Zimebaki siku chache mwezi huu wa July uishe.
Hivyo basi Ally Kiba autumie huu mwezi vizuri kabla Diamond hajaondoa msaada wake.
Diamond Platinumz huwa anamjibu Ally Kiba Ili angalau kum boost...
Hakuna msaniii hapa Bongo alikua anajua ku promote kazi zake kama Diamond lakni mmesanuka recently boss kama ana sanda?
Katoa santuri mbili zote hazijaenda mjini kivileee kama kawaida wonderful...
Kwa sasa Habari ya mjini ni MARIOO na PAULA ambao wapo kwenye mapenzi shata shata.
Paula ambaye ni mtoto wa Mastaa wawili Bongo Kajala Masanja na mtayarishaji wa muziki wa Bongo Fleva P-FUNK...
Pasina shaka ya aina yoyote ukisema umtaje role model wa wasichana wowote wanaopenda mapigano basi lazima utamtaja mwanamama Cynthia Rothrock ama Cynthia Rock kama anavyulikana na wengi.
Tangu...
Mama ntilie wa kishua, Shilole jana ameonesha furaha yake baada ya mwanae Joyce kupata ufaulu wa Division 1 ya 7 akidai yeye aliishia darasa la 7b chini mti. Shilole amesema mwanae amemaliza shule...
Msanii huyu huenda akatekwa ama akafanyiwa figisu kubwa, ukweli daima amekua sauti ya walalahoi kwa muda mrefu, hata enzi za Magufuli hakufunga mdomo, alipaza sauti.
Ney wa Mitego, amerudi tena...
Wadau me Naleta hoja kwenu, kuna watu naona wanaleta list tofauti za wana hiphop kila mtu na mtazamo wake anavyoona yeye, lakini kinachonichanganya kuna baadhi ya watu wanasema kuwa Ngwair alikuwa...
Limetokea wimbi la ivi visanii vya Sasa
Kuandika nyimbo mnazi record mnasiita freestyle
Au ndiyo hamjui maana ya mitindo huru?
Bongo freestyle walikuwa KING ZILAH na NIKKI MBISHI
wengine...
Habari zenu.Kwanza nianze kwa kusema kuwa simchukii msanii wa Bongo Fleva "Barnaba Boy". Nitakachokiandika hapa kinatokana na hisia zangu binafsi.
Ni hivi mimi Kwa uwezo wangu mdogo kuhusu mziki...
Usiku wa Julai 15, Msanii Barnaba alifanya sherehe ya kusherehekea ndoa ambayo aliifunga na mpenzi wake wa muda mrefu Raya, ambapo shughuli hiyo ilifanyika katika ukumbi wa Mlimani City na...
Niseme tu ukweli huyu jamaa huwaga namshangaaga sana, licha ya kukaa sana madrasa na kufanikiwa kumaliza juzuu 30 ila maisha anayoishi hayaendani kabisa na elimu aliyonayo.
Hatukatai anajitafutia...
Nimekutana hii huko twitter Baruan Muhuza mmoja ya waandishi nguli na viongozi wa AzamTv ameanzisha chuo chake cha habari kijulikanacho kama Ujiji Brodcasting Academy (UBA) kilichopo Ujiji mkoani...
Mwigizaji Shamsa Ford amesema watu wamekuwa wakimpigia simu na kumtumia ujumbe kwenye akaunti zake za mitandao ya kijamii kumwomba fedha.
Nyota huyo alisema kuna mtu aliomba amsaidie Sh milioni...
Msanii Mejakunta amejikuta akiishi maisha ya hofu mara baada ya Lebo ya awali aliyokuwa akifanya nayo kazi ya Makers Entertainment kushindwana nao kikazi na kila mmoja kuangalia ustaarabu wake...
Huyu ni mwanamama shupa vutoka BUKOBA INTERNATIONAL CITY aliyetikisa dunia kwa nyimbo na miondoko yake adimu. Ametuletea heshima kubwa kama taifa. Tafadhali, Universities mtunukuni Honorary...
Kijana Ibraah tangu ajiunge Konde Gang kama vile yupo shimoni. Alivuma kwa kasi na kupotea, hivi sasa hajulikani aliko, shabiki zake hawajui hali ya kipaji chake pengine kinapotea ama lah.
Konde...
Mwigizaji wa kibongo Nagwa ajiokotea bibi wa kizungu,sasa maisha yake ni mazuri kabisa. Hivi kwanini wanawakenwa kizungu wanapenda wanaume wa kiafrika wanaofuga rasta?
Tasnia ya reggae imebaki mkiwa. Huku kila msanii akikimbilia kubana pua. Imekaaje hii wadau.
Masela reggae inakufa na mmetulia tu.
Wako wapi wazee wa Reggae
1. Innocent Galinoma,
2. Justine...
Mi naona Lemutuz alikuwa mjasiriamali mpambanaji kwenye sekta ya social media na matangazo. Sekta ambayo kwa Tanzania na kwa ukubwa wake na mazingira ya matangazo mitandaoni, inaweza kuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.