Naona wanatupia picha zenye makalio yao,sasa sijui ndio kututamanisha tuvunje amri ya Mungu inayotuasa tusitamani mwanamke asiye mke wetu au vipi?
Mimi kama kijana wa kilokole sijapenda hii tabia...
Chukua hata uraia wa Marekani kwa muda ukane huu wa bongo.
Ukifika kule anzia chini kabisa, jishushe fanya remix ya nyimbo zako hasa zile za zamani ukiimba kiingereza kwa wingi kiswahili kidogo...
Sometimes inabidi tukubali kuna watu mapengo yao hayana replacement kutokana na uwezo extra walionao.
Radio Free Africa ilipoteza mvuto baada ya kuachana na waandishi wao ambao hata leo hii ni...
#BURUDANI Msanii wa HipHop @roma_zimbabwe amefunguka kuwa tafiti zake zimeonesha kuwa marehemu Albert Mangwea alikuwa anapendwa na wasanii wenzake wote hasa wa kizazi cha sasa.
"Tafiti yangu...
Jana ndio ilikuwa Mara yangu ya kwanza nasikia ngoma ya lavalava nilikuwa sijawahi kuitafuta kuisikiliza ila wakati nipo kwenye daladala ndipo ngoma nikaisikia ya Tajiri jamaa latisha Sana kuanzia...
Leo 27-04-2020 Mwana FA Atakua Clouds FM Kwenye kipindi Cha XXL Kuanzia 13:00 - 16:00
Zimetimia jumla ya siku 39 tangu ‘Shabaan Robert wa Kizazi Hiki’ MwanaFA ajitangaze kuwa mmoja wa waathirika...
Ni vibe la hela yote, ni shangwe za volume yote, ni cheers za glasi zote kwa Mashabiki, Wafuasi na Wa-Cloudsnia wote ndani na nje ya Tanzania leo baada ya Mfalme wa show za mchana Mtangazaji...
Habari za weekend wadau wa burudani.?.
Katika anga ya muziki hasa wa hapa nchini kwetu ukizungumzia bongo fleva, hip hop na miondoko miongine mbalimbali kumekuwa na wasanii amabo mara nyingi...
Matajiri wawili Duniani, Bwana Elon Musk na Mark Zuckerberg wamekubali kuzichapa kavu kavu kwenye ulingo uliofungwa, caged match siku zijazo mjini Nevada.
Binafsi natabiri Elon Musk kumfumua Mark...
Hebu tuongee kidogo ndugu zangu wa Hip Hop hasa wale Old is gold. Na wengine.
Hivi mwaka 2005 wakati A.k.a Mimi Album ya Albert Mangwair ikichukua Album bora, Ilishindana na Album zipi?
Rest...
Ningependa kufahamu anaye mwandikia Ali mashairi siku hizi.
Kwani Toka Ngoma ya UTU to the latest songs ie mahaba and on fire it seems mwandishi ni mmoja kabisa.
Kusema kweli mashairi ya kwenye...
Mapungufu ndio haya;
Kwanza hajatambulisha vyoo vilipo.
Hadi sasa saa sita kasoro dakika 13 hatujala.
Muziki mbovu balaa, baadhi ya spika hazipigi, hamna sound balancing, sauti yako hatuisikii...
Msanii Cheedy hivi karibuni Konde Kang walivunja mkataba nae ikalazimika imlipe million 10 kama sehemu ya kuvunja mkataba.
Wakati akihojiwa na East Africa Radio, Cheedy amefunguka kuwa; "Mkataba...
Mrembo maarufu mtandaoni Sanchword amebadili dini na kuwa muislam rasmi na kuitwa Surraiya Evarist Rimoy. Sanchi binti wa kichaga mwenye shepu matata amekuwa akifunga ramadhani wakati bado...
Kijana mmoja aliyejitambulisha kwa majina ya Ahmad Yusuph Mzee, amejitokeza hadharani katika studio za Wasafi Media akidai kwamba yeye ni mtoto wa mzee Yusuph wa damu kabisa ambapo anasema kwamba...
Dar iwe na Tolerance zones bila police interference kama hizo bars zikusanye kodi kwa niaba ya dada poa itapiga hela sana.
Mfano kuanzia Bamaga hadi Shekilango pawe tu red light district na TRA...
Kama ningepata nafasi ya kuongeya na Diamond ningemshauri amshike mkono huyu sister Rosa Ree.
Mimi sio shabiki saana wa huyu dada na wala sio shabiki saana wa nyimbo zake.
Lakini Mara nyingi...
Wakuu,
Alikiba huyu ni mkongwe kama tujuavyo. Kadri muda ulivyosogea watu walitabiri kifo chake cha kimziki, ingawaje wale alioanza nao kuimba wengi wamepotea.
Nimesikiliza hizi nyimbo mbili...