Hivi apart from Runway kuna sehem nyingine ambayo mtu unaweza kujimwaga bila kukutana na wauza sumu?
Bills imekuwa kama DDC kariakoo
Kempisky ile ya once a month is ok lakini nako inaonekana...
Movie star Andy whitfield(spartacus) died today after his long time struggle with disease called Non-Hodgkins Lyphoma,He was 39 years old,Andy was known as a main cast on a femous television...
Jamani nlikua naomba kujuzwa na wadau wa muzik hum ndan...Crazy GK yuko wapi sku hiz!
Huyu jamaa bado yupo hum bongo au kashatimkia zake mbele,ka yupo anafanya kaz gani,yuko kwenye hali ipi
plz...
Lil Wayne's new album sold 964,000 copies in its first week on saleLil Wayne has set a new iTunes sales record with the release of his tenth studio album.
Total sales for the American rapper's...
Wadau wa jf naamini wengi mtakuwa mnamkumbuka dj ommy ambaye alikuwa redio one miaka ya nyuma, je kuna mdau yeyote ana habari dj huyu yupo wapi siku hizi
Ni ukweli usiopingika ya kua Blog ya Issa Michuzi ni moja ya blog iliotoa mchango mkubwa katika kuhabarisha ,kuburudisha,kuelimisha n.k tumpongeze ndugu yetu kwa blog yake kutimiza miaka HAPPY...
I'm writing this letter to tell you that I'm leaving you. I've been a good wife to you for the last 20 years
& I have nothing to show for it, and the last 2 weeks have been hell. Your boss called...
Mcheza kabumbu mwenye kipaji cha hali ya juu na vibweka visivyoisha uwanjani na nje ya uwanja raia wa Utaliano super mario ballotell anatarajiwa kuhojiwa na polisi ya italia kufuatia Mchezaji huyo...
Huyu jamaa Ambwene Yessaya ana wimbo wake mpya unaoitwa 'Speak with your body'. Huo wimbo una vionjo vya wimbo wa 'Teamo' wa mwanadafada Rihanna. Tetesi ni kwamba mwanadafada amepata nyuzz za...
KNOCKED UP: A pregnant Beyonce arrives at the MTV Video Music Awards.
Beyonce Knowles has revealed that she is pregnant with her first child.
The 29-year-old singer has announced...
Jambo Wadau!
Kwa yeyote anayefahamu. Huyu kijana Cabo Snoop (aliyeimba wimbo 'windeck' unaotamba hivi sasa) ni raia wa nchi gani? Au ni kikundi cha wanamuziki wa nchi gani? Nawasilisha!
Wanajamii naomba kuuliza swali hili, hivi huyu Nape ni dini gani? Kwani ninavyokumbuka wakati Mzee Moses Nnauye amefariki alizikwa kwa imani ya dini ya kiislamu. Lakini toka Nape ameanza kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.