Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Hapa bongo ninadiriki kusema hakuna bondia wa kizazi hiki anayehujumiwa wazi wazi kama Loren Japhet. Kwa haraka haraka ninaweza nikakutajia fights tatu alizohujumiwa wazi wazi mpaka mashabiki...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Paul peter siniga,maarufu kama Rio paul, ni kijana wa kipekee kutoka Tanzania, anayewakilisha Vijana kwenye mkutano wa Umoja wa mataifa (UN) unaofanyika marekani,Newyork. Kijana huyo pia ambaye...
4 Reactions
112 Replies
64K Views
  • Closed
Japo si urembo wa kina Beyonce, Rihana, n.k. ila binti kwa ni mzuri si haba Huyu binti mdogo anaehudumu kwenye basi ametokea kuwa maarufu sana kwa mitandaoni watu wakivutiwa zaidi na uzuri wake...
8 Reactions
72 Replies
9K Views
Wanamwita manju wa muziki. Huyu ni mtangazaji mkongwe na nguli wa maswala ya muziki na wanamziki, kupitia TBC. Ukimsikiliza Masoud, utaelewa umuhimu wa specialization katika utangazaji, uandaaji...
40 Reactions
158 Replies
42K Views
⚠️😭 Socialite huyo wa Nigeria kwa jina la Benjamin(Killaboigram) ambaye ana miaka 26 amekiri na kujutia kumuua mpenzi wake huyo kwa jina la Austa ambaye pia ni socialite baada ya kutokea ugomvi...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wiki chache zilizopita kila mmoja ambaye ni shabiki wa masumbwi bila shaka alisikia tambo za mdigo kwamba kwa hapa bongo hakuna bondia yoyote wa uzito wake anayeweza kupigana na yeye round 10 na...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Ni nini!?
0 Reactions
3 Replies
577 Views
Umuofia kwenu, Igweeeeeee. Shwari wapenzi wana JF. Naomba ku-declare interest kwamba mimi ni shabiki kindaki-ndaki wa Diamond Platinumz. Kulingana na uhalisia wa jamii tunamoishi, nimejikuta...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa taarifa za Tume ya Uchaguzi ya Marekani (FEC), Rapa huyo aliyetangaza nia ya kuwania Urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2024, hadi sasa akaunti yake ya Kampeni ina salio Tsh...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Ndugu yetu mrisho mpoto viatu vilimkosea nini?
2 Reactions
34 Replies
2K Views
"Google wimbo huu wa Mapenzi Kitu gani au ingia YouTube halafu ataona. Nenda kwenye more Information utaona jina la Msanii aliyeimba wimbo huu imeandikwa jina la #DiamondPlatnumz. Ubunifu kama huo...
1 Reactions
37 Replies
5K Views
Kwanini nadhani Mwana FA na Lady Jay Dee wanapendana kimapenzi ingawa sijawahi kusikia official in the past Km hawa watu wamewahi kudate? Nyie mnaonaje? Au ipo kichwani kwangu tu? Mke wa...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu, ni takribani miezi minne sasa sijaona tena machapisho mapya ya The Story Book kutoka kwa msimuliaji huyo nguli na pendwa. Vipi kwani, nini kimejiri huko jikoni? Mwenye za ndani zozote...
14 Reactions
65 Replies
10K Views
DIAMOND PLATNUMZ, RAYVANNY NA ZUCHU, Watanzania Pekee Kwenye Tuzo Za Heades. Diamond amechaguliwa Kwenye Vipengere Viwili Vya Msanii Bora Wa Mwaka Africa Na Kipengere Cha Msanii Bora Afrika...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu, Kuna vita ya trending kwa wasanii wetu wa bongo fleva. Hivi siku za hivi karibuni Alikiba na Diamond platnumz wameonesha kabisa wako katika bifu zito za mziki katika Ku trend na...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Nakumbuka huyu Mwamba alimgusa mpaka Rais wao akatangaza siku kadhaa za maombolezo na mapumziko wakati wa kifo chake> Madilu System collapsed on Friday, 10 August 2007. He was taken to the...
6 Reactions
66 Replies
5K Views
Habari ndugu zangu, Nakumbuka kipindi cha mwendazake,awamu ya kwanza kulikuwa na msanii aliyejulikana kama Mzalendo aliyeimba wimbo wa Nasogea Golgotta. Nilitegemea wasanii wasimame kutetea...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Msanii maarufu wa Filamu nchini Tanzania, Wema Sepetu jana jumatano usiku aliwasili nchini Rwanda ambako alieleza kuwa ameenda kikazi kwenye Tamasha la KFM Instagram Party. Wema Sepetu amesema...
3 Reactions
75 Replies
10K Views
Dah hivi hii story ya huyu Dada wa kuitwa NAKAAYA SUMARI ( Mr Politician Song) ni ya kweli? Au anaongeza na maudambwiudambwi..... Namcheki hapa muda huu via Zamaradi tv 413
7 Reactions
245 Replies
29K Views
Pichani anaitwa Rikkie Valérie Kolle Mwanaume aliebadilisha Jinsia na kuwa Mwanamke. Huyu Ndio Mshindi wa Miss Uholanzi 2023. N.B: uzi umeandikwa kimakosa ilikua kama taarifa na sio...
-3 Reactions
38 Replies
2K Views
Back
Top Bottom