Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Wanajamvi mlio karibu na huyu dogo mtujuze ratiba zake, anasoma saa ngapi? La tusaidiane kumsaidia asijeishia kuwa kama wakina Bluu, na wengine walokimbia shule coz naona matangazo ya epiq nation...
2 Reactions
28 Replies
5K Views
Wakuu kama mtakuwa ni wafatiliaji wazuri jumamosi ya tarehe 26 yaani juzi kwa upande wa burudani kulikuwa na matamasha mawili Jijini Dar ambayo yalibeba hisia na mitazamo tofauti, kulikuwa na...
4 Reactions
64 Replies
11K Views
Jamani mbona sijawahi kumsikia Joti akitajwa kuwa na msichana au mke? Huwa namuona akiigiza kama mdada, na pia nasikia watoto wa mjini walisha wahi kumla kiboga. Jamani Joti, si bora utafute...
0 Reactions
78 Replies
17K Views
Muziki wa Hip-Hop ya hapa kwetu na Bongo Flava kwa pamoja vina historia kidogo. Inawezekana kabisa kuna baadhi ya waimbaji wa sasa ambao wamezaliwa wakaikuta Bongo Flava ishaanza. Wapo wasanii...
14 Reactions
41 Replies
11K Views
Long t sijamsikia huyu shori au watu walishaweka ndani?
2 Reactions
45 Replies
8K Views
Taarifa nilizozipata zinasema yule mpiga picha wa Daily News (ukipenda Daily Noise) Muhidin Issa Michuzi, ameteuliwa kuwa mwandishi wa habari msaidizi wa Rais. Haijulikani kama Premi Kibanga...
3 Reactions
89 Replies
12K Views
Tutaendelea kukumbuka katika maisha yetu tuliyobakiza hapa duniani. wewe umetangulia sisi tunakufuata nyuma yako tutake tusitake. Mungu akulaze mahali pema peponi kinega wetu MR.EBBO. Tutaendeleza...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nilikuwa napenda kutoa ushauri wa bule kwa muasisi wa muziki wa kizazi kipya SUGU. Kwa kuwa lile tamasha lako ulifanikiwa hebu fanya mpango wa haraka wa kuhuzulia mazishi ya mr EBO na 2-uandae...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Kanye West came away with a leading seven nominations, including a bid for song of the year for his all-star song "All of the Lights." However, the album from which it came — "My Beautiful Dark...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Juzi tar 26 pale ustawi kamanda sugu alikinukisha mbaya kbsa na vijana kwa ujumla tulijitokeza cna katika kumpa kampani ya kunyanyua soko la bongo..lkn kilichoniuma ni kua wale nliowategemea...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wanajf. Najua wengi wetu hatupendi kusoma na ndio chanzo hasa cha kupitwa na mengi yanayoendelea hapa duniani (namaanisha hii article ni ndefu kidogo). Ukisoma vizuri hii article ya mtu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
jamaa walisaulika kwenye sanaa ila baada ya kuingizwa kwenye project ya vinega wakarubuniwa na clouds fm na sasa wanapewa air time ila wasingetokea hapa bila antvirus. Pongezi kwa sugu...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Huyu jamaa alikuwa chief editor wa pale new habari corporation baada ya kuondoka zamani tanzania daima, wengi wanamfahamu kwa uandishi wake uliojaa utata mkubwa kimaudhui, nauliza siku hizi yupo...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ni muda mrefu huyu bwana hasikiki. Mwenye taarifa atujuze yu wapi
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanajamvi ni siku nyingi sasa simuoni wala kumsikia mzee wa mwibara ktk anga za habari na michezo kwa ujumla. Ninapenda kujua huyu bwana yuko wapi.....?
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Huyu mama ana misimamo sana ambayo kwa wanaume huwa inakuwa vigumu sana kukubaliana nayo, sasa naomba mnijuze ana mume au amewahi kuolewa?
0 Reactions
57 Replies
10K Views
Mwanamuziki wa kizazi kipya Afande Sele, amelalamika juu wanamuziki wanaojiita wanaharakati wa hapa nchini, ambao wanajiitaa Vinega kwa kumtema katika show ya uzinduzi wa albamu ya Ant Virus...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
''Kama msanii unafanya kazi nzuri, basi itapendwa na itanunuliwa...hata kama clouds wasipoicheza nyimbo yako kama ni nzuri si itachezwa tu kwingine?! Kama msanii ni mahiri, mweledi wa...
0 Reactions
80 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…