KUIGIZA FILAMU ZA NGONO NI KAZI NGUMU SANA
Muigizaji maarufu Mr John moja ya interview yake kubwa aliyowahi kufanya na muandishi wa habari wa india aliwahi kusema.
" Kuigiza filamu za ngono ni...
Mwijaku ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Chawa wa Mama Mkoa wa Dar es Salaam.
Mtanzania maarufu wa Kituo Cha Redio kongwe nchini Clouds FM Mwemba Burton almaarufu kama Mwijaku ametangazwa kuwa...
Awa ni watu walio kwenye muziki muda mrefu lakini kiuhalisia sio wasanii. Wanaupenda sana muziki lakini hawakuzaliwa kuwa wanamuziki.
1. Roma
Huyu jamaa ana kipaji chake ambacho uwa nikimsoma...
Katika wimbo wake wa (Mnyama) Alikiba ametumia mistari kazaa kumchana Diamond Platnumz
UCHAMBUZI WA MSITARI HUO
Unamjua simba mnyama? mnyama.
Sio yule wa insta mnyama... mnyama...
Huyo ni...
Mkali huyo wa 'Gods Plan' aliweka dau la Tsh. 621,617,182 kwa kumtabiria ushindi Bondia Nate Diaz ambaye amechezea kipigo katika raundi ya 5 ya mchezo uliokuwa na raundi 10.
Oktoba 2022...
Unajirusha mitandaoni maisha bora, kubadilisha magari makali, unaishi apartment kali, Bata kwa Sana! Kumbe sirini maisha feki, mke elimu Hana Zaid ya kuuza sura. Siku ya msiba mnaumbuka Mbele ya...
Habari,
Msanii Angel Bernard ameolewa kwa mara ya pili.
Mara ya kwanza aliolewa na Producer wa Nyimbo za Injili Godsave Sakafu.
Angel akiwa na Godsave Sakafu siku ya Sendoff yake Julai 2015...
E banae katika pitapita zangu YouTube nimekutana na ngoma moja ya Kokoriko ya jamaa anaitwa Paw Fum nikaichukulia poa badae nika download nikaeka kwenye bufa ebana ngoma inakita sio poa.
Kwa wale...
Hakika album yako imesheheni sana madini ambayo kwa kipindi hiki ni ngumu kuyapata kwa wanamuziki wengne
Nmpenda pia ubunifu wako wa njia ya usambazaji wa watu kulipia kwanza mwezi mmoja kabla...
Hello bosses and roses,
Huyu dogo TGUN TOZZY ni complete package ya perfomer. Jamaa anaweza kutengeneza vibe fln kwenye rap ambalo wachache tu huweza kufanya.
Nimeona cover ya Roho (christian...
Aiseeee... sikujua kama huyu manzi ni wa kienyeji, hio shanga aliovaa hapo chini si kama hizi hizi za kina mwajuma na maimuna wa mbagala rangi tatu.
Mwamba curry itakua anaenjoy sana ile michezo...
Asubuhi wakati naingia harakati nipo ndani ya daladala mara ghafla hili goma likapigwa redioni, ebwanaeee.
Kila aboria aliyekuwemo kwenye gari akaamuka kuanza kucheza, wakina mama, wakina baba...
Brother, Dj Steve B, Dj Skills Djstevebtz anaumwa, anasumbuliwa na maradhi ya figo.
Tumuombee kwa Mungu brother ainuke tena. Tumkumbuke kwenye sala na dua na tuombee wagonjwa wote pia.
Wasanii wote wanalilia kushindana/kushindanishwa na Diamond. Tangu enzi za kina Marlaw na Belli 9 mpaka sasa madogo kina Chino wanaman Konde Boy. Bila kusahau Ali Kiba.
Je, kuna manufaa yoyote...
Watanzania tuna cha kujifunza, huwa tunasikia watu wanasema "Niko tayari kufa", "Niko tayari kufanya lolote".
Mabadiliko ni process ambayo hutakiwi kuibeba peke yako, ni zao la jamii kwa ujumla...
Wazee wazee wazee, recently hizo bizness kaachia chuma ambacho ndani yake kuna wakali kibao wa hip hop waliotupia verse zao.
Versa ya kwanza kabisa unakutana na one the incredible akiwa kafanya...
Bado natafuta collabo kali zaidi ya hii KILA SIKU ya Nikki Mbishi,Godzilla,One na Belle 9.
Kuna Collabo yoyote kutokea tamaduni music inaweza kuwa zaidi ya hii?
Nikki kaumiza...Zizi...
Huyu jamaa anaeitwa Christopher Martin msanii wa dancehall pamoja raggae kutoka Jamaica hana mshindani
Huyu janja ana mikwaju ya moto sana since way back, mikwaju yake Kama:-i, Cheaters prayer
ii...