Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Baada ya Adidas kusitisha kufanya kazi na yeezy inayomilikiwa na mkali wa miondoko ya Hiphop Kanye West, Ina ripotiwa Adidas wamepoteza takribani USD million 540. Sasa basi Kanye West kaamua...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Nimemfuatilia hivi karibuni baada ya kutoka India kwenye Operesheni ya Moyo naona anatukanatukana watu tu hovyo wanaochangia Post zake. Nadhani kuna shida mahali,nasikia aliwekewa mashine kwenye...
37 Reactions
69 Replies
7K Views
Katika Ulimwengu wa Utandawazi wasanii wamebahatika kuwa na uwanja mpana sana wa kuzitangaza Kazi zao, na moja ya karata muhimu ni mahusiano. Hii hutumiwa na wengi sababu ya urahisi wake (haina...
8 Reactions
21 Replies
3K Views
Hii tabia ya kupiga wasanii in public imeshakua ni tabia yako Sasa, ukidhani kuwa wewe ni nunda na ni mkakamavu sana. Ulimpiga mtama mbasha kwenye jukwaa bila aibu na ukajizolea umaarufu ukajiona...
32 Reactions
122 Replies
13K Views
Kuna Ile kauli mwembamba Africa hayupo, ni juhudi zako tu. HAPA ni Jacob Steven, JB mwigizaji na director noma Bongo akiwa dogo flani na alivyo sasa. Picha hiyo inamuonyesha Jb picha ya zamani...
7 Reactions
21 Replies
4K Views
Nilishaongea sana na sasa naona kazi kurudia . Icheki hii video fupi hapo chini uone jinsi akili za Mwafrika huyu na ma bodyguards wake Mimi ni Mtanzania ila simjui huyu kijana I mean sio...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Mimi ni shabiki wako mkubwa sana na pia ni role model wangu ktk maisha ya kujitegemea japo wewe mwenzangu una msaada wa wazazitofauti na mimi sina wazazi . Ila kuna kitu sikipendi japo si kibaya...
11 Reactions
378 Replies
58K Views
Yaani Nigeria haijilishi ameanza mziki Leo au miaka iliyopita wanavutia sana kila mtu anakuja kwa style Yake mfano mani Omah Lay hatari sana Ana hit song zinabamba sana.
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Huyu Mtumishi wa Mungu aliekuwa akihudumu zaidi katika uimbaji nyimbo za injili ...alikuwa akisikika sana siku za nyuma na nyimbo zake zilikuwa na mafundisho mengi sana sio tu kwa watu walimpokea...
10 Reactions
20 Replies
2K Views
Kumekuwa na tabia ya ajabu sijui ilianzishwa na nani ya vilabu kuajiri wasemaji ambao hawahusiki na mchezo uwanjani. Vilabu vya wenzetu waliondelea huwezi kukuta mtu ambaye hausiki na mechi...
2 Reactions
6 Replies
829 Views
Kwa wale wanajamii wafatiliaji wa muziki wa kufoka (Hip Hop) nadhani hayo majina na kilichokajiri haviwezi kuwa vigeni kwenu. Kwa uchambuzi wa kawaida tukizingatia ushairi, style na production...
0 Reactions
83 Replies
11K Views
Mwanamziki aliyefanikiwa zaidi Tanzania, Diamond Platnum aka Simba ameweka wazi kuwa yeye na Zuchu ni dada na kaka na sio wapenzi kama wengi walivyokuwa wanafikiria au kujua. Kupitia insta story...
11 Reactions
57 Replies
6K Views
Mpishi huyo wa Nigeria amekuwa mtu maarufu wa kitaifa baada ya kupika bila kupumzika kwa zaidi ya saa 90 na kuvunja rekodi ya saa 87 na dakika 45 iliyowekwa huko Rewa, India ya kati mnamo mwaka wa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Msanii Juma Kilowoko (SAJUKI) amefariki dunia leo alfajiri katika hospitali ya Taifa Muhimbili. Kwa mujibu wa Katibu wa chama cha waongoza Filamu Wilaya ya Ilala, Rajabu Amiri hivi karibuni...
8 Reactions
325 Replies
52K Views
Wimbo wa Roma ni Mzuri, na umeongea mambo yenye ukweli, ila mambo mengine ameyasema hakupaswa kuyasema. Katika wimbo wake amesema January kugongeana Sigara, sawa sote tunajua January ni Chain...
8 Reactions
43 Replies
5K Views
Nyota wa Muziki wa Hip Hop na mshindi wa Tuzo ya Msanii Bora wa Hip Hop kupitia Tuzo za TMA, Rosa Ree amepata mtoto. Taarifa hiyo ameithibitisha kupitia ukurasa wake wa Instagram.
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Mobimba Le Nyeyenye kamshukuru Rais JPM kwa kuokoa maisha yake maana ilibaki dakika 30 tu afe. Hii inadhihirisha ile kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora kwamba inabidi hata Mungu amshukuru JPM. Kwa...
5 Reactions
82 Replies
13K Views
MAMBA KONKI KONKI KONKI OIL CHAFU MASTER. Kama ilivyo kawaida yake ya kuparamia watu bila kufanya research ya kutosha kujua wako deep kiasi gani, Lemutuz amejikuta tena kakosea chaka na kuingia...
14 Reactions
82 Replies
53K Views
Wasalaam, Nimeona majibu ya Tundu Lissu kwa 'King of all social network' Lemutuz na majibu ya Lemutuz kwa Tundu Lissu kwa kile kinachoitwa 'Urafiki' , Ushauri mkubwa kwa kaka Tundu Lissu...
4 Reactions
39 Replies
6K Views
Huwa najiuliza kuna mtu anapenda muziki anaofanya Roma? Sijawahi kumuelewa hata siku moja, nyimbo zake nyingi huwa ni kama risala, Hakuna flow nzuri, mistari migumu meusi wala melodies za...
18 Reactions
189 Replies
16K Views
Back
Top Bottom