Mtoto kaipokea Mirathi kutoka kwa mama yake na anaisimamia vema kabisa bila shida yeyote.
Maisha ni kupanga,ukiamua kumsomesha mtoto ili ndiyo uwe urithi wake wewe msomeshe, ikiwa una chembe...
Rayvanny wewe ni brand kubwa umebeba image ya makampuni makubwa yaliyokuamini yakaweka hela ya kutosha.
Dunia nzima inajua Paula na mama yake ni fungu la kukosa hawana nyota ya pesa na ukikaa nao...
Aliyekuwa Mtangazaji wa EFM Oscar Oscar AKA mzee wa Kaliua ametambulishwa rasmi Wasafi FM ambapo sasa atakuwa na kipindi chake kitakachokuwa kinaitwa Jana na leo, kikiruka muda uliokuwa wa kipindi...
Tayari sasa p Diddy ameshayaaga mashindano. Huwa nawaonea huruma sana wale watu ambao hupenda kujiita majina ya watu ambao ni celebrities bila kujua huyo mtu ni wa aina gani.
Kuna kipindi wale...
🚨🧵 Siyo kwa Ubaya wala Dharau kwa mashabiki wa Eneo fulani, point ya msingi hapa ni kuwa ,kuna Ukubwa fulani msanii akifikia
(VENUE/ mahala anapo fanyia show) kuwa na standards fulani)
Kama...
Sio yule Chris Brown wa kipindi ile na zile hit songs zake, kama kiss kiss, turn up the music, transform ya, international love aloshirikishwa na pitbull, She ain't you, no air, loyal, na hit song...
Hayo yamewekwa wazi na mbunge wa viti maalum, Halima James Mdee akihojiwa na Wasafi Fm leo asubuhi.
My take:
Vijana mnakwama wapi? Lishangazi hilo lipo free changamkieni fursa
Nianze kwa kuwapongeza WCB kwa hatua waliyofikia kuisimamisha lebo na kuwa lebo bora zaidi Afrika Mashariki, na moja ya lebo bora Afrika.
Niwapongeze kwa kuweza kuviinua vipaji ambavyo vilikuwa...
Kundi hilo la Muziki linaloundwa na Mastaa wa kiume 4 kutoka Kenya, Bien-Aime Baraza, Willis Chimano, Polycarp Otieno na Savara Mudigi, limetangaza kuwa litatengana baada ya kuwa pamoja kwa miaka...
Rapa Mkongwe na Mbunge wa zamani wa Mikumi (CHADEMA) Joseph Haule aka Profesa Jay ameanza mpango maalumu wa kurudisha mwili wake baada ya kuugua kwa muda mrefu (takriban mwaka mmoja).
Jay amepost...
Katika kuenzi miaka 50 ya Hip Hop duniani platform mbalimbali zimekua zinatoa list zao kuhusu Hip Hop
Sasa Sportfy wametoa list ya beat kali za muda wote
Spotify’s 50 Greatest Hip-Hop Beats of...
Habari zenu wanajukwaa.
Niende madani hapo juu. Madam Wema Sepetu, binti asiyechuja wala kukaukiwa matukio, aliahidi kuanzisha kituo cha Radio cha Madam FM ifikapo mwezi wa pili 2017. Ahadi hii...
Mwadada mwenye miaka 27 hilda bacci ameweza kuvunja record ya kupika bila kupumzika kwa masaa 100.
GUINNESS WORLD RECORD OF LONGEST COOKING TIME
Pls don't get me wrong oh. Am not trying to...
Umetoa bonge la wimbo, 'Mahaba'. Ni booonge la wimbo, HAKUNA UBISHI. Views zinapanda tu bila kushuka mwezi wa tatu huu sasa. Ingawa shooting si bora (kwa mtazamo wangu lakini watu wameipenda hivyo...
Wakuu kwema?? Msaada kidogo.
Nime download Album zaidi ya 7 pale Audiomack, Na ngoma kibao hasa zile za kitambo(old schools) Mana sehemu zingine sikuzipata.
Nimepakua ili hata nikiwa offline...
Roma ni mzarendo na anaipenda nchi yake kwa dhati. Licha ya kuishi nchi ya mbali na nyumbani, tena nchi ya kitajiri, moyo wa Roma umekuwa ukinung'unika sana kuona ni kwa namna gani pesa za kuezeka...
Katika jambo ambalo naona haliko sawa hadi leo ni suala la Kuanza kutaja madeni ya marehemu msibani kama kuna mtu anamdai why asiifate familia kumtunzia heshima marehemu?
Kwenye msiba wa Lemutuz...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.