Joycelyn is an aspiring American singer who first came into the limelight after she accused R Kelly of keeping her as a sex slave.
Robert Kelly popularly known as R Kelly has been making...
Msanii Hamisa Mobetto, ambaye pia ni mama wa watoto wawili amesema anachukizwa na baadhi ya wanaume wanaomfata na kumuomba awazalie watoto.
Hamisa amesema baadhi ya wanaume wamekuwa wakimfuata na...
Ni Mtanzania anaeweza kuthubutu kufanya Jambo na likafanikiwa. Ana confidence. Ana uelewa Mpana katika masuala mbalimbali n.k
Mwenye kujua historia yake hasa kuhusu masuala ya elimu, ujuzi, vyuo...
Nisiwachoshe sana, huyu bint anafanya siku ionekane fupi kila ukikutana na videos zake mitandaoni.
Kiufupi ni kama comedian flani kuanzia muonekano mpaka kauli zake.
Nilitazama interview moja...
Polisi wamemkamata mume wa mwimbaji nyota wa nyimbo za Injili nchini Nigeria, Osinachi Nwachukwu, baada ya kufariki siku ya Ijumaa Aprili 8, 2022 katika hospitali ya Abuja.
Ripoti za awali...
Wakuu habari zenu,
Kuna beef mpya Kati ya Nikki Mbishi na P the MC, bado sijajua chanzo hasa. Ila nimeona Twitter wakipeana madongo na Kuna Track P the MC kaachia inaitwa ‘Futi Sita’ akimdiss...
Siwafichi mpaka sasa Dizasta vina anaweza kuwa best real rapper Tanzania....take time umsikilize...Huyu jamaa kanifanya nifute nyimbo zote za wasanii kama kina Fid Q kwenye playlist yangu.
Hivi Solo Thang anazo Album ngapi? Wakuu naombeni mnitajie zile ngoma kali za Solo Thang za Hip hip nizipakue. Hata zikiwa zaidi ya 20. Nataka nimjue huyu jamaa.
#forgive me
Genevieve Nnaji ndiye Muigizaji wa Nigeria anayelipwa zaidi kuonekana kwenye filamu Nchini Nigeria.
Mwaka 2018, Netflix ilimlipa staa huyo wa Nigeria kiasi cha Dola Milioni 3.5 (Tsh. Bilioni 8)...
#Chuo Kikuu cha Katoliki Afrika Mashariki kilichopo nchini Kenya wametumia mashairi ya wimbo wa “Rush” wa Ayra Star kama swali kwenye mtihani wao.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Hali ya ex MP imekuwa shwari kama bahari ya hindi! Alipatiwa matibabu kwa siku 127 na sasa yupo Gado. Waliokuwa wanamuombea mabaya salamu ziwafikie huko walipo!
Picha: Moja ya pozi la Joseph...
Wasanii walioshinda Tuzo za Tanzania Music Awards 2023
1. Msanii bora wa kiume: Harmonize
2. Msanii bora wa kike: Zuchu
3. Msanii bora wa Hip-hop: Bilnass
4. Msanii bora wa Hip-hop: Rosa Ree...
Queen wa Mwanyamala asiyekwisha utamu mama Zuchu A.K.A Makopa ameweka wazi kuwa sasa amechoka kukaa peke yake, anatafuta mwenza ila awe mtu mzima. Sasa ameamua kutulia.
USSR
Arrayah Barrett, binti mwenye umri wa miaka 2 wa mlinda mstari wa Tampa Bay Buccaneers Shaquil Barrett, alikufa maji Jumapili asubuhi kwenye kidimbwi cha kuogelea cha familia hiyo, kulingana na...
Mwaka jana kwao ulikuwa mwaka wa mafanikio makubwa kwa wasanii wao. Walikuwa wamefanya makubwa kimataifa kupitia Album zao ambazo zilikuwa na mauzo makubwa(mfano Made in Lagos ya Wizkid) Single...
Hivi watu wa HIP HOP.
Mwana HIP HOP Langa Kileo alianza lini Hip hop. Na alifariki lini?
Hivi Langa alitoa Album ngapi wakati wa uhai wa uhai wake.
Tujuzane ndugu zangu.
#forgive Me.
Ndugu wanajamvi mimi binafsi huwa nashangaa sana inawezekanaje msanii Marioo ambaye kwa sasa ameachia wimbo wake unaokwenda kwa jina la YALE hafanyi vizuri ukilinganisha na kipaji chake...
Juzi kati hapa tumeona Nandy akiwashambulia Wasafi media akiwatuhumu mambo ya kitoto yasiyo na kichwa wala miguu.
Wote tunajua Nandy hajawai toa ushirikiano kwa Wasafi media akiombwa interview au...
Habari.
Mtoto wa mwanamziki mashuhuri Davido Amefariki akiwa anaogelea Kwenye Swimming pool.
RIP little Young.
Music icon, David Adeleke aka Davido has sadly lost his first son, Ifeanyi...
Wanasema Albert Mangwair alikuwa rapper ambaye alikuwa mbele ya muda.
Hawajawahi kuacha kusema kila linapokuja suala la mbele ya muda kwenye mziki, Ngwair anazungumziwa sana.
Naombeni tujadili...