Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni, wahenga walipata kunena.
Mwanamama Evelyn Miller mwenye miaka 31, Mkazi wa nchini Austarilia amestaajabisha kwa kusema wazi kwamba amejaaliwa nyuchi...
Tazameni hapa miguu ya Rosa Ree inavyovutia , mtoto guuu guuu 😂😂😂😂😂.
Sema Rosa Ree naona kaacha kumpost yule bwana wake manywele maana kule insta tulikuwa hatupumui .
Malipo ni hapa hapa. Ulimbukeni wa kupata mwanamke mzuri, ulimfanya Nikki wa Pilli kusema, "Mwanadamu wa kwanza kuumbwa alikuwa ni mwanamke, na sio mwanaume kama Biblia inavyosema" - hio ilikuwa...
Jarida la Forbes katika toleo lake la 9 limetoa orodha ya ‘FORBES AFRICA 30 Under 30’ Vijana 30 wenye ushawishi mkubwa Barani Africa kwenye Sekta za Ujasiriamali, Uvumbuzi na Uongozi ambao unakuza...
Kijana ni fundi, nimeacha ubishi......case closed! Nikisema tofauti nafsi yangu itanisuta.
'Asili ya jambo lile, kama chakula lazima nile'....ujumbe umefikishwa kikubwa kabisa hapa, watoto hata...
Dah dogo alikuwa bonge la rapper walikatisha maisha yake mapema sana alikufa akiwa na miaka 20
Producer Rico Beats alisema kwamba kabla ya kufa kwake alikuwa anajuta kuwa kwenye gang na alikuwa...
SHINDANO la urembo nchini Tanzania (Miss Tanzania) lilipata kuwa moja ya mashindano makubwa hapa nchini. Shindano hili lilivuta hisia za wengi.
Lilikuwa na msisimko wa aina yake na hata warembo...
Mimi ni mpenzi wa hip hop sana ukiacha kina B.I.G 2PAC N.K ila kwa huyu dogoo album yake nime mkubali sana
album yake ya string and bling naikubali sana huwa nasikiliza hadi week nzima bila...
Franklin Boukaka nilianzaga kumfuatulia huyu Mkongo hasa baada ya wimbo wake mmoja kuwa unapigwa pigwa sana Sauti ya Ujerumani. Nikaanza kumfuatilia nikaja kugundua mbali ya kuwa mwanamziki...
Kila nikikumbana na wimbo wa Tutakukumbuka wa GK unanikumbusha taswira ya D-Rob (Robert Mwingira).
Nashindwa kuacha kutoa machozi kila nikiusikia wimbo huo.
Nakukumbuka sana brother, 2001...
Miaka 15 iliyopita, Juma Kassim Nature kutoka Temeke alikuwa moja kati ya wasanii watatu wenye majina makubwa zaidi kwenye mkondo mkuu wa Bongo Fleva.
Albam yake ya kwanza, ‘Nini Chanzo’ pamoja...
Sijui yuko wapi sasa huyu mwamba?
Kila alichokisema katika nyimbo zake hizo mbili ninakabiliana navyo kila siku na kuvishuhudia;
-masjala file lako litaonekana tu kama utawapoza kidogo wale ps...
Huo ni mchongo wa kuokota trend songs za wiki hii huko apple music kisha unadanganya waafrica. Hauitaji kuwa genius kuona ilo.
Wabongo tupige kazi tuufikishe mbali muziki wetu safari yetu bado...
Wakuu za sahizi nimekaa nikafikiri kwann
Huyu raisi jk sijawahi kumuona akiwa na sura ya mbuzi au kuwa serious picha zote anacheka tu
Hata hotuba zake anacheka tu
Akipiga picha ni kicheko...
"When I speak about my father, I don't have the words. The sadness is for me to be the number one and for him to have never seen it. All my family saw, but my father didn't see any of it."...
Wakuu habari zenu..
Moja kwa moja kwenye mada,, nimekuwa fan mkubwa wa Suma Mnazaleti kwa muda mrefu tangu katoa wimbo ambao niliupenda sana kwa kipindi kile, na naweza kusema ndio wimbo...
Kwa kuanza kabisa naomba tutambue wasanii wa bongo fleva wanaotumia dawa za kuchochea misuli gym wanaziita steroids/poda ni pamoja na Diamond, harmonize, jux, calisa, ney wa mitego Hawa ni baadhi...
Rachel Temu maarufu Sana kwenye mtandao wa Instagram akitumia jina gumu - Tempestitouslyracheltemu ni mwanamke anaejinasibu kua yeye ni mke wa afisa flan wa ubaloz kutokea Zimbabwe. Anaishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.