Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

wema sepetu diamond kanumba jack ray bob junior wolper nisha aunt ezekiel lulu kabula rehema hawa nyekundu still wako active na vituko vyao kwa kweli nikiwa kama mtanzania naomba mjaribu...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Celebrities | View Tz Pata taarifa za huyu kijana kwa undani.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Died at the age of 98 Joseph Henry "Joe" Simon (born Hymie Simon; October 11, 1913[1] - December 14, 2011)[2] was an American comic book writer, artist, editor, and publisher. Simon created or...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Soggy Doggy Vs Inspector Haroun nani zaidi?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mission Impossible's Tom Cruise wants to make David Beckham into a film star by Ashleigh Rainbird, Daily Mirror 14/12/2011 Decrease font size Increase font...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Akieleza maisha yake baada ya kutimu miaka 18---
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kila ukiongea na watu wa nyumbani utasikia hakuna umeme, Ngereja kawatembelea: Umeme unapanda bei January huu, watu wamekaa mkao wa kula! Wenye vituo vya mafuta wamegoma! Mafuta bei juu, dala dala...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Ilikuwa siku ya kupendeza kabisa kwa ndugu Mwisho Mwampamba na Mwanadada Merly kutoka Namibia kufunga pingu za maisha nikimaanisha ndoa na kuitwa mume na mke. Ndoa hii ilifungwa tarehe 10 mwezi...
0 Reactions
38 Replies
8K Views
hivi huyu jamaaa yuko wapi???? Alifanya kazi gazet la sani.. Kipindi kile hadithi ya kina Ole, na wengineo nimewasahau.. Tukumbushane wadau
0 Reactions
13 Replies
4K Views
mapozi yake yanatatanisha sana. Anaweka sana mikogo akiwa kwenye kipindi kiasi kwamba inaleta utata wakati mwingine, hivi swaga maana yake ni kubana pua ukiongea? kujirembulisha? kuweka mikogo?
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Jamani hivi kale kadada kaliowatia aibu dada zetu wa kibongo kwa kutingisha viguu badala ya mauno kule Big brother kako wapi siku hizi?? Naona kametemwa EATV lakini si vibaya tukijua kalipo...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nimekua nikipenda nyimbo za huyu jamaa, ila kwenye hii interview naona kateleza.. Ofcourse kuna mambo kadhaa ya mhimu kayasema, kama kuhusu watu kutumia English kwenye movies halafu hata...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
  • Closed
Burj al Arab nijuavyo mimi per night ni dola elfu 10 mshahara wake ni dola sijui kiasi gani lakini itakuwa zaidi ya hiyo safi sana mama huu ndio wakati wako kula nchi na kilichobaki tafuta...
2 Reactions
172 Replies
25K Views
Mwenzenu leo kidogo nitolewe nishai! Kumbe Movenpick sasa ni Serena? Meet me at the SERENA...........( since when did we have a SERENA IN DSM?)...NDIVYO ILIVYOKUWA. Mtangazage basi kama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamaa keshavalisha pete jana mbele ya maza ake!! Kadai sepetu ana heshima sana mbele yake. It was suprising kwa Wema Sepetu, she ddnt expect such beautiful event. It was a Diamon Bday by the way...
0 Reactions
126 Replies
45K Views
Habari JF, Leo nilikua naangalia CLOUDS TV-Take One::Zamaradi alikua anawahoji Wema na Irene Uwoya na wote wamefunguka 1.Wema Kamchana Jokate kwamba amempora mchumba wake(Diamond) na pili...
0 Reactions
42 Replies
11K Views
http://www.ecocta.com The spirit of the festivities is in the air. Often times, the urge to get away and rejuvenate one’s life is overwhelming. Many people imagine that they can’t afford to get...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Joseph Mbilinyi ‎...if they ask u who's Sugu...Tell em'... I'm the Rapper/Music Activist/Business Man/C.E.O/MP...and now also the AUTHOR!
5 Reactions
59 Replies
6K Views
Habari JF, Huyu Jamaa simsikii kabisa na kuna tetesi kafulia,wenye data kamili tujuzeni Nawasilisha
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Mkurugenzi mtendaji wa Clouds Media bwana Joseph Kusaga kasema yeye ndo kawezesha vijana wengi wawe hapo walipo, so kashauli tuache malumbano tuchape kazi. amesema hayo katika pongezi za miaka 50...
5 Reactions
40 Replies
7K Views
Back
Top Bottom