Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Hili linaitwa jukwaa la celebrities, je ni nini sifa za mtu kuitwa kuwa yeye ni celebrity hasa. Tusaidiane wakuu
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jaman me nina cku nyingi sana cjamckia wala kumuona Lulu magazetini,hvi bdo yupo kweli au ndyo kashaenda kumfuata Justin Beiber mbele mbele coz na yeye haishiwi na matukio?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimeona videos na kusikia nyimbo mpya za wasanii wenye majina makubwa bongo kama kina Matonya, AY, Mr. Blue, Prof Jay, Jaffarai, Amani, TID na kadhalika na sijapenda nilichokiona. Kwa ufupi ni...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
duka la mariedo na bidhaa FEKI na CHEAP Kwanza maduka yao yako so depressing...rangi rangi nyingii utafkiri yale cover ya sinema za porn za 1960's pili sijui kwa nini wanauza vitu feki feki tena...
0 Reactions
25 Replies
6K Views
wadau leo mchana msanii wa muziki Bob junior amekiri live kwamba alilipwa m7 cash ili amfanyie shoo kigogo mkubwa wa kike hapa nchini ambaye ni mwanasiasa mkubwa anayeishi masaki tena wakiwa...
0 Reactions
69 Replies
8K Views
Jaman mwenzenu nampenda kinoma mwanamziki Linah Sanga..mwenye details zake animwagie
0 Reactions
5 Replies
2K Views
...Kuna taarifa zimeanza kusambaa kuwa VODACOM-Tanzania inaweza ikajitoa kudhamini Miss Tanzania muda si mrefu watatoa taarifa rasmi.Akiongea Meneja Masoko wa Vodacom ndugu George Rwehumbiza...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Tumwombee msanii nyota amepumzika sasa kwa masharti ya daktari ili isitokee tena miscarriage kama hapo awali....
0 Reactions
36 Replies
6K Views
Jcb leo azingua stagini baada ya kupanda jukwaani soweto na kusema hataki ma underground kupanda jukwaani wala kumpa hi., hali hiyo imeleta purukushani kubwa hadi watu kutupa mawe jukwaaani...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Nimekutana na ferooz leo nimefurahishwa sana na mwenendo wake veeery calm guy down to earth hataki makuu kabisa....nadhani muda ni muafaka sasa kwa wenzake kuiga mfano wa kijana huyu
0 Reactions
19 Replies
4K Views
dizain kuna ngoma kali hivi inahit siku hizi mdundo wa kwaito afu chorus yake inaimbwa na madem wanaitikia "facebook"nataka nijue jina la msanii na jina la nyimbo hiyo
0 Reactions
5 Replies
2K Views
...Wakuu kama wewe ni mpenzi wa comedy hasa za kibongo utakubaliana kundi la comedy linalorusha vipindi vyake kila alhamisi kuanzia saa 1 usiku ni noma..jamaa ni talented na wanajua kuchekesha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
HIVI karibuni kulikuwa na shangwe, hoihoi nderemo na vifijo pale muigizaji nyota wa filamu wa Nigeria, Chinedu Ikedieze, maarufu kwa jina la Aki (33), alipofunga pingu za maisha na mrembo Nneoma...
1 Reactions
44 Replies
12K Views
HighGrade Sounds.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
I am sure most of girls will love to have a Mr. right who does all of these? Au ni ubishoo na kutaka cheap popularity?
0 Reactions
43 Replies
6K Views
Huyu jamaa (Manji) aliwagombanisha hawa vijana(Orijino Comedi, Masanja Mgandamizaji ) na mheshimiwa Mengi akawatoa Channel 5 kwa mbwembwe na trip ya UK na mishahara mizuri, hadi ikafikia hawa...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Jay-Z has said he would stop using the word 'bitch' after he and Beyoncé Knowles had a daughter, Blue Ivy Carter. Photograph: Reuters/Corbi Nilifikiri heshima hahitaji hadi ulizwe au utishiwe...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
  • Closed
Jana kwenye mazishi ya Mh Sumari nilimshuhudia Mengi Akiwa na Jackline Ntuyabaliwe kama mtu na mkewe.Sielewi huyu mzee anafundisha nini vijana wa taifa hili bila hata aibu,age difference ni mtoto...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Heidi Klum and Seal -- are they splitting up? That was the question over the weekend, and on Sunday the couple confirmed the news: After seven years together, they are calling it quits. "We...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Supermodel Heidi Klum and singer Seal were reported to be heading for divorce, but yesterday's rumours have taken a more positive turn overnight, with claims the couple haven't split yet...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom