Nimebahatika kuitazama video ya wimbo wa Meja Kunta aliowashirikisha Marioo na Mabantu ,tuongeeeni tu ukweli video ni kali mno yani haichoshi kuitazama.
Uwepo wa Marioo kwenye huu wimbo umezidi...
Siku mwana FA akiimba ngoma kali kuizidi BINAMU naombeni mnishtue...
Hii Binamu imejaa punchline sana,Beat moja nzito kutoka kwa Marco Chali....Flow unyama kabisa...
Katika Nchii ya Tanzania linapokuja suala la muziki na wanamuziki wanaweza Kuimba nyimbo Kwa kizungu nadhani harmonize ni mmoja wa wasanii hao, ameweza kutoa hit song nyingi alizoimba kizungu...
Kwanza nimpongeze Abdul Naseeb kujiita Diamond Platinum. Unapojinenea baraka ni dhahiri utazipata na kinyume chake. Sasa yeye kujiita majina ya vitu vya thamani sana, vya kipekee na vyenye mvuto...
Huyu said comorien alikuwa producer na muimbaji na sehemu kubwa ya wasanii waliofikisha mziki wa old bongo.
Jamaa kwenye vinanda alikuwa yupo poa na kutengeneza mabiti kama.
Nyimbo za msanii...
Kwamba wakati mwenzake anapamba na kukata mauno huku bongo, yeye alikuwa anakula raha Italy, ila ghafla anakuja mtu kudai apewe nyumba na mali zote, na mahakama imekubali, kwamba tuendelee kukataa...
Wakuu natumaini mko poa. Leo naandika nikiwa na hasira nyingi dhidi ya mtu anayeitwa Hakika Ruben.
Huyu ni mtu maarufu mitandaoni kwa clips zake za vichekesho.
Kwa upande wangu nampongeza kwa...
Majarida mbalimbali nchini Marekani yameorodhesha rapper 10 ambao wanachaji kiasi kikubwa sana cha pesa kwa ajili ya kumshirikisha kwenye wimbo wako wowote ule.
Katika orodha hiyo mkongwe...
Adamu 'Mibangi' mtangazaji wa Clouds wa kipindi cha XXL amempiga makonde mazito msanii wa siku nyingi Q Chief/Q Chilla/Savimbi mnamo tarehe 1 March 2023,alivyokwenda kutambulisha/Kupreview Album...
Miaka Ile wimbo wao ulibamba sana😊😊
Alicom na Celina_wapambe
Katika pita pita nimesikia uki pigwa
Enzi izo ulikua moto Africa mashariki na kati🌍🌍
Jamaa sijui yupo wap Kwa Sasa...
"Wapambe tusi...
Limekuwa ni suala linalojirudia kila siku kwa Adam Mchovu kama sio kupiga watu basi kutukana ama kufanya mambo ya fedheha.
Kushindwa kwa uongozi wa Clouds Fm kuweza kumdhibiti na kumpa adhabu...
Bongo sijaona mwana Hip hop ambaye anaweza kuflow kama Jose Mtambo. Sijaona. Kama yupo mtaje wa kumshinda Jose Mtambo kwenye flow[emoji91][emoji91][emoji119]
#forgive me
Mwanamuziki huyo wa Nigeria amekosolewa vikali kwenye mitandao ya Kijamii baada ya kuvaa gauni lenye 'ngao' iliyowazuia wahudhuriaji wengine kuonekana na kuona mbele.
Gauni hilo jeupe lililokuwa...
Rapa na Mfanyabiashara William Leonard Roberts II a.k.a 'Rick Ross kupitia ukurasa wake wa Instagram ameshare video ikionesha mabadiliko aliyofanya kwenye Sakafu ya Jumba lake la kifahari kwa...
Hi good people,
Leo wakati msanii Fareed Kubanda - Fid Q yuko ndani ya XXL ya Clouds fm anatambulisha ngoma yake mpya inaitwa Bongo Hip Hop, mtangazaji Adam Mchomvu amekuwa anambana na maswali...
======
Watangazaji wa kituo cha wasafi Baba Levo na Juma Lokole wamezua sintofahamu baada ya kurushiana maneno yanayo hashiria kuhusika na vitendo vya kishoga na ufiraji ambavyo ni kinyume na...
For the first time since leaving her former record label, Konde Music Worldwide, artist Anjella has collaborated with musician Izzo Bizness to release a new song titled "It's Okay"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.