Amesema mwenyewe;
"Basi nimepata mwaliko mwingine wa kwenda kuhudumu congo [emoji120][emoji120].
Wakasema tunaomba picha ya matangazo, nikawatumia picha nyingi wachague. Wakanijibu hawazipendi...
Huyu Mwamba anatisha sana huko Instagram anafikisha likes Milions na Comments nyingi, kuliko kina Diamond na wala haringi, wala Watanzania hawamjui kivile.
Big up sana Mwamba kwa ubunifu uliotukuka.
Mtoto wa mchezaji kinda wa Yanga Clement Mzinze (19) (jina kapuni) amepongezwa na ukurasa rasmi wa shule yake kwa kufanya vizuri katika mtihani wa darasa la nne wa katikati ya mwaka kwa kupata A...
Katika hali ya kushangaza baba Levo ameulizwa yapi maoni yake kwa wanaomuita chawa?.
Jamaa kasema hana muda na watu hao na muda wowote ule atampeleka Diamond nyumbani kwao Kigoma kwenda...
Hapa kuna baadhi ya mambo ambayo huenda usiyoyajua kuhusu 2Pac:
Jina lake kamili: Jina kamili la 2Pac ni Tupac Amaru Shakur. Alipewa jina hilo kutokana na jina la kiongozi wa uhuru wa Amerika...
Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya aliyewahi kutamba na vibao vikali mwenye maskani yake Ukonga Majumba Sita amejiingiza katika ulevi wa kupindukia. Wengi wanadai ni stress baada ya kushindwa...
Mwaba huya hapa, mshikaji kama amegoma kufa. Bado anatrend kinoma katika social network ukilinganisha na wasanii kibao ambao wangali hai.
Picha za Pac zimekua ni brandi kubwa katika bidhaa kibao...
TANZANIA ina vijana waliojaliwa vipaji vikubwa mno na laiti kama wangepata sapoti zaidi ya hapa walipo, basi wangekuwa mbali mno kwenye sayari hii ya dunia. Kwa sasa vijana wetu wanapenyeza na...
Tuzo za TMA zimejaa aibu kubwa sana, uendeshaji wake unawashangaza hata waanzilishaji wa Tuzo Duniani. Tuzo za sanaa huwa zinadhaminiwa na watu wanaohusika na sanaa tu na sii vinginevyo.
Grammy...
Hivi kwa sasa kuna msanii yupo juu kuliko Marioo? Sasa hivi hata nyimbo anazoshirikishwa zina sound kama za kwake. Mfano;
Baby nakuja
Ananipenda
NB: Fall ya Nandy naiona itakua poa zaidi...
Picha: Adam Mchomvu
Baada ya lile sakata la kumpiga msanii Q Chila, ni karibu mwezi mmoja sasa sauti ya Adam Mchomvu haijapata kusikika kwenye kipindi cha XXL pale Clouds FM.
Je, amekula ban...
Michael Jackson mfalme wa muziki wa pop duniani, huyu mwamba kipindi cha uhai wake alisumbua sana duniani.
Baada ya kifo chake, huyu mwamba imekuwa rahisi sana kusahaulika, tofauti na mastaa...
Ukijua kuna levels kwenye ufisadi hawa jamaa kwenye kujitofautisha na wale mafisadi wetu wao wamekuja na hizi chuma, viete wanaona kama uchafu. Tuendelee kulima matembele.
Harmonize aliondoka kwa Milioni 500
Rayvanny ni kama ameondoka kimaigizo ila kalipa nae milioni 500
Zuchu bilioni 5.
Off course huwa kuna kumkuza mtu brand yake na kumtengeneza awike, lakini...
Hii ndio top 3 yangu ya greateast rapper of all time hapa Bongo.
1. Albert Mangwair
2. Professor Jay
3. Jay Moe
Nipe ya kwako mdau...
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Wanabodi,
JF bado tuko kwenye maombolezo ya kumlilia member mwenzetu William Malecela, kwa jina maarufu Le Mutuz Super Brand ambaye kesho Jumatano saa 9:00 Adhuhuri ndipo atapumzishwa kwenye...
Diamond platnumz ameendelea kudhihirisha ukubwa wake baada ya kuchaguliwa kutumbuiza kwenye tamasha kubwa la Music nchini Malawi .
Diamond amechaguliwa baada wananchi wengi kupendekeza .
Sand...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.