Wiki chache baada ya mke wa Rapper Jay-Z,Beyonce kudai ana ujauzito,Imefunguliwa kuwa Rapper Jay Z ana mtoto wa siri wa miaka 9 aitwaye Jerald Andrews,akidaiwa kuzaa na Schenelle Scott,model toka...
Hyo style mliyoanzisha ya udini na mnavyoipa nguvu ndio itayokuja kuwamaiza 2015 ccm make nakujua wazee ambao wanawabeba kila uchaguzi hawatafikia idadi ya vijana wasiodanganyika,
Hyo style mliyoanzisha ya udini na mnavyoipa nguvu ndio itayokuja kuwamaliza 2015 ccm mkae nakujua wazee ambaowanawabeba kila uchaguzi hawatafikia idadi ya vijana wasiodanganyika,
HALI YA HATARI TANZANIA:
Watanzania wote kwa ujumla wetu, wakubwa kwa wadogo, wanaharakati, asasi binafsi na za uuma, viongozi wa dini nk. yatupasa kuamka na kutambua nini kinachoendelea ndani ya...
Ijumaa iliyopita niliamua kuwatembelea baada ya kusikia sifa zenu. Kwa kweli nilichokutana nacho ni matatizo ya hali ya juu. Baada ya kupiga ndovu nane niliamua kujipumzisha counter na kupitiwa na...
Huyu ni mmoja kati ya wasanii ambao wanaweza kuipa heshma Tanzania
Namkubali sana huyu jamaa lakini sina profile yake kama yupo mwenye profile yake atuletee
Hivi ni grad wa chuo cha sanaa...
Kuna ukweli kwamba kila event hapa nchini kwa namna moja au ingine mawingu kampuni kupitia kampuni matawi kama Prime time huwa wanapewa tenda kwa kificho au ndani ya bahasha za khaki mfano...
No pun intended lakini naona kawa mnene sana au anaumwa huyu sister?
duh!
aiseeee
duh!
dont get me wrong lakini nijuavyo mimi kuwa kutokana na industry yake inabidi uwe na umbo fulani...
2kiwa kama wadau wa muzik huu wa bongo fleva hebu 2jadili ukuaj wake.wapo wanaosema bongofleva inaelekea shimon na wapo wanaosema inakua ukiwa kama mdau una maon gan?
Mh Joseph Osmond Mbilinyi ambaye ni mbunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania amemjibu ndugu mwita mmoja wa users wa hii blog ambaye amekuwa akimkashfu mara kwa mara hapa.Sugu kupitia...
Miss Angola bags 2011 Miss Universe...............................African beauty beyond Miss Tanzania contest recognition............Her stature is simply breathtaking.................
kwa bahat mbaya nimejikuta nikisikiliza clouds fm na kwa bahat mbaya nikamkuta diva hewan_kwa kwel nimejengewa humu jf ya kumchukia huyu dada ila baada ya kusikia tone yake kwny uendeshaj wa...
Kada wa CCM afungwa kwa kubaka
na Charles Ndagulla, Moshi
KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mfanyabiashara maarufu mjini Moshi, Fred Minja (60), amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela...
Ni dalili ya wazi kwamba ile dhana ya uzalendo iliyodumu kwa muda mrefu hapa Tanzania imeelekea kutoweka!
Kikubwa na cha kushtusha ni kusikia taarifa ya Lundenga kwamba alipata taarifa saa tisa...
Jamani wanajf hebu tujaribu kufikiria soka la tanzania wakati ule mapaka sasa, je unafikiri limepanda kiwango ama limeshuka? na unadhani nani kahusika ktk kulishusha ama kulipandisha kiwango...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.