohamed Said na nimegundua kama kila mtu angekuwa kama yeye nchi hii isingefika hapa ilipofika. Mohamed Said ni shujaa anayethubutu kusema yale ambayo wengi wetu wanayaogopa...
nimefurahi kuona kituo cha matangazo cha DTV kikiwapa airtime VINEGA sio tu kupiga nyimbo zao hata kuwafanyia interview na kupata kuwaelewesha wananchi madhumuni ya vinega. safi sana. ova
Katika hali isiyo ya kawaida msichana 1 kutoka mkoani Kirimanjaro aliyejitambukisha kwa jina la Yusra Bakari amejitokeza hadharani kuwa anampenda Diamond kupita kiasi, na yuko radhi kuoldwa nae...
Nilisikia wakiwa morogoro walileteana zengwe na 20 akamtukana sana Walter cjui ndo alikua nyasi au alikua tungi..? Embu niupdate jaman wats goin on naw btn the 2?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.