Nimeshangazwa na mafanikio yangu ndani ya JF.........sikujua leo nitakuwa ninasherehekea posts 30, 000+.............it is a dream come true.......................It feels nice being me, at the...
Naomba tusaidiane kumfahamu kwa undani zaidi huyu Mgeni Mzalendo kuliko wazalendo wenyewe.
Nasikia mdosi hajawahi kukwepa kodi tangu enzi za Nyerere, na bado huwa anatoa mapesa kuisaidia serikali.
I THINK WE SHOULD COME UP WITH TOP 20 TANZANIANS LIVING ABROAD WHO HAVE MADE IT.
MEANING THEY HAVE GRADUATED FROM UNIVERSITY AND THEY HAVE GOOD JOBS, WASTAARABU, MFANO WA KUIGWA NA WATANZANIA...
I just thought of sharing what it think is the most INCREDIBLE TUNE by Nikki wa Pili
Hii ngoma imetulia sana wasanii wote wa bongo wangekuwa na mistari mikali na video nzuri kama hizi wangekuwa...
Jamani nimekumbuka sana hizi reggaemuffin.
This waz one of my favorites back then.
Mi just lov the lyrics
Murder She Wrote by Chaka Demus&Pliers I know this little girl, her name is Maxine
Her...
Wanajamvini, kuna msemo unaosema kwamba, binadamu wote wameumbwa sawa na haki sawa.Kwa maana hiyo rangi haijalishi, wala mipaka ya nchi hayana hutu. Ni sisi wenye ndio tuliojijengea mipaka ya...
Nimeona ni vema tuwajue hawa watu ambao kwa mujibu wa Time magazine wamekuwa "Top ten college dropouts",kwa namna moja au nyingine hii inaweza kuwa motivation kwetu kuwa mafanikio si lazima u...
Mhe.J.K (Komba) ndani ya TOT na kibao cha miaka 50 ya uhuru ni burudabni tosha..presha inapanda, presha inashuka!.
KibwagizO: " tazama, mabarabara, Jakaya, Kwenye Kilimo, Mrisho, nayo Madini...
Wana jf pande hizi ni shwari ndani ya moshi, wakuu angalieni msipitilize mkumbuke kesho mnatakiwa kwenye majukumu ya kujenga taifa, wakuu niko raundi mazee,
Msanii Huyo ana e Tamba kwa kibao cha Domo langu ni copy nzima ya nyimbo ya Pit Baccardi inayo itwa Yelelee wa cameroun
ingia hapa kuangalia VIDEO hizo zote mbili and then you be The judge...
X Factor: 16-year-old singer Amelia Lily refuses to wear revealing outfit designed to "sex-up" her performance By Mark Jefferies 7/10/2011
Decrease font size...
Mmmh hawa jamaa leo wamenishangaza sana na nimeshindwa kuelewa vijana kama wale ambao taifa linawategemea kutoa tathmini ya uchaguzi igunga ktk hali ya upendeleo tena mkubwa kwa CCM,.Dah jamaa ni...