- Jamani heshima mbele sana, naomba kuwashukuru sana Jamiiforums I mean JF nimetoka nayo mbali sana na imenifikisha mbali sana na wala sio siri leo ninafahamika kila kona ya Tanzania kwa sababu ya...
Katika Hali Ambayo kila mmoja hakutegemea, Rosa Ree Leo ikiwa ni Siku Ya Kina Mama Duniani, Ameamua Kuweka wazi Kuwa Alikuwa Mjazimto na akafanikiwa kujifungua mtoto wake ambaye anamlea hadi sasa...
Jumba la kifahari la muigizaji John Travolta lenye gharama ya dola milioni $10 huko Ocala, Florida si tu nyumba ya kifahari ya vyumba vitano, lakini pia ni uwanja wa ndege wa binafsi.
Nyota huyo...
Wakuu hii dunia kuna watu wanafaidi asee, hii pesa yaani mane,mavumba au madafu yanatunyima vingi sana.
Cheki huu mjengo ambao ameureview Supercarblondie.
Kuteleza sio kuanguka, baada ya Lemutuz mara kadhaa kula hela za michango ya harusi yake kwa bahati mbaya hatimaye gwiji la mitandao ya kijamii ukanda huu wa maziwa makuu limefanikiwa kuvuta jiko...
Wafatiliaji wa soka wanafahamu ule utatu ambao haujawai tokea mpaka leo pale Galacticos mpaka leo. Ilikuwa huku Ronaldo de Lima, kule kuna Luis Figo alafu kuna kipara mwenyewe Zinadine Zidane...
Mapema wiki hii, imetrend habari imuhusuyo aliyekuwa Rapa Maarufu nchini Kenya, Colonel Mustafa baada ya kuonekana akifanya kazi za Ujenzi.
Katika mahojiano rapa huyo alikiri kuwa amelazimika...
Petitman huyu ni Bilionea toka Congo DRC anaeishi TZ kwa muda mrefu sasa.
Inasemekana yeye ndo anamfadhili kijana wetu Dangote kifedha ili kuendesha ofisi na kufanikisha shoo zake ikiwemo hii ya...
Kuna tetesi mwanamuziki A.K.A kutoka South Africa amepigwa risasi huko Durban, South Africa
A.K.A aliwahi kushirikiana na mwanamuziki Diamond miaka ya nyuma wakachia kibao kinaitwa 'Make Me Sing'...
Hello!!
Msanii wa singeli Dulla Makabila anatimiza ahadi yake leo aliyoitoa wakati akifanya interview na Dozen Selection kuwa haitafika Jumatatu lazima amuoe mpenzi wake Naira wa Juakali...
Hiki ndio chuo kikuu cha hiphop hapa bongo kwani tangu waanze harakati zao wanatoa vichwa vinavyofanya kweli kwenye kila angle.
Hawa ni baadhi ya waliopitia University of tamaduni music wakatoka...
Twende kazi!
Hawa wote ni storytellers Rapcha-lisa, Kontawa-Dungamawe
Rapcha ana bars, ana flow na anaimba hiphop/trap
Kontawa ana melody, bars kwa mbali,na anaimba hiphop/Bongo fleva
Nani mkali??
Wasanii wa Muziki kutoka #Nigeria wanaendelea kushika nafasi nyingi na za juu kwenye kiwanda cha Muziki Afrika na Nje ya #Afrika ambapo katika orodha ya nyimbo 10 zilizosikilizwa zaidi kupitia...
Robert De Niro ni mwenye asili ya Italia ingawa alizaliwa katika kitongoji cha Manhattan, New York City. alizalwa mwaka 1943.
Kwa sasa anafanya shughuli zake uigizaji Hollywood nchini...
Japo kuna maneno kwa mwamba mziki umemshinda ukweli ni kwamba lavalava hapewi push kama artist wengine WCB. Kina harmonize,Rayvanny,zuchu,mboso hawa wote wamepewa sana push wametoa nyimbo nyingi...
Mwanamuziki huyo wa miondoko ya Hip Hop amefariki dunia ghafla usiku wa kuamkia leo akiwa nyumbani kwao Salasala Jijini Dar, mwili umehifadhiwa Hospitali ya Jeshi Lugalo.
Atakumbukwa kwa vibao...
Mshiriki huyu wa American Idol mwenye umri wa miaka 19, Benjamin Glaze, anatoka katika familia yenye maadili sana. Majaji wanamuuliza kama ameshawahi ku-kiss. Benjamin anasema kuwa hajawahi...
Hii guys
Haya mambo ya mjini Daslam socialite Faiza na asieshiwa vituko amelipuliwa na kashfa za utapeli Kwa Baadhi ya watu waliompa Pesa awaletee mzigo kutoka China
Ukimbukwe miaka kadhaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.