Kutokana na mchango wao wanaouonesha katika taifa, hasa ule wa kuitangaza nchi yetu nje ya mipaka, hatuna budi kuwapa motisha kutokana na kazi nzuri waifanyayo
Mimi pamoja na jopo zima la sanaa X...
Leo nimewaza mbali jamani, nimekumbuka mengi, nimeumiss udogo wangu, kweli maisha ni safari [emoji17][emoji17]
Nyimbo za bongo za zamani zinanikumbusha mbali sana, nakumbuka kipindi familia yetu...
Hivi karibuni kumetoka report ya google kuwa msanii kutoka Tanzania Diamond Platnumz na Davido kutoka Nigeria ndio Wasanii walioongoza kufuatiliwa na kuzungumziwa kwa mwaka Huu kwa barani Africa.
Taarifa zilizothibitishwa zimeripoti kuwa msanii Costa Tich amefariki dunia.
Msanii huyo alikuwa akifanya onyesho stejini, ndipo alipo anguka ghafla na kukumbwa na umauti.:👉
👉 Taarifa za kina...
Kwenye muziki wa hiphop bongo hakujawahi kutokea msanii mwenye nguvu kama Juma Nature.
Juma Nature aliingia kwenye muziki akaukuta umejaa umarekani mwingi na akaubadilisha mchezo kabisa. Silaha...
Mwanamuziki Jose Chameleon amewaomba radhi mashabiki wake baada ya kumbusu kaka yake Weasel jukwaani, wakati wa tamasha la Gwanga Mujje, kitendo ambacho wengi wamekiita kuwa ni cha kuudhi
Mnamo...
Kufuatia kitendo cha Diamond kusoma neno kwenye moja ya mstari katika Biblia siku ya jana Mlimani City kwenye Mtoko wa Pasaka.
Sheikh Shariff Majini amemtaka Diamond aamue moja, kubaki kwenye...
Inawezekana ni mwandishi mzuri, ana nyimbo zenye melody Kali, ila tatizo sauti yake tumeichoka sana , sana yani kama tulivozichoka sauti za kina mbdogg na Juma nature.
Kiukweli kinachombeba ni...
Habarini wakuu..
Kama mada inavyojieleza hapo juu kiukweli mimi namkubali sana ommy D jinsi anavyoeleza picha zake inshort zinaeleweka sanaa hautumii nguvu kuelewa muvi inahusi nini..
Kwa apa...
Watu bana sijui kwa nini wanakuwa na secret ajenda kila pale Rose anaposhine. Kazi kumwekea chuki tuu kila kukicha hapo zamani kidogo walimletea chuki baada ya kushinda tuzo ya kili, sasa wanaleta...
n
Master J - Mj Records.
1. Nakupenda tu - konki
2. Sintobadilika - Mike T
3. T shirt na Jeans - university corner
4. Tanga Kunani - wagosi wa kaya
5. Sifai - Q Jay
6. Ingewezekana - D knob
7...
Hili ni kabisa ila nimependa sana kaswekwa ndani safi sana wamesha ona Tanzania unaweza ropoka chochote na hakuna wakukugusa.Bado yule wa MWANZA safari hii ndiyo ataozea ndichi.
Diamond Platnumz ndio habari kubwa mpaka sasa Africa. Ndio msanii pekee yeye na Davido wanaozungumzwa na kufatiliwa zaidi hapa Africa.
Je Diamond Platnumz ni mkubwa kuliko Bongofleva? Inawezekana...
Nimekuwa Nikufuatilia Matamasha Mbali Mbali Ya Muziki Tanzania, Muziki wa Injili hata Ule wa Kizazi Kipya. Ni kiri wazi Kuwa Wapenzi wa haya Matamasha Wamekuwa Hawatendewi Haki kabisa Kabisa...
Mme wake Rosa Ree ni kama vile hayupo kwenye kipindi kigumu hiki anachopitia Rosa Ree,
Ndoa ilifungwa mwaka juzi 2021 september, ni takribani mwaka na nusu hadi sasa.
Kizuri chajiuza, kibaya chajitangaza, bwana mdogo amepiga kazi kubwa zinazojiuza zenyewe bila mwenyewe kutumia nguvu kuuubwa.
Ukiachana na "Single Again" inayotamba bara zima la Afrika kwa sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.