SKENDO CHAFU YAMTAFUNA HAKIKA RUBEN, NDUGU JAMAA NA MARAFIKI WAMTAKA AREJEE KWA MUNGU.
Mitandao ya kijamii imeibuka kwa kasi nchini Tanzania na imechukua sura mpya kwa watu tofauti ambapo wapo...
Henry Alfred Kissinger (alizaliwa kama Heinz Alfred Wolfgang Kissinger tarehe 27 Mei 1923) ni mtaalamu wa elimu ya siasa aliyeendelea kuwa mshauri wa marais wa Marekani na hatimaye waziri wa...
Hellow africa
Sikutegemea Zari kwenda element kuspend sio hazi yake yeye alitakiwa kwenda maeneo kama wavuvi kempu, karambezi, sea crif, cape town huko ndiko anaweza tumia pesa pale anagawa tu
Wametengeneza movies ambayo inahusu mtu aliyebakiza dakika 90 kufa na movie imetoka 2014 na mwandishi wa movie na muigizaji Robin Williams wote wamekufa mwaka huo huo 2014
Je, walijua au bahati mbaya
Hii ni simulizi ya miaka 15 ya maisha ya Anna Mwasyoke katika fani ya uandishi wa habari ambayo imetimia tarehe 02/01/2023. Mwasyoke, kupitia ukurasa wake wa Instagram, ameona ni vema...
Kipindi bifu limeiva Oten alimuimba Sele
Kwenye wembo wa Mimi, Oten anaimba kwamba!
Nilizaliwa Morogoro, hata siku nikifa maiti yangu iende Mor.
Naweka wazi adui yangu asinizike, hata muhuni...
Picha: Celine Dion
Mwanamuziki huyo amesitisha shoo zake za Mwaka 2023 na 2024 kisha kuwaambia mashabiki wake kuwa anasumbuliwa na changamoto ya kutokuwa na nguvu za kutosha za kutembelea baada...
Hii mistari imenifanya nimkumbuke sana Langa
......
......
Sio swala la uoga,Kuogopa ukunguru
Ila bora Kulogwa kuliko kukosa uhuru
Wapi sheikh Mponda,wapi jenerali Komba?
Sera Kali serikali cheza...
Leo hii huko Mbeya Mjini kulikuwa na ziara ya manunuzi ya nyanya na mishikaki iliyofanywa na Mbunge wa zamani wa Jimbo hilo bilionea Joseph Mbilinyi ambaye pia anafahamika kama Sugu au Real Jongwe...
Desemba 16, 2022.Dar es Salaam: -Mwaka 2022 umekuwa mwaka mzuri kwa tasnia ya muziki wa Tanzania, tukishuhudia kuibuka kwa wasanii mbalimbali wanaochipukia, wasanii wakijituma zaidi ya kawaida...
Vyombo vya habari vingi viliandika hivo
Hata humu JF pia walituleteaga hui uogo
Aisee mtuombe radhi
nahreal sio mtoto wa mkono na ndo maana sasa yupo busy na yake hana time na msiba
Wadau wa bongo fleva,
Kila mara anaongelewa. Diamond, ali kiba, Harmonize, Rayvanny, Nandy na Zuchu. Huyu dogo mario haongelewi sana.
Leo nimepata nafasi ya kusikiliza nyimbo zake za album yake...
Baada ya mvua kusababisha utelezi uliotuletea maumivu makali hapo Chang'ombe kwa mzee wa Lupaso, ghafla nimemkumbuka sana shemeji yenu Mariah Carey. Tangu mechi iishe nimejifungia huku uwanja wa...
Nilikuwa naangalia wasanii wenye followers Wengi nimeshangaa kuona Zuchu kazidiwa followers na wasanii Wengi wa kike lakini wasanii hao Wana "struggle"... kulinganisha na Zuchu ..imenishangaza...
Nyota huyo mkongwe wa Muziki wa Rock’n’Roll amefariki akiwa na umri wa miaka 83 baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Kwa mujibu wa familia, Turner alianza kuwa na hali mbaya ya Kiafya baada ya...
Marijani Rajabu
Umahiri mkubwa wa kupiga ala tofauti tofauti za Muziki kutoka kwa magwiji wa muziki Africa kipindi hicho kama; Sory Kandia Koutare toka huko guinea na Tabu Ley Rochereau (Tabu...
Hawa ni wasanii ambao wametoa ngoma kali na kuweza kuhit ukanda wa ziwa wote. Ni wasanii ambao wanajaza sana kwenye show zao.
1. Malingita
2. Bhudagala mwanamalonja
3. Bahati wa bugalama
5...
Habari za uhakika nilizonazo ni kwamba B Dozen ameondoka EFM na kutaka kurudi Clouds. Hata hivyo hawajareach agreement na Clouds, at the same time Wasafi wanamnyatia.
Oscar Oscar ameondoka EFM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.