Wana JF,mwenzenu nimetafakari nimekosa jibu,maana vyuo ni vingi mno na wengi wanazidi kusoma,sasa wakimaliza hizo elimu,wapi watakwenda?Maana zamani vyo vilikuw avinahesabika ,,,
our broda has been traded once again.This time is from Houston Rockets to Portland TrialBlazers.The deal was confirmed on the NBA trade deadline.
he is still having some tough time in NBA as the...
Kuna tetesi zimezagaa mtaani kuwa hawa jamaa wawili ambao wako katika fashion Ally Remtulah na Rio Paul ni wanajihusisha na vitendo vya ushoga.
Hii ni baada ya Ally Remtulah kuwa na tabia ya...
Mama Tunu Mizengo Peter Pinda, mtoto wa Mkulima, hana makeke ...sijamwaona muda mrefu hewani, leo namwona akiwa hewani TBC - 1 kuomba msaada wa kuicahngia CHANETA.
Kazi ya Mke wa Waziri Mkuu...
STAA wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper ‘Amber Rose wa Bongo', juzikati alinaswa akichunguliwa nyeti zake na msanii kutoka Afrika Kusini, Cleopas Monyepao ‘DJ Cleo'.
Tukio hilo...
mchekeshaji maarufu Sharo Milionea akiamba na mpira kuelekea langoni mwa timu ya wachekeshaji ya Mwanza na kuipatia timu yake bao la nne, Dar Comedy walishinda 4-3
Wanajamvi naomba kujuzwa aliko Francicy Kiwanga(kijana)mkurugenz wa tume ya haki za binamu,naona siku hizi kuna yule mama Helen kijo Bisimba,au ndo ameshukua nafasi yakijana yule
My take...
Dah aslay itabidi aende kwa mama kuwaremelea kili awards maana katika orodha zote nilizozipitia za kupiga kura za kili awards 2012 kwa kweli inasikitisha sana dogo aslay hayupo hata tuzo moja...
Mtindo wa Kata K
Mwizi mmoja hapa London aliyekuwa akijaribu kukimbia baada ya kufanya wizi wake, aliuhisi mkono wa sheria ukimkamata baada ya kuanguka, kwa kuwa alikuwa amevaa suruali yake...
Polisi wa Moscow
Polisi katika mji wa St Petersburg wamesema wamemkamata afisa wa polisi akiwa anaendesha gari la wizi.
Gazeti la RIA Novosti limeripoti siku ya Alhamis kuwa polisi huyo kapteni...
kuna ngoma nimezisikia leo Kiss Fm nikamkumbuka huyu Dj aliyekuwa pale Mawingu kwenye Mid morning jam! Kipindi hicho Clouds moto kweli! Dj Boogie Master alikuwa mkali wa selection ya nyimbo kali!
Leo katika kipindi cha Leo Tena cha Clouds Redio kinachorushwa kila Jtatu hadi Ijumaa saa 3 asubuhi hadi saa 7 mchana nimesikia kasheshe iliyomkuta Wema ya kugongewa gari lake. Inasemekana kuwa...
nimeingia teentz.com mara nikaona sehem ya kupiga kura kili Music Awards 2012 mara vuuuup jamaa yupo ndani ya tuzo ya Mtumbuizaji Bora wa Kiume ///// Mwimbaji Bora wa Kiume////// Wimbo Bora wa...
Nimekuwa nikifatilia kwa karibu sana kuhusu harakati za sugu na vinega, Hizi harakati ziimekuwa zikiendeshwa na wasanii wa mziki wa kizazi kipya ktk kuprotest ukandamizaji unaofanywa na baadhi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.