Jamani huyu mzee nimesikia tetesi anakuja na tv show yake kuonyesha yote aliyotabiri na yametokea, hivyo atawaproovia watz kuwa yeye ni mwanzo na mwisho wa UTABIRI kupitia TV show yake...kaeni...
Naangalia ze origino comedy TBC1 ila natiwa kichefuchefu na jinsi msanii wa kiume alivyouvaa wasifu wa kike! Amefanikiwa lengo kuwa aonekane mwanamke, tena mrembo! Lakini hii maana yake nini kwa...
Habari nilizozisoma toka kwenye gazeti la kiu la wiki iliyopita ni kuwa mwigizaji Tino alizimia wakati akisubiri majibu yake alipokwenda kupima UKIMWI katika kituo cha ANGAZA Magomeni.Taarifa...
Wakati mwaka 2010 unaelekea ukingoni, sio mbaya tukawakumbuka baadhi ya ndugu zetu (maarufu) waliotutangulia kwa mwaka huu. RIP.
-
Mzee Pwagu - Aliyekuwa mwigizaji wa Kundi la Kaole.
Nico...
Considering Kanye West's checkered past year with MTV, it seems unfit that the opinionated hip-hop genius would top any list complied by the media outlet. But in all honesty, West's crowning as...
habari za kuaminika nimezipata kua aliyekua mwanamziki wa siku nyingi Bwana Abou semhando amefariki leo asubuhi kwa ajali ya pikipiki.
pumzka mahala pema peponi!
Peoples Power, Nguvu ya Wananchi ni nguvu ya Umma. Wanajamvi yeyote mwenye CV za hawa wabunge wafuatao wapya wanaoingia mjengoni atuwekee hapa tuwajue walisomea nini, wapi, wameisaidaje jamii so...
Huyu Baruan Mhuza alikuwa star na kwenda TBC. Ilikuwaje akarudi tena STAR TV???? Na yule Somebody ODHIAMBO aliyekuwa TBC na kutangaza matokeo ya uchaguzi ya kenya yupo wapi siku hizi? Wanajukwaa...
Jamani wana JF, naomba mnisaidie kwenye hili, kwani napata kizunguzungu tu. Hivi huu mvutano wa Waziri wa Ardhi na Mipango Miji na Huyu mmiliki wa kiwanja hiki kilichopangwa kiwe cha wazi, nani yu...
Jay-Z is a business, man -- and now he's got the ride to prove it. Wife Beyonce bought the superstar rapper a Bugatti Veyron Grand Sport, a sports car that cost a cool $2 million, for his 41st...
najua mmewahi kusikia sehemu ya wimbo maarufu wa Dr Remmy uitwao "Kifo" isemayo ".... kifo ungeonekana ungekuwa tajiri sana..... kifo tungekupa rushwa, kusudi tuishi milele...."
je, kwa hapo...
Kuna watu wamekuwa wakibeza na kukashifu baadhi ya posts humu kwa kudhani kwamba wao wanaelewa zaidi ya wengine! Hiyo post hapo juu iliwekwa nami, as I got it from one of the media sources,...it...
Wadau. Uchaguzi wa kumpata man and woman of the year hapa jamvini sio wa haki. Kwa nini wagombea binafsi haturuhusiwi??? Haiwezekani majina yetu yalipendekezwa halafu NEC ya JF mkayakata!!!! Ngoja...