MBUNGE wa Jimbo la Buchosa, Samwel Chitalilo ameingia katika mkasa mpya baada ya kudaiwa kumshambulia Mabula Matulanya, ambaye ni mlinzi wa ghati la ofisi ya kivuko cha Nyakaliro Kome...
Mwanamuziki mkongwe wa miondoko ya muziki wa dansi na reggae, Ras Nas aka Nasibu, yuko tayari kufanya vitu vyake katika jiji la Trondheim, Norway, usiku wa Ijumaa tarehe 12 Desemba. Ukumbi unaitwa...
huyu ni yule hakimu aliewaduwaza mawaziri wetu sijui tuite wastaafu maana walinyofolewa kutok uongozini!!!pongezi hakimu mwakenja kwa kuheshimu sheria ,nimeona kamam mmoja wa wadau wa sheria ni...
Heshima kwenu wakuu,
Kuna watoto wanatoka Uingereza wanataka kupiga picha na akina Masanja wa iliyokuwa "Ze Comedy". Anayeweza kuwasaidia hawa watoto jinsi ya kuwafikia "Ze Comedy", naomba...
waungwana wenzangu mlioko huko danganyika,naombeni ufafanuzi tafadhali..hizi tetesi za kufa kwa liumba wa BOT ni kweli?
Iam interested in facts not fiction
Hi JF fan;
Kumekuwa na tetesi za kizushi about citizenship ya Obama.
Lakini smears claiming Barack Obama doesnt have a birth certificate arent actually about that piece of paper theyre...
Kuna movie fulani ambayo Rashid Kawawa ali act kama Mhogo Mchungu enzi hizo.Ningependa sana kumuona akiwa katika action wakati huo.Nasikia alikuwa hodari sana na alifurahisha watu wengi.
Katika...
Usaili TFF, Wambura, Malinzi wang'aka
Na Sophia Ashery
USAILI kwa wanamichezo wanaowania nafasi za uongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ulifanyika Dar es Salaam...
bado mwenzie Tibaijuka
mana haikatazwi kuweka Afro lakini bibie lle afro lake lilikuwa linakuwa out of control
halafu naona ana shine kweli kweli hapa:
BTW
hii ilikuwa juzi kwenye hafla ya...
Msanii wa muziki wa kizazi kipya "Sir" Juma Nature anakabiliwa na tuhuma za "kubaka" baada ya kukaa kwa siku kadhaa na binti wa chini ya amiaka 18.Endapo mashtaka yatasimama akaonekana na hatia...
Imetolewa mara ya mwisho: 19.11.2008 0116 EAT
Ngozoma Matunda afariki dunia
Na Elizabeth Mayemba
Majira
MAKAMU Mwenyekiti wa klabu ya Yanga ya Dar es Salaam, Rashid Ngozoma...
mabo haya yameanza lini? watoto wa kiume kuimba huku wakiwa uchi mbele ya kadamsi?
Huu ndio ushaga wenyewe na huyu jamaa naitwa AFANDE SELE
I have never been a fan of Bongo fleva and never...
Baniani yuko jela na sanamu wake wa kuabudu, kila siku anaiabudu na kuiomba atoke jela, kwenye chumba kuna muislaam. Muislaam nae kila siku anasali na kumuomba Allah atoke jela, Muislaam...
Habari zaidi!
Nahodha, Shamuhuna kuhitimu OUT
Theopista Nsanzugwanko
Daily News; Saturday,October 25, 2008 @00:03
Waziri Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Shamsi Vuai Nahodha...
MTANZANIA ANAYEISHI MAREKANI BWANA JOHN MASHAKA AMEKUWA KWENYE VYOMBO VYA HABARI HASA BLOGS MBALIMBALI KUWA NI MTU ATAYEWEZA KUISAIDIA NCHI YETU KWA KIASI KIKUBWA AKIWA MBUNGE 2010.
IKIWA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.