Nianze kwa kuelezea hisia zangu kwake. Nampenda sana huyu bidada. Kila ninapoisikia sauti yake ikichomoza kwa vyombo huwa najihisi faraja sana. Nasisimka akili mpaka moyo. Hajawahi kukosea kwa...
Ni muda sasa naona Lavalava hajulikani yupo wapi post zake za mda mrefu alionekana na mpenzi wake namzungu wake sasa naona post hizo nazo zimefutwa account yake inatumika kutangaza matangazo ya...
Nikki wa pili ndio msanii na celebrity bora kabisa kwa kizazi hiki hapa Tanzania kwa muda wa miaka 30 iliyopita 1990-2021
Kuna sababu zinazofanya awe Bora kuliko wote na zipo wazi.
Nikki amekuwa...
Tarehe 25 Mwezi April ni kumbukizi ya Nabii Mkuu Mh Dokta GeorDavie kukumbuka siku yake ya kuzaliwa ambapo Maelfu ya waumini wa huduma ya Ngurumo ya Upako walisherekea kwa pamoja huku wageni...
Staa wa Muziki wa Bongo Fleva na Mjasiriamali Shilole ameiweka wazi Gari ya ndoto yake anayotamani kumiliki.
Wakati akizungumza na waandishi wa habari @officialshilole ameitaja “v8 new model”...
Ila kweli aiseeh, walichofanya wasafi ilikua ni risk sana , it was jeopardizing the life of others kwa kweli , kitendo cha kula bata baharini kwenye boti tena wakiwa wanalewa bila life support...
Rapa na Mfanyabiashara maarufu Sean Jean Combs a.k.a Puff Daddy, Diddy au Brother Love ametemana na mpenzi wake Young Miami aliyedumu nae kwa takriban miaka 2 tu.
Diddy amekuwa na kawaida ya...
Ilikuwa wakati mzuri sana kufanya kazi na ndugu zangu Maulid Kitenge, Gerald Hando, B Dozen na Oscar Oscar.
Nitaendelea kuwashukuru na kuwaheshimu sana kwa mchango walioweka hapa #EFMnaTVE...
Kwenye sekta ya habari labda Masanja hajafanya sana, lakini sote tukikumbuka enzi ya ze comedy tutakumbuka Masanja ndo alikuwa msoma habari mkubwa na alivutia mamilioni ya watanzania kuliko Maulid...
Nakumbuka nilipata kufahamu habari za mtu huyu kupitia JF hasa kwa kazi adhimu ya Mzee Mohamed Said.Mwanazuoni MS aliandika mengi kumhusu Belafonte, Leo nimesoma mahala kadhaa kwamba nguli huyu...
Staa kutoka pande za nollywood, Regina Daniels , kwa mara nyingine anatikisa kwenye mitandao ya kijamii baada ya hivi karibuni, mume wake ambaye ni millionaire , kumzawadia saa ya million 140...
Kwanza niseme wazi kwa mtazamo wangu wanamuziki wa bongo flaver, hiphop, dance nk ktk miziki ya ulimwengu ni wabunifu sana ingawa wengine mizigo.
Pili nawapongeza wanamuziki wa dini wachache wana...
Wote tunamjua Marioo kama msanii anaejitafuta ila bado ajajipata.
Wote tunajua anakopi sana swaga za Mbosso Khan.
Wote tunajua kusoma na kuandika bado ni mtihani kwake.
Lakini huyu dogo baada...
NANDY HAWEZI KUMSHAWISHI BINTI YANGU - GERALD HANDO.
Mjadala umeibuka kwenye #MsumariWaMoto kuhusu baadhi ya Wasanii kuoa au kuolewa kuonekana kupoteza ushawishi wao kwa Mashabiki Vijana, mfano...
Kuanzia leo, akaunti zao za Twitter hazijathibitishwa tena.
Kampuni hiyo kubwa ya mitandao ya kijamii ilianza kuondoa uthibitishaji wa tiki ya bluu uliokuwa ukitamaniwa kutoka kwa maelfu ya...
Wakubwa katika nyimbo ninayoipenda sana binafisi ni ya alikiba Mac Muga
Mashairi mazuri , vina vimepangiliwa ujumbe mzuri
Katika kufukunyua na kufuatilia nimepata nusu taarifa kuwa alieimbiwa...
Nina hoja mbili kuhusu huyu legend kwenye utangazaji hapa nchini...
Zinazonipa maswali mengi
1.kwanini ni rahisi Kwa huyu jamaa kuama redio moja kwenda nyingine chapu chapu Bila kuangalia brand...