Wakuu hivi kwa nini wanasiasa wa Tanzania wanapenda sana kupakana matope?
Badala ya kuweka kipaumbele cha kuleta maendeleo kwa wananchi wake wao kazi kusemana tu.
Ndio maana hutuendelei, sasa...
Wametoa wimbo ambao unanikuna sana, kama sikosei unaitwa "wazuri ni wengi"
Tafadhali mwenye wimbo huo aniwekee, na kama itakua video i will be more than happy.
Jamani, amini msiamini: sasa hivi Mheshimiwa Zitto kapachikwa jina la 'DOWANS'. Hivyo ndivyo nimegundua katika pitapita zangu hapa jijini Dar, katika magenge ya kahawa na sehemu nyingine...
Mbunge mzee Hafidh Ali thabit alikuwa ni refarii wa mpira kwa mika mingi lakini kumekuwa na utata juu ya elimu yake.
Naomba kwa wale wenye kumuelewa tafadhalini tujulisheni elimu yake ya msingi...
Actress Natasha Richardson has died, her husband Liam Neeson's publicist said.
The 45-year-old star was being treated at Lenox Hill Hospital in New York after suffering a serious head injury in a...
Nilifurahi pale nilipojikuta tukipata kifungua kinywa pamoja na kaka Majid.
Ukweli ni kuwa nilikuwa busy hata ndugu zangu wengi wa karibu sikupata muda wa kuonana nao lakini nikaonana na huyu...
Pamoja na matatizo yake chungu nzima jamaa bado ana wapenzi wengi. Akifanya vizuri katika hizo show zake basi si ajabu akafanya nyingine Japan, Ujerumani na nchi nyingine za Ulaya ambako bado ana...
A host of showbusiness names including Cheryl Cole, bandmate Kimberley Walsh and Take That's Gary Barlow have set off in a bid to climb Mount Kilimanjaro.
It's all to raise cash for this...
Wanajamii with all the respect hebu tuchukue nafasi hii kuwajadili viongozi wetu wawili mahiri katika Afrika yetu ya Mashariki waliochukua mikondo miwili iliyopinzana. Mafanikio yao, makosa yao...
pAMOJA NA KUBWEKA BUNGENI KUPIGA VITA UFISADI LAKINI YEYE MWENYEWE NI FISADI NAMBA MOJA KWA KUUZA ARDHI JIMBONI KWAKE WAKATI HUO AKIWA DIWANI. KUTEUA VIONGOZI MATAAHIRA KATIKA NAFASI MBALIMBALI...
LONDON British media are reporting that Michael Jackson will play his first live concerts for years in London this summer.
Sky News and others say the troubled King of Pop will perform a string...
Wakuu hii nimeikuta kwenye gazeti la watani wa jadi THE STANDARD je ni haki kwa mwandishi kumuattack huyu dogo kiasi hiki?
Starscope: Mr Nice, former Tanzanian
Published on 20/02/2009...
Jamani waandishi wa habari inatakiwa muwe makini kidogo maana nyinyi ni kioo cha jamii. Kuna huyu mwandishi wa habari Anaitwa Audax Mtiganzi alifanya kituko hiki wakati akiwa katika msafara wa...
Wrigley suspends Chris Brown's ad campaign; Rihanna still in hospital
Posted: February 09, 2009, 10:50 PM by Veronica Boodhan
Chris Brown, Grammy Awards, assault, rihanna, arrest, wrigley...
Los Angeles police have launched an internal investigation after a photograph showing Rihanna's "horrific" injuries, allegedly at the hands of ex-boyfriend Chris Brown, surfaced online.
The...
Habari zaidi!
Ndoa ya mtoto wa Mungai bado kitendawili
Frank Leonard, Iringa
Daily News; Tuesday,February 24, 2009 @19:18
kura
Mahakama ya Mkoa wa Iringa imeshindwa kutoa uamuzi kesi...
Waziri, wa Masuala ya Muungano, amejiandaa kuongea na vyombo vya habari kwaajili ya kuhimiza Taasisi na Makampuni mbalimbali kuchangia katika sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.