Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Dah, nimemmis sana jama hasa kwenye sakata la Kafulila, jamaa kapotea sana lakini sina shaka kwamba HAYUKO INDIA, mwenye taarifa au mawasiliano naye tafadhali mumwambie japo atutakie heri ya mwaka...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
John Ngahyoma Broadcaster Ngahyoma dies in Dar es Salaam Seasoned journalist John Ngahyoma (50) has died in Dar es Salaam after a long battle against liver cancer, his brother also a journalist...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwanamuziki Andy Swebe a.k.a Ambassodar aliyepata kuvuma sana na kundi la MK GROUP enzi zile akipiga gitaa la base, leo asubuhi amefariki dunia baada ya kubanwa na pumu. Msiba upo Kijitonyama...
2 Reactions
29 Replies
6K Views
Jamani, Nasikia amefariki asubuhi ya leo. Chanzo: Idhaa ya Kiswahili ya BBC jioni leo tarehe 30 Desemba 2011.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni mtangazaji wa TBC Taifa amefariki alfajiri ya kuamkia leo saa 9 kwa presha. Source: TBC Taifa
2 Reactions
98 Replies
21K Views
Marijani Rajabu a.k.a. Doza akiwa bado kinda! Muone Marijan Rajabu katika onyesho 'live' Wengi humfahamu Marijani Rajabu kama mtunzi na muimbaji, lakini alikuwa pia mpiga gitaa mahiri...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Mama wa Egypt strikes again so basically kwenye nchi ya watu milioni 45 hawa ndio aliowaona yeye TANZANIA'S 15 MOST ELIGIBLE BACHELORS you know the drill...copy pics and details zileteni huku...
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Hay members na mafriends wote wa Jamiiforum nawatakia herina fanaka katika kuukaribisha mwaka 2012
1 Reactions
1 Replies
859 Views
Ni mke wa Mchungaji lakini pia ni mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili. Mwenzenu kila nikisikia sauti yake nakosa nguvu, mapigo ya moyo yanapiga kwa kasi. Nikimwona kwenye videos zake ndio kabisa...
3 Reactions
33 Replies
12K Views
Mambo ingine bana lol Kim K. gets 600K to party PSP - MSN Popular Searches Entertainment
0 Reactions
1 Replies
1K Views
According to mke wa mjenzi aka mama wa misri TANZANIA'S TOP 10 FASHIONISTAS FOR THE YR 2011.... sidhali kama waliopo kwenye listi hii watalalamika lakini mnaweza kuiwahi kuicopy kabla wenyewe...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Stay tuned now
0 Reactions
25 Replies
6K Views
Sijui hawajui au anaewangalizia kajisahau.....site yao naona imepigwa pini kiaina.... Account Suspended Mwenye ukaribu nao awashtue ili wapenzi wao waendelee kuwafatilia kwa ukaribu
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Simply FabulousThe Carters were snapped on their yacht off the shores of Croatia.
0 Reactions
264 Replies
39K Views
Sikia hii; jamani nimeamua kuirusha hii maana nayo ni habari, eti Kocha wa timu kubwa kama Yanga hajalipiwa umeme na maji hadi akakatiwa....na kwamba timu haijafanya mazoezi kwa siku saba kutokana...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
  • Closed
Yupo anahojiwa na Joyce Kiria wanawake Live...sikuwahi kumuona akiongea au akihojiwa...first lady wetu mtarajiwa!!! Mada ni ujasiriamali..
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Sugu a.k.a Joseph Mbilinyi pamoja na kundi la vinega wametoa msaa wa gunia 42 za mahindi kwa waathirika wa mafuriko yaliyotokea siku chache mkoani mbeya! Msaada huo wa gunia 42 una thamani ya mil...
4 Reactions
34 Replies
4K Views
  • Poll Poll
Nawatakia mafanikio katika shughuli zenu zote marafiki zangu wote
0 Reactions
0 Replies
997 Views
Kuanzia mwezi wa sita wakazi wa mkoa wa PWANI hawaja wahi kupata usingizi siku za wiki end wadau naomba 2jadili.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Lil Mama getting the kankles and everthing. :(
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…