You gotta love Kelly Rowland, not only is she the hottest member of Destiny's Child (she beat Beyoncé in Vs, so it's not just me), but she has now admitted to having a fuk buddy.
Habari wakuu,kuna jamaa alikuwa anatangaza CH10 long time sana nafikiri miaka ya 98 hivi alikuwa na kipindi kinaitwa MOBITEL MOST WANTED yuko wapi,sijamsoma siku nyingi anaitwa Ruff B sijaona.
jamani mi namhurumia sana aunty ezekiel alipopigwa marufuku kushiriki movie za kibongo na wenye mamlaka hiyo...jamani sasa huko ndio mtu anakotegemea kula na kuishi,,sasa wanadhani ataishi vipi na...
Kijana wetu JF akifunguka kwenye interview na XXL. Kweli mbunge noma kakaa kulia halafu kapiga overtake cheki link hii hapo chini
Jaffarai Shyrose Bhanji Amenisaliti Na Mbunge Wa Mby Mjini Mr II
Najua kama binadamu una mapungufu yako ya kibinadamu.
Lakini kwenye kazi yako unafanya vizuri sana na unaweza kufanya vizuri zaidi iwapo tu utaenda shule ya kitaaluma.
Hii itasaidia sana kwako...
http://youtu.be/JQzBVzvUpEo
Msikilize alivyo wapakipaumbele wanawake!!lakini kwa ujumla wake alikuwa boya!!!
http://youtu.be/MgUe7OI0a7w
Tanzania ya sasa anatakiwa maamuzi kama ya amini.
Wana Jf jana ktk ukumbi wa kiss club mwanza tulikuwa na mastaa kibao waliopata kutamba uko nyuma,kilichonishangaza mimi ni kuona jinsi gani walivochoka yani hadi konyagi wanagongea kwa watu...
Hivi hii wiki ya nenda kwa usalama barabarani ina maana gani wakati hata hizo stika za kuonesha magar yanakidhi viwango vya kuwa barabarani zinatolewa bila gari kukaguliwa au ndo wanakagua mifuko...
combination ya Michael Baruti na Zembwela kwenye kipindi cha SUPAMIX kinachoruka hewani kila siku ya jumatatu mpaka ijumaa, kupitia East africa Radio ni nzuri saaaaana....
wawili hawa wanaupeo...
Shocking: Photo apparently showing Michael Jackson's dead body on a gurney on the opening day of the trial of Dr Conrad Murray
Click hapo chini kwenye maneno mekundu
Audio Recording of...
kwa kweli hawa vijana nawakubali sana.naona kama wana upeo mpana sana wa masuala mbalimbali ya kijamii,kisiasa na kiuchumi pia...nimfano w akuigwa kwa watangazaji wengine kwenye tasnia hii ya...
Wakuu, nina idea ya kutunga singo ya kumpelekea ujumbe Ngeleja, nilipenda nitumie strategy ya kama "naongea na riz 1" pia naomba wadau waniongezee mistari katika wimbo huo!
Asanteni
Hapa kwetu kama kesi iko mahakamani ni mwiko kuiongelea na hasa kwenye vyombo vya habari. Hapa Kuna mama ambaye alikuwa rafiki ya Michael Jackson anaitwa Hilton anaongea na CNN kama anatoa...
Katika hali isiyo ya kawaida mkuu wa wilaya moja mkoani Ruvuma amefumaniwa akimmega {akivunja amri ya 6 na} paparazi jina la mkuu wa wilaya ni Juma Madaha mkuu wa wilaya ya Tunduru. Hii imetokea...