Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Kwaanzia Majani, Said Commorien, De Opera, master jay. Wote wapigaji tuu. Wamelostisha wengi sana. Master jay arudi tu uingereza kuchuma matunda. Historia itaendelea kuwahukumu.
1 Reactions
8 Replies
582 Views
Video Vixen aliyeigiza kama Zuwena kwenye wimbo wa msanii Diamond Platnumz amesema kuwa alilipwa kiasi cha shilingi milioni 17 kutokea katika video hiyo. Binti huyo amesema alilipwa kiasi hicho...
13 Reactions
54 Replies
5K Views
Bondia wetu Mandonga taratibu anaanza kutoka nje ya reli. Ule umaarufu wake umeanza kupotea kiaina. Yeye sio wa mwanzo wala sio wa mwisho katika watu walioibuka na ku-vibe kisha kupotea. Huko...
15 Reactions
44 Replies
5K Views
5. Malkia Karen 4. Mimi Mars 3. Faraja Nyalandu 2. Jackline Mengi 1. Nancy Sumari
14 Reactions
122 Replies
25K Views
Rapa huyo anayejiita Mfalme wa #NewYork alikumbana na shambulio hilo akiwa chumba cha Mazoezi peke yake bila walinzi huko #FloridaKusini ambapo kundi la Wanaume kadhaa walimvamia na kuanza...
6 Reactions
46 Replies
6K Views
Ni muendelezo wa vita ya maneno isiyoisha kati ya anayejiita Zari The Bosslady na wa kuitwa Tanzanians sweetheart Wema Sepetu. Vita hiyo imeendelea leo kwa Zari kuanza kumtupia mafumbo mwenzie...
8 Reactions
1K Replies
176K Views
Haka katoto jaman kana sauti , kanajua kuimba, kupiga violin , halafu kana akili sana kichwan I, na ni kazuri. Hivi karibuni nimemuona yupo karibu sana na wasafi , na kako karibu sana na Diamond...
11 Reactions
78 Replies
21K Views
Tumezoea mwanamke ndio huamua kubadili dini ili amfuate mwanaume. Lakini leo Harmonize amebadili dini na kumfata Kajala katika Ukristo. Harmonize jina lake halisi la NIDA ni Rajab ila kwasasa...
31 Reactions
187 Replies
16K Views
Na mimi pia nasisitiza comment ziwe fupi fupi
6 Reactions
81 Replies
7K Views
Mkataba huo unavunjika ikisalia miezi 9 ya kumalizika kwake na sababu zikitajwa kuwa ni kutofautiana kwa masuala ya Ubunifu kati yao pamoja na kushuka kwa mauzo ya Bidhaa za 'Ivy Park' kutoka kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani inatia huruma na inasikitisha sana ,kumbe na matashtiti yake yote na kiingereza kingi kumbe bibie huyu ni kikojozi daaaah 😭😭😭 Unaambiwa tatizo huyu bibie lilimuanza baada ya kukata utumbo...
8 Reactions
42 Replies
4K Views
Wakati kukiwa na Sintofahamu kuhusu hatima ya series ya vichekesho ya Umbambamba inayoandaliwa na kundi la Mkojani Gani, mmoja mwa waigizaji wakuu wa tamthilia ya Umbambamba aitwaye Samofi...
10 Reactions
38 Replies
7K Views
Picha alizoweka msanii Wema Sepetu zimekuwa gumzo mtandaoni Instagram baada ya kuzipost katika Account yake. Sema dah nimeangalia hizi picha kama 6 au zaidi na nimemuelewa huyu kada wa CHADEMA...
1 Reactions
232 Replies
114K Views
Wakuu! Leo nilikua YouTube kutazama nyimbo za Mr Nice!, jamaa hamna kitu, makelele mengi kama mlevi. Arudishe bando, mpuuzi yule, nadhani Kameta ndiye alitakiwa amiliki nyimbo, sio hili li...
4 Reactions
39 Replies
7K Views
Kwa mujibu wa #Guinness, Nyota huyo wa muziki wa #R&B kutoka Nchini #Marekani ndiye msanii maarufu zaidi kitakwimu na ngoma zake zimetiririshwa zaidi ya mara Milioni 112 kwa mwezi kwenye mtandao...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Beki huyo wa zamani wa Manchester United amedai kuwa amefanya hivyo kwa kuwa anaamini mitandao hiyo inaweza kuwachanganya na kuwatoa kwenye uhusiano mzuri kutokana na aina ya mahudhui...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Leonora Jacobs enzi za utoto wake aliigiza filamu ya The gods must be crazy II. Staa huyo wa Namibia, amewashangaza wengi kwa kudai kuwa hajawahi kulipwa pesa wakati anaigiza filamu hiyo. Wakati...
18 Reactions
48 Replies
5K Views
Deo Sanga maarufu kama Jah People ambaye ni mbunge wa Jimbo la Makambako, leo 14/9/2022 amefunga ndoa Takatifu katika Kanisa Katoliki mjini humo . Chanzo: Mwananchi ===== Mbunge wa Makambako...
14 Reactions
119 Replies
13K Views
Ni miaka 4 au 5 tokea msanii Roma Mkatoliki kukimbilia Marekani. Mpaka leo hatujui sababu zipi zilizofanya utimkie katika nchi za watu na kuwa mkimbizi wa kisiasa Wakati wew ni msanii mkubwa Sana...
1 Reactions
36 Replies
4K Views
Peace to brothers and sisters! Najua ziko njia kadhaa zinazoweza kuwapush wasanii wetu wa Hip-hop kuvuka mipaka hata nje ya Afrika,kutegemeana na strategies na plans za msanii husika. Nchi yetu...
1 Reactions
4 Replies
754 Views
Back
Top Bottom