Cloud amefariki dunia akiwa na miaka 25 kwa kile kilichoelezwa na familia kuwa ni tatizo la Afya ya Akili ikiwa ni wiki 1 tangu atoke kwenye mazishi ya baba yake mzazi.
Kupitia tamthilia za...
Wimbo wa Ney wa Mitego 'AMKENI' ukiwa unachanja mbuga za YouTube, Msanii Nikki Mbishi nae ametubariki na wimbo alioupa jina 'KATIBA MPYA', sikiliza toa maoni yako.
Mwanamuziki huyo wa Nigeria anakuwa msanii wa kwanza kupata Tuzo ya Bilioni ya BRIT inayotolewa kwa Wasanii ambao wamepata zaidi ya mitiririko (streams) ya kidijitali bilioni moja Nchini...
"Ongea na Mwanaoo sema naye, sikio lako ligawe..
Mfungulie account ya busara na nidham, na siyo account ya mtandao Instagram"
Anaitwa Maalim Nash.
-Kaveli-
Mwanamuziki machachari ambaye aliuza nyago sana kwenye kipindi cha daladala(kipindi cha daniel kijo na bi kiroboto) na pia anauza nyago kwenye Mini-Buzz Toa Hoojaa,Ameachia wimbo wake unaitwa...
Kwenye zile ngoma kali za HIP HOP zenye michano ya kiwango. Chorus akikaa nani inakuwa moto zaidi. Kati ya BEN POL NA BELLE 9.
Yupi anapiga sana Chorus kwenye ngoma za Hip Hop...
Nani zaidi?
Hivi Marioo na Paula mwenyewe hujiskiaje wanapokuwa wakiona utupu wa mzazi (mkwe)?
[emoji116]Hii ni picha mpya aliyochapisha muigizaji Kajala Masanja au mama mzazi wa Paula,Nadhani ifike muda...
Huu wimbo wake alioutoa juzi unaimbwa kila mahali, hata kama huupendi utajikuta tu unausikiliza kila unapoenda,
Ukiamka unaskia jirani anaupiga
Ukitoka nje unakutana nao kwenye maduka ya...
Habari wakuu,
Napenda kufahamu alipo kwa sasa aliyewahi kuwa Miss Tanzania miaka ya zamani bibie Mbiki Msumi. Ni moja ya ma celebs ambao wamefanikiwa ku-keep low profile.
Diamond na Juma Jux.
Wanusurika kifo kwenye lifti siku ya Leo baada ya Lift kukwama kwa Dk 15.
Star Wa Muziki Africa [emoji881] diamondplatnumz Ameweka Wazi Kunusurika Kifo Kwenye Lift Akiwa...
Wakuu za muda huu?, Nimeona you tube channel ya Global publishers wakifanya mahojiano na DJ Steve B, aliyewahi kuwa DJ wa clouds FM siku za nyuma, huyu jamaa anaumwa ana matatizo ya figo, please...
Ukiangalia maisha ya le mutuz aliisha vile alivyotaka yeye aliishi kwa kuipa furaha ya moyo wake kwa gharama yeyote
Jamaa alikuwa na nyumba nzuri tu Tabata lakini kamwe alikataa kukaa nje ya...
Roma kwenye account yake ya Twitter ameandika haya
#YAH: SIHUSIKI KWENYE HILI.
Kwenu @BasataTanzania Husika Na Kichwa Cha Habari Hapo Juu, Huyu Kijana NAY Ni Muongo Sana, Mimi Sijamtumia Kitu...
Mpiga picha wa Harmonize na yeye aondoka Konde Gang.
@jabulant_ ambae alikuwa mpiga picha wa msanii wa Bongo Fleva @harmonize_tz ametangaza rasmi kuacha kufanya kazi na msanii huyo ambae ni...
Nimesikiliza wimbo mpya wa msanii wa muziki wa kizazi kipya Emmanuel Elibariki almaarufu ‘’Nay wa Mitego’’ unaojulikana kwa jina la ‘’Amkeni’’. Wimbo huo kimsingi una baadhi ya maudhui ambayo...
Ukitaka kujua maana ya halisi ya pesa au mtu anayeishi maisha ya kifahari basi nenda kamtazame Floyd Sinclair Joy Mayweather Jr.
Huyu jamaa hakupewa nickname ya "Money" kwa bahati mbaya ana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.