Habari wanajamvi,
Leo nimemkumbuka kijana aliepata ajira EATV kupitia auditions za kiushindani na hatimaye akapata ajira na kuanza kipindi cha SKOOONGA!
Ni kijana mbunifu kwa kweli, kutokana na...
Mshindi huyo wa Tuzo ya Grammy amefanikiwa kuweka rekodi hiyo kwa kuuza Tiketi zote 41,000 za onesho lake katika Uwanja wa Citi Field ulioko jijini New York, Marekani .
Show hiyo ilihudhuriwa pia...
Mwanzo Aristotle alikuwa ni msusi wa wanawake, baadaye akajiongeza kuuza weaving na wigs na wateja wake walikuwa ni mastar wakubwa na celebrities wa Tanzania wa hapo Dar-es-Salaam. Aliupata...
Socialite kutoka pande za Zimbabwe, ambaye pia ni mfanyabiashara tajiri, Ginimbi, amepata ajali mbaya Siku ya leo na kufariki dunia hapo hapo.
Mfanyabiashara huyo pia alikuwa Karibu na Zari the...
Nilikuwa youtube napita pita nikaona hii clip ya Giggy money nimekuwa disappointed, hata kama mna tofauti kubwa vipi , mwanaume lijali you don't go out and fight na baby mama wako. a simple dinner...
"Taratibu simu kiganjani naperuzi, nikiwa nimetulia zangu katika sofa, akili yangu haikuwa hata katika simu, hapo nina machungu na mahasira yamekaa katika koo toop, kila picha ya mdada iliyokuwa...
Elmer "Geronimo Ji-Jaga" Pratt
Kama ni mfuatiliaji wa muziki wa Tanzania, basi utakuwa unaikumbuka ngoma kali ya Nako2Nako inayoitwa We Ndiyo Mchizi Wangu Remix (2008) iliyowashirikisha marapa...
Waungwana siku kadhaa nyuma diamond kwenye Insta story yake alichimba mikwara kwamba anarudi na kasi ya hatari na atakua trending no.1 mpaka january 2024. Mimi nilijua ilikua mikwara tu...
Imeibuka sintofahamu baada ya Ray kuongea kwamba anashangaa sana watu kusema kuwa alikuwa anabebwa na Kanumba wakati ukweli ni kwamba yeye ndio alimtoa Kanumba, kiufupi Kanumba amepitia kwenye...
Rose Muhando dawa yako iko jikoni inachemka siku sio nyingi utainywa.
Huyu muimbaji Rose Muhando pamoja na kujisifu kuwa ni mcha Mungu kumbe ni mwizi. Dhambi hii uliyoifanya kwa Michael Jackson...
BUSTA Rhymes amepata maua yake kwenye Tuzo za BET 2023, ambapo alitumia muda mwingi kuyanusa.
Busta Rhymes
Rapa huyo ambaye pia ni mtunzi wa nyimbo na mtayarishaji wa rekodi alitunukiwa tuzo...
Aiseee toka mwamba amerudi Clouds dizain flan amepwaya nahisi viatu vimekua vikubwa tayari.
Naona Wale wakina Mchomvu na Kennedy the remedy kama walishaikamata show tayari
In short sioni impact...
Habari zenu
Zuchu zuchu zuchu nimekuita mara tatu kwanza naomba kupongeza content nzuri ya nyimbo ambayo inawapa hamasa ya kutafuta mafanikio kwa vijana wote kike/kiume hongera.
Kwa bahati mbaya...
Source: TBC Television.
Aliyewahi kuwa Miss Dar City centre na Miss Ilala mwaka 2003, Nargis Mohamed akiri kuwahi kuwa mpenzi wa Mtangazaji wa Clouds FM Masoud Kipanya.
Nargis ameyakiri hayo...
Salaam!!.
Leo nikiwa natazama vipindi kwenye luninga, ulichezwa wimbo wa Prof. Jay, (Joseph Haule) ambaye kwasasa ni Mbunge wa Mikumi. Wimbo ule unaitwa ZALI LA MENTALI, Kiukweli nikakumbuka...
Huyu jamaa nakumbuka nikiwa shule olevel mwaka 2009 alitesa sana na hiki kibao chake cha Sikiliza wimbo aliomshirikisha Makamua
Enzi hizo nilikuwa napenda kuisikiliza Kiss Fm....enzi za dj maliz...
Sisi Wanasheria tuna dhana moja isemayo, "writing a judgment in an art". Yaani uandishi wa hukumu ni sanaa.
Majaji wengi hasa wa zamani walikuwa wanaandika hukumu nzuri sana ambazo zinakuwa na...