Salam wakuu,
As today it's the beginning of second phase of the year, unahisi ni ngoma gani kali ya hip-hop (Tanzania) iliyofanya vizuri kupita ngoma zote kuanzia January mpaka June?
SIku chache baada ya Msanii Chino Kidd7 ambaye ni Dancer wa Nyota wa Bongo Flava, Mario kumuomba Collbo mkali wa Hip Hop, Fid-Q, leo Julai 4, 2023 mastaa hao wamekutana Studio.
Swali ni je, Fid...
Rapper Jay-Z's mother, Gloria Carter, has tied the knot with her long time partner, Roxanne Wilshire, in a star-studded wedding in New York.
Jay-Z and his celebrity wife Beyonce were among those...
Wana JF
Ukisikia mtu kushuka kunaanzaga kwa visingizio. Diamond hana hit song na zilizopo za kawaida sana. Utajiri tu ndio unambeba. Ona vijana wanavyomjibu
Nimeangalia kipindi cha Ujenzi EATV nikamuona dada mdogo kiumri akiwa tayari kashajenga nyumba tatu Kubwa jijini Dar.
Anadai yeye huwa hapendi sana starehe ila starehe yake ni kujenga nyumba...
Kwa mujibu wa Mtandao wa TMZ, Mahakama ya Rufaa ya California itaruhusu mashtaka ya Wade Robson anayedai kuwa MJ alimdhalilisha kingono katika Ranchi yake ya Neverland kuanzia akiwa na umri wa...
Nikifatilia muziki hasa Hip Hop Bongo sasa naona kuna utofauti mkubwa, yaani kama pengo vile hawa wasanii wasasa wanashindwa kufikia swhemu ya walotangulia. Hamna maudhui ya maana kwa muziki wa...
Kwenye kiwanda cha Hiphop Tumekuwa tukishuhudia vipaji vingi na uandishi mzuri wa mashairi.
Kuanzia kizazi Cha kina Tupac, rakims, jada, Jay z, eminem, Wayne na hata N.big.
👉Ambao wamekuwa...
Habari wakuu
Naomba niweke wazi hili , Mimi nafatilia sana music wa Bongo kwa ujumla tangu mwaka 2001 mpaka sasa
Napendelea zaidi Music wa Hiphop hvyo basi wasanii wengi wa hiphop bongo nimekua...
Pamoja na kudhihakiwa sana mitandaoni huyu dogo anazidi kung'ara duniani. Apewe support na vyombo husika. Watanzania wanahitaji hv vipaji kuondoa stress
NI KISASI AU CHUKI...?
"Tulisikia yowe kisha kishindo kikubwa, duuuuf. Baada ya hapo ilisikika sauti ya mwanaume ikipayuka." Ndivyo mashahidi walivyolielezea tukio la kifo cha Anele 'Nelli'...
Ngoma ya Msanii Roma Inayoitwa Mimi ni Nani haijafanya vizuri kama ilivyotarajiwa au ilivyotanguliwa na ile ya Nipeni Maua yangu
Je shida ni nini? Amekosa content au style ya ngoma yake hii ya...
Kama ushawahi usikia huu wimbo Wa zali la mentali Wa prof Jay utakuwa na ww unatamani kujua ni nani yupo nyuma ya ile sauti ya kike katika ule wimbo. Ukiangalia video yake utamuona mwanadada...
Nimesukumwa kutaka kuwajua vema hawa watu baada ya kufuatilia mijadala wanayoiendesha katika vipindi. Juzi nilimsikia Kitenge akisoma Magazeti kwa bashasha lakini nikashangaa kuna neno la...
Kupima ukubwa wa mtu ni lazma kujua ana nyimbo ngapi ametoa Toka ameanza Kuimba muziki, msaniii harmonize amerelease nyimbo 127 Toka ameanza Kuimba, na hii idadi amemuacha diamond mbali sana...
Baada ya Konde kulia mbele ya media ku justify ubaya wa mondi, kumbe nae alimfanyia Angella [emoji23][emoji23]
"Sikuwahi kuwa na mimba ya Harmonize wala hatukuwahi kuwa kwenye mahusiano na...
Madonna ameahirisha ziara yake baada ya kuwa mgonjwa na kukaa katika chumba cha wagonjwa mahututi kwa siku kadhaa.
Taarifa iliyotumwa kwenye Instagram na meneja wa mwanamuziki huyo wa Marekani...
Wakazi wa Iringa hivi huyu mwamba wa Iringa aliyewahi kumiliki vibasi vyanavyokwenda Ilula na Zahanati yupo?
Anaendeleaje na maisha yake ambayo ni hadithi tosha yenye mafunzo kwa watu?