Gazeti la Sani laandika kwamba Mawaziri wawili, Sophia Simba, na Shamsa Mwanguga wamekutwa gesti ya Mikumi Inn, Magomeni, Jumapili iliyopita.
Wamepiga picha ya magari yao, STK 4472, na T274AOD...
na Ramadhani Siwayombe, Arusha
MGOGORO sehemu itakapozikwa maiti ya mtoto wa Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Felix Mrema, umechukua sura mpya baada ya mbunge huyo kudaiwa kuondoka hapa nchini...
Kwa wale wenzangu wa old school mnamkumbuka mchekeshaji maarufu aliyetikisa wakati ulee Charlie Chaplin, kwa kujikumbushia kipaji cha huyu bwana bofya kwenye Charlie Chaplin
Dear Readers
Let's push our city fathers to take action on getting the traffic lights working. Of lately, they seem to have forgotten the importance of such lights. Traffic lights at...
Jana gazeti la Majira limeripoti kwamba Bwana Mohammed Mpakanjia, mkazi wa Dar es Salaam, amemuandikia Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Mh. Samuel Sitta, kumuarifu kwamba amemtaliki mkewe...
wanandugu hali ya sasa imekuwa ni ya hatari na ukimwi umekuwa si kwa wakubwa tu mpaka watoto wa shule na wengi wameamua kukimbilia kulekule
wazo langu tujitahidi kupima kabla ya 2009 tujue...
Recently the Governer of Illinois Rod Blagojevich tried to "sell" the vacant seat left by Barack Obama.It is alleged that he tried to do that in return for:
*a high paying non profit job for...
Hebu someni haya maneno ya Bey...eti anavyodai yeye ni diva na diva ni sawa na hustla (mchakarikaji). Miye..I dunno....sound like a gold digger to me...
Na na na diva is a female version of a...
Waungwana!
Kuna tetesi zimenipitia zikisema kua mataka yule jamaa wa atcl anatabia ya kunanihii wanaume wenzie na kwamba kawafuga wengi hapa town,mwenye ushahidi na hili nplease alete...
Mbilia Bel akiimba kwa hisia kubwa sana moja ya nyimbo zake za enzi zileeeee,nafikiri mtakuwa mnazikumbuka.
bado niko fiti
si mnamuona wenyewe,sasa msikose kesho pale new world...
Miss East Africa, Claudia Nuyimana akivishwa taji usiku wa kuamkia leo
Mshindi wa pili Annete Mwakaguo (kushoto) Mss East Africa, Claudio Nuyimana (katikati) na mshindi wa tatu, Anais...
wakati wa mapokezi ya taifa stars waziri mmoja kwa furaha alisema kuwa atahakikisha anapata upenyo wowote mpaka aende ivory coast kuona mashindano ya kutafuta mabingwa nyumbani.hii haijakaa sawa...
Waheshima, ndugu wana jukwaa wa jamiiforums naomba msaada kwenu. "Kuna taarifa zimezagaa kuwa JK ana mke wa pili aliyemuao wakati wa kampeni 2005. isitoshe mke huyo ni Muajemi (inarahisishwa kuwa...
Binafsi navutiwa sana na huyu dada/mama kwa jinsi anavyojituma katika shughuli zake hasa katika kampuni ya BenchMark Production ambayo naweza nikasema ndiyo kampuni bora zaidi kwa uzalishaji wa...
Rais JK siku ya Jumanne alimtunukia Bw. Reginald Mengi pamoja na watu wengine Nishani mbalimbali kama inavyojieleza katika picha.
Source: Guardian of 11th December 2008
Inasemekana Aisha Madinda Mbegu ameanza kusumbuliwa tena na ule ungonjwa wa kuvimba mwili (miguu). Je huu ni ungonjwa wa aina gani.... maana kuna kipindi aliwahi kusema ameshapima NGOMA na yupo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.