Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Sio maneno yangu Mwenyewe amesema kuwa ameokoka Kama NI kweli nimefurahi sana Ila kucha haachi JE mabwana?!
1 Reactions
45 Replies
3K Views
Popote Ulaya tatizo ni pesa. Mzee wetu hana makuu ila anaishi sana. Hili ndilo hekalu lake lililopo hapo Fumba Town. Ni moja ya makazi rasmi ya mfanyabiashara Said Salim Awadh Bakhressa. Jumba...
48 Reactions
150 Replies
17K Views
Dj Mars Dj Venture Dj Skills Dj D White Dj Juice Dj Nelly Dj Kessy Dj Muli Bring Bring Dj Majizo Di Sam Dj Cutter Dj Jongo Dj D7 Ongezea wengne ambao walikuwa bora kuliko hawa kina AllyB
4 Reactions
60 Replies
4K Views
Hii nibtathmini yangu binafsi juu ya bongo flavour honours.Kwanza inaonekana waimbaji wa zamani bila kujalisha yupo au hayupo kwenye game bado wana mashabiki wengi ambao wangependa kuwa wanawaona...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
KHALIGRAPH - Bongo Favour Lyrics π“π€π…π’πˆπ‘πˆ 𝐙𝐀 πŠπˆπ’π–π€π‡πˆπ‹πˆ π™πˆππŽ Tusahishane kama kuna makosa+nyongeza Yeah nafanya TZ mbogi ipaniki ᴍʙᴏɒΙͺ = α΄‹α΄œΙ΄α΄…Ιͺ, α΄κœ°α΄€Ι΄α΄ α΄‘α΄€Ι΄α΄€α΄α΄’α΄œΙ΄Ι’α΄œα΄α΄’Ιͺα΄‘α΄€ ʜᴜᴍᴜ Wakiona OG amejam...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
We talk about Consistency(muendelezo). mkubwa Papaa Jones anawasha moto since day one kiukweli tukiweka uzalendo pembeni kwa bongo hii nani tunaweza kumuamini akabattle na Khaligraph? Mimi ni...
10 Reactions
37 Replies
3K Views
Wakuu, Nipo Naangalia Clouds TV,Kipindi cha Ng'ari Ng'ari,na Host wa Kipindi Anamuhoji Snura! Snura Anashukuru Kufunguliwa kwa Chura Wake na Kuna Video Mpya ya Chura,Aliyefungiwa kwa Siku Mingi...
5 Reactions
58 Replies
14K Views
Habari wakuu, Nilikuwa najaribu kufikiria hapa vijana waliowahi kutamba kutoka mwanza wengi wakiwa signed na record label ya TETEMESHA PRODUCTION. ambayo inamilikiwa na Mtangazaji wa RFA, Kidbway...
5 Reactions
24 Replies
3K Views
Jamani huyu Mama ,nimeshangaa sijamuona katika kipindi hiki mme wake alipata misukosuko. Somo: Nyie wababa msiache wake wa ujana wenu. Mjue fainali uzeeni. Ninakumbuka kipindi kile Mama Rose...
12 Reactions
53 Replies
5K Views
Nyota wa klabu ya Alnassr na timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo ameripotiwa kuwa anakodisha/pangisha jumba lake la Kifahari lililopo katika jiji la Madrid nchini Unispania kwa euro 10,000 tu...
9 Reactions
54 Replies
4K Views
habari zenu wadau wa hiphop/rap naona harakati zinaendelea, niende kwenye mada itoshe kusema kaligraph jones anajiamini alafu ameshaona gemu ya ya bongo upande wa rap imedrop sana anadai watu...
0 Reactions
1 Replies
925 Views
Kwa hii karne wanawake wameibuka Kama watawala wapya. Hawa watawala wana nguvu sana, wanalindwa sana. Nguvu zao ni kubwa sana mpaka wanaume wameanza kufanana nao. Lakini jee? mmeona emperor's...
0 Reactions
1 Replies
748 Views
Hizi Amapiano toka zilipo anza kuvuma South Africa na wasanii wengi wa Afrika kuanza kuzifanya Wasauzi wamebaki kuwa watabe wa huu mziki. Wasanii wengi wa nje ya South Africa wanaofanya na wanao...
14 Reactions
59 Replies
6K Views
Wanasema mtu akitoka kijijini akaja mjini kwa mara ya kwanza basi kitu cha kwanza lazima aagize soda na mkate. Na mtu kutoka mkoani akifika Dar kwa mara ya kwanza lazima aende Coco Beach halafu...
19 Reactions
153 Replies
10K Views
Forex milionea amekula kona n mamilion ya shilingi ,kaacha mke na watoto sauzi kakimbilia ughaibuni ,na polis washatoa warant ya kumkamata popote. ========== Sandile Shezi: Everything to know...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
Jana mida ya saa 5 usiku katika baa moja maarufu maeneo ya Sinza (jina kapuni) kulitokea patashika baada ya mtangazaji Adam Mchomvu na msanii Ney wa Mitego kukutana. Chanzo cha ugomvi huo ni...
18 Reactions
124 Replies
13K Views
Wakazi Rapa namba mbili nchini amesema hamna wakati mbaya ambao hawezi kusahau maishani mwake Kama siku alipofukuzwa nyumbani kwao. Amesema hayo alipokuwa akiongea na mtangazaji gwiji Jabir...
14 Reactions
96 Replies
6K Views
Ney Wamitego ameamua kulipa fadhila kwa kupiga shoo za chimbo hadi chimbo akijua yakwamba hata kijijini kunamashabiki zake ambao tunamsapoti Ni katika Machimbo ya Nyangalata, na Nyandolwa...
9 Reactions
29 Replies
2K Views
Sikiliza freestyle season 3 utakuja kusalute mwenyewe.
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Wengine mna tuvigari twenu twa Shilingi Milioni Tatu hadi Saba huku Mikopo ya Kulipia mkiwa bado hamjamaliza mkiwa mitaani Mnaringa na kujiona ni Matajiri na Maisha mmeshayapigia Denge Kimafanikio...
6 Reactions
49 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…